Huyu ni mwaandishi Kanjanja wa gazeti butu la Mtanzania. Huyu ni kibaraka wa waarabu wawekezaji wa kampuni ya Ortelo Business Corporation (OBC) katika pori tengefu la Loliondo.
Matinyi anatumika na waarabu hao na yumo kwenye payroll yao ili kuandika makala ya kichochezi dhidi wananchi na serikali yao kwa maslahi ya Waarabu kuendelea kuwinda wanyama wetu kama simba, chui, nyati, fisi na wanyama wengine muhimu ambao ni uridhi wa watoto wetu na vizazi vijanyo.
Huyu Matinyi, alihusika kuandika makala kutetea statement ya aliekua waziri wa maliasili na utalii wa wakati huo Bw Hamis Kagasheki kutaka eneo hilo lipunguzwe kutoka km za mraba 4,000 mpaka 1,500. Lengo ni kugawa eneo hilo na kumpa mwekezaji huyo. Kauli ya Kagasheki ilikuja kutenguliwa na Waziri Mkuu mstaafu Pinda kwa kuagiza eneo hilo libaki kwa matumizi ya Mifugo, wanyamapori na wananchi wa eneo hilo.
Jana kwenye makala ya Matinyi gazeti la mtanzania, aliendeleza uhuni ule ule, uharamia ule ule wa kusaliti watanzania wenzake kwa kuandika makala yenye lengo la kushawishi Maamuzi ya Waziri Mkuu Mh. Majaliwa ambae yupo Loliondo kiziara.
Huyu Mwandishi ni lazma ajue sasa kwamba serikali iliopo madarakani sio ile serikali ya awamu ya nne, serikali ya awamu ya tano imeweka mbele maslahi ya wananchi wanyonge wa nchi Hii, wawekezaji hawawezi kuwa na nguvu dhidi ya wazawa katika nchi yao. Ni upuuzi na upungufu mkubwa wa akili ya Matinyi kutetea uwepo wa wawekezaji wenye lengo la kuwaondoa watanzania katika Maeneo yao kisa tu ni kulipwa alafu unatumia kalamu yako vibaya kuwaumiza watanzania wenzio!
Matinyi una roho mbaya, na uroho wa pesa kiasi cha kukosa utu kwa watanzania wenzio. Tusubiri kauli ya Majaliwa huko Loliondo.
Naamini Majaliwa atasimama upande wa wananchi.
Matinyi baki dhamira yako mbaya na payroll yako huko OBC.