MATAGA mnataka mkataba wa Bandari ya Bagamoyo uwe wazi, mbona hamkuuliza mkataba wa ndege, makinikia na SGR?

Kwa hiyo wewe kwa akli zako ulizonazo, unaona ni bora nchi iendelee na mambo ya JK?
Lazima nchi iendelee kwa misingi ile ile ya JPM, tuende mberee... mama kasema yeye na JPM sawa, anapita mule mule... Kazi ienderee
 
Hilo la ukoloni unazungumza ww ,yule alikuwa akiwanyoosha mafisad km ww
na kweli alijitahidi. tukaingia underground sasa tuko katika kuibuka upya. na nikwambie hii mifumo ya uendeshaji nchi isipobadilika kwa kuleta katiba mpya mafisadi hawataisha na wanakotokea ni chama dola, wale mafisadi papa. vinginevyo hata umlete dikteta hitla hatawaweza mafisadi wa kimfumo. lingine ombea sana na mimi niwe fisadi.
 
Back
Top Bottom