MATAGA mnataka mkataba wa Bandari ya Bagamoyo uwe wazi, mbona hamkuuliza mkataba wa ndege, makinikia na SGR?

Mataga sasa hivi wamekuwa kama chapati, kila wakienda upande huu au ule wanapigwa.

Walishangilia ndege ambazo zilinunuliwa kwa mkataba usiojulikana, makinikia yanaenda nje kwa mkataba wa mwendazake, SGR,Stiglers, yote haya yanajengwa bila mikataba inayojulikana na mataga walikuwa wanashangilia.

Leo bandari inataka kuanza wanajifanya wazalendo,unafiki tu
Tutapiga kelele tu bila mafanikio cha msingi tuache tu kwakuwa Tz hakutakuja kutokea vita tena.
 
jf jukwaa la siasa imegeuka uwanja wa league sasa hivi.

yaani mtu anaandika utumbo na anapewa likes 10 nk,hakuna ile mijadala ya maana kwa hatima ya mtu mmoja mmoja au taifa kwa ujumla.
Huyu mpumbavu leo hii anaona ni vyema kabisa MATAGA(watu wa kufikirika)wakomeshwe tu,ila swala la bagamoyo halina haja kuchunguzwa!!!

halafu kuna chama kinajivunia wafuasi aina ya mletamada
 
Mkataba ambao unaifanya nchi kuwa uchochoro wa mchina kufanya magendo yake bila mamlaka za nchi kujua kinachoendelea, ni mwendawazimu tu ndo ataweza kuafiki hii takataka inayoitwa mkataba...
 
Wakwere hiyo bandari mtaiona baadae matusi yake! Hamtagusa hapo mpaka miaka 200 ipite,ndo wachina waiachie.
 
kili kwanza kama yale yalikuwa mambo ya hovyo,halafu tuendelee
Wewe acha ujinga. mambo ya hovyo hovyo ndiyo nini? Acheni michezo ya kipumbavu kwa masuala ya kitaifa. Mnaleta mambo ya siasa zenu uchwara kwenye mambo muhimu. Naona mmegawanyika kama mbweha. Mara mataga, mara ccm fisadi, mara wapinzani, mara cuf sijui nini upumbavu upumbavu tu. Ujinga ujinga hatutaki. Tutawatandika mpaka muombe poo. Pumbavu zenu.
 
pumbavu mwenyewe na akili zako za kupengea kamasi
 
Sasa unataka watu wachangie sawa na mawazo yako? Nini maana ya mjadala? Hivi Kuna mradi unapandishwa bila kuwa na manufaa kwa umma?
 
Wewe ni marehemu, roho yako imetoka kuzimu kuja kutembea duniani. Ulishakufa zamani wewe. rudi shimoni.
Kama Hilo shimo umelichimba wewe basi utakuwa umeshalitest utamu wake na ungeweza kubaki humo kwani kulikupendeza mno! Na Kama huko kwenye familia yako mna desturi ya kuwasiliana na marehemu wenu tuambie Kama Uzi wako huu kakuagiza mwendazake utuandikie ni sawa, Ila mrejeshee ujumbe kuwa, zama zake zilimfuata shimoni na hakuna kitu atatufanya! Ishi wewe milele!
 
Huenda labda kulkuwa na sababu nyingine ila maguful alkuwa mzalendo toka unyayoni mpk utosin.Sio hawa wa kufurahisha kila kundi ili wapendwe, wanashindwa kujua kuwa you cant please every one
Huwezi kumwita mzalendo mtu aliyekuwa na ndoto za kuicolonize nchi upya.
 
Hao ni wasukuma
Mataga sasa hivi wamekuwa kama chapati, kila wakienda upande huu au ule wanapigwa.

Walishangilia ndege ambazo zilinunuliwa kwa mkataba usiojulikana, makinikia yanaenda nje kwa mkataba wa mwendazake, SGR,Stiglers, yote haya yanajengwa bila mikataba inayojulikana na mataga walikuwa wanashangilia.

Leo bandari inataka kuanza wanajifanya wazalendo,unafiki tu
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom