Mataa ya Baracuda, yameongeza tatizo la foleni nyakati za jioni

Elvis Legacy

JF-Expert Member
Aug 10, 2017
3,379
4,702
Asalaam wakuu.

Mataa mapya yaliyowekwa eneo la Baracuda jijini Dar-es-salaam, ambapo ni makutano ya barabara ya kuelekea Segerea kutokea Tabata Bima na kuelekea Tabata Chang'ombe kutokea Vingunguti yameongeza sana foleni nyakati za jioni.

Achilia mbali usafiri wa umma (daladala) za kuelekea Tabata Chang'ombe kutokea Vingunguti kwa sasa hazikatizi eneo hilo kutokana na ujenzi wa barabara unaoendelea, lakini bado kuna adha kubwa ya foleni kutokea Tabata bima nyakati za jioni.

Nashauri kuwepo na trafiki wakati wa jioni ili kuweza kuangalia namna ya kuruhusu magari yanayotokea Tabata bima kuelekea Segerea. Au kutafuta namna nyingine ya kupambana na tatizo.

Nawasilisha.
 
Dah mtaani kwangu hapo now Niko Kanda ya Kati ningefurah uniwekee picha yako
1627493990766.png
 
Tabata, kuna totoz kali sana uko
Tabata ndio Sinza mpya. Karibu Tabata, hautojuta mkuu. Viwanja kama vyote. The great, forty forty, kwetu pazuri, next door, bila kusahau Kitambaa Cheupe.

Shida ni foleni waliyoianzisha eneo la Baracuda.
 
Tabata ndio Sinza mpya. Karibu Tabata, hautojuta mkuu. Viwanja kama vyote. The great, forty forty, kwetu pazuri, next door, bila kusahau Kitambaa Cheupe.

Shida ni foleni waliyoianzisha eneo la Baracuda.
kuna totoz ndio maana kuna foleni
huko hulali na nyege
 
Back
Top Bottom