Kwahiyo hiyo picha kaitengeneza maiti? Acha uzwazwa wewe sio kila sehemu utafika kwa ngazi, kwengine utafika kwa matendo memaBado mnabishana na maiti tu.
Ukiwaga bleed tumbo linakusumbua sanaKwahiyo hiyo picha kaitengeneza maiti? Acha uzwazwa wewe sio kila sehemu utafika kwa ngazi, kwengine utafika kwa matendo mema
KAENDA KAENDA ZAKE TUMWACHE AENDE.... Zimebaki storyNAWAASA WOTE;
Nasema wote maana sitaki kuacha hata mmoja.
Nasema wote ili asiwepo wa kusema hakuambiwa.
Nasema wote ili wote mjue.
Nasema wote ili wote tuwe na taarifa moja.
Nasema wote ili wote tuanze upya.
NI WAKATI WA KUACHA MWENDAZAKE AENDE ZAKE MAANA HATUJUI MAPOKEO YA HUKO AENDAKO.
Si sawa kuendelea kubishana na asiyeweza kujibu,
Si sawa kuendelea kumsifu asiyeweza kujiinua,
Si sawa kuendelea kumlaumu asiyeweza kujitetea.
KAENDA KAENDA ZAKE TUMWACHE AENDE.
Mzee kila mtu sio bint kama wewe, pole kumbe mkiwa bleed mnapitia magumu, salute kwa mama wewe na mama wenzio wote