Masyaga Matinyi: Kibaraka wa Waarabu (OBC) Loliondo

N

Nali

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Messages
871
Likes
318
Points
80
N

Nali

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2010
871 318 80
Huyu ni mwaandishi Kanjanja wa gazeti butu la Mtanzania. Huyu ni kibaraka wa waarabu wawekezaji wa kampuni ya Ortelo Business Corporation (OBC) katika pori tengefu la Loliondo.

Matinyi anatumika na waarabu hao na yumo kwenye payroll yao ili kuandika makala ya kichochezi dhidi wananchi na serikali yao kwa maslahi ya Waarabu kuendelea kuwinda wanyama wetu kama simba, chui, nyati, fisi na wanyama wengine muhimu ambao ni uridhi wa watoto wetu na vizazi vijanyo.

Huyu Matinyi, alihusika kuandika makala kutetea statement ya aliekua waziri wa maliasili na utalii wa wakati huo Bw Hamis Kagasheki kutaka eneo hilo lipunguzwe kutoka km za mraba 4,000 mpaka 1,500. Lengo ni kugawa eneo hilo na kumpa mwekezaji huyo. Kauli ya Kagasheki ilikuja kutenguliwa na Waziri Mkuu mstaafu Pinda kwa kuagiza eneo hilo libaki kwa matumizi ya Mifugo, wanyamapori na wananchi wa eneo hilo.

Jana kwenye makala ya Matinyi gazeti la mtanzania, aliendeleza uhuni ule ule, uharamia ule ule wa kusaliti watanzania wenzake kwa kuandika makala yenye lengo la kushawishi Maamuzi ya Waziri Mkuu Mh. Majaliwa ambae yupo Loliondo kiziara.

Huyu Mwandishi ni lazma ajue sasa kwamba serikali iliopo madarakani sio ile serikali ya awamu ya nne, serikali ya awamu ya tano imeweka mbele maslahi ya wananchi wanyonge wa nchi Hii, wawekezaji hawawezi kuwa na nguvu dhidi ya wazawa katika nchi yao. Ni upuuzi na upungufu mkubwa wa akili ya Matinyi kutetea uwepo wa wawekezaji wenye lengo la kuwaondoa watanzania katika Maeneo yao kisa tu ni kulipwa alafu unatumia kalamu yako vibaya kuwaumiza watanzania wenzio!

Matinyi una roho mbaya, na uroho wa pesa kiasi cha kukosa utu kwa watanzania wenzio. Tusubiri kauli ya Majaliwa huko Loliondo.

Naamini Majaliwa atasimama upande wa wananchi.

Matinyi baki dhamira yako mbaya na payroll yako huko OBC.
 
PACHOTO

PACHOTO

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2011
Messages
1,235
Likes
668
Points
280
Age
40
PACHOTO

PACHOTO

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2011
1,235 668 280
Ukitaka kumjua mtu anayepumiliwa ni rahisi tu!
 
J

Juma Kilaza

Member
Joined
May 6, 2011
Messages
52
Likes
4
Points
15
J

Juma Kilaza

Member
Joined May 6, 2011
52 4 15
Mkuu hawa ni wale wanaopumiliwa usipate shida nao
Hapa hoja si Matinyi kuwa kibaraka au kwenye payroll ya Mwarabu, tungekuona mtu wa maana kama ungejibu hoja za Matinyi zilizopo kwenye Makala yake, Makala ambayo nimeisoma na sioni tatizo.
 
P

Percival

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2010
Messages
2,658
Likes
751
Points
280
P

Percival

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2010
2,658 751 280
mtu anatokwa mapovu vibaya sababu ya Matinyi na chuki za waarabu kama vile hakuna wawekezaji wengine nchini. Panga hoja vizuri la sivyo ujumbe wako hauna maana
 
kivava

kivava

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2013
Messages
5,797
Likes
4,573
Points
280
kivava

kivava

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2013
5,797 4,573 280
Wamasai wa Kenya wanaleta matatizo Sana Loliondo
Warudishwe kwao kwa Ol'moimet
 
kunze

kunze

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2016
Messages
297
Likes
307
Points
80
Age
40
kunze

kunze

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2016
297 307 80
Huyu kakaangu,matinyi
 
N

Nyamera

Member
Joined
Sep 2, 2009
Messages
47
Likes
21
Points
15
N

Nyamera

Member
Joined Sep 2, 2009
47 21 15
I don’t know if Matinyi is on the payroll, or if he’s doing what he’s doing out of some conviction and love for the Emirati hunting company, but the fact is that the ”article” is malicious incitement against the people of Loliondo for the benefit of OBC.

All land in Loliondo is village land per Village Land Act nr.5 of 1999, and it’s also a Game Controlled Area where OBC has the hunting block. Stan Katabalo reported about how this hunting block was acquired in the early 90s.

In the drought year 2009 the FFU and OBC committed the human rights crime of extrajudicially evicting people and cattle from some 1,500 km2 that serve as the core hunting area next to Serengeti National Park. People eventually move back.

In 2010-2011 OBC totally funded a draft district land use plan that proposed turning the 1,500 km2 into the new kind of Game Controlled Area that’s a “protected” (not from hunting) area and can’t overlap with village land. This plan was strongly rejected by Ngorongoro District Council.

In 2013 Minister Kagasheki made bizarre statements as if all village land in Loliondo would have disappeared through magic, and the people of Loliondo would be generously “gifted” with the land outside the 1,500 km2. An extremely twisted way of again trying to grab OBC’s core hunting area. There’s of course no way a minister for natural resources and tourism would have the mandate for such a trick of magic. After many mass meetings and protest delegations to Dar es Salaam and Dodoma, PM Pinda in a speech revoked Kagasheki’s threat and told the Maasai to continue their lives as before this crazy threat that through the loss of dry season grazing land would have led to the destruction of livelihoods, environmental degradation and increased conflict with neighbours.

In the article mentioned here by Nali, Matinyi calls for Majaliwa to go back to the Kagasheki threat! On 17th November Matinyi had another article in the RAI in which he described the Maasai as destructive and the OBC hunters as heroes for environment and development, and on 4th November in the chat between editors of media houses and president Magufuli, Matinyi posed a question about a very big threat against conservation that “a person in Loliondo” had told him about the previous day. An article in the Citizen was somewhat more balanced and open with the fact that the source was a “report” released by OBC themselves.

It seems like Matinyi has taken over from Manyerere Jackton who has written over 20 articles full of lies, inciting against the Maasai of Loliondo in the Jamhuri, and openly boasted of being directly involved in illegal arrests of innocent people to silence anyone who could ever speak up in Loliondo.

I don’t know if Masyaga Matinyi is corrupt, but I have more than enough evidence that he’s a very, very bad guy indeed.
 
Isanga family

Isanga family

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2015
Messages
6,384
Likes
6,445
Points
280
Isanga family

Isanga family

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2015
6,384 6,445 280
loliondo wale sio wawekezaji ni majambazi tuu kama majambazi wengine hakuna cha matinyi wala nani pale..ule mkataba toka unaingia kulikua na kelele nyingi za sisi kuibiwa hata watetewe vip wale ni wezi tuu..
 
N

Nali

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Messages
871
Likes
318
Points
80
N

Nali

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2010
871 318 80
Wamasai wa Kenya wanaleta matatizo Sana Loliondo
Warudishwe kwao kwa Ol'moimet
Emb tusaidie Mkuu katika hili, hao wamasai kutoka Kenya wameingiaje Tanzania na mamlaka husika ipo wapi miaka yote wasishughulike na hao wahamiaji?
 
N

Nali

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Messages
871
Likes
318
Points
80
N

Nali

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2010
871 318 80
mtu anatokwa mapovu vibaya sababu ya Matinyi na chuki za waarabu kama vile hakuna wawekezaji wengine nchini. Panga hoja vizuri la sivyo ujumbe wako hauna maana
In fact sijazungumzia wawekezaji wengine katika mada hii, ni ukweli usiopingika kwamba Matinyi yumo kwenye payroll ya OBC na wala hilo halina ubishi !
 
N

Nali

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Messages
871
Likes
318
Points
80
N

Nali

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2010
871 318 80
I don’t know if Matinyi is on the payroll, or if he’s doing what he’s doing out of some conviction and love for the Emirati hunting company, but the fact is that the ”article” is malicious incitement against the people of Loliondo for the benefit of OBC.

All land in Loliondo is village land per Village Land Act nr.5 of 1999, and it’s also a Game Controlled Area where OBC has the hunting block. Stan Katabalo reported about how this hunting block was acquired in the early 90s.

In the drought year 2009 the FFU and OBC committed the human rights crime of extrajudicially evicting people and cattle from some 1,500 km2 that serve as the core hunting area next to Serengeti National Park. People eventually move back.

In 2010-2011 OBC totally funded a draft district land use plan that proposed turning the 1,500 km2 into the new kind of Game Controlled Area that’s a “protected” (not from hunting) area and can’t overlap with village land. This plan was strongly rejected by Ngorongoro District Council.

In 2013 Minister Kagasheki made bizarre statements as if all village land in Loliondo would have disappeared through magic, and the people of Loliondo would be generously “gifted” with the land outside the 1,500 km2. An extremely twisted way of again trying to grab OBC’s core hunting area. There’s of course no way a minister for natural resources and tourism would have the mandate for such a trick of magic. After many mass meetings and protest delegations to Dar es Salaam and Dodoma, PM Pinda in a speech revoked Kagasheki’s threat and told the Maasai to continue their lives as before this crazy threat that through the loss of dry season grazing land would have led to the destruction of livelihoods, environmental degradation and increased conflict with neighbours.

In the article mentioned here by Nali, Matinyi calls for Majaliwa to go back to the Kagasheki threat! On 17th November Matinyi had another article in the RAI in which he described the Maasai as destructive and the OBC hunters as heroes for environment and development, and on 4th November in the chat between editors of media houses and president Magufuli, Matinyi posed a question about a very big threat against conservation that “a person in Loliondo” had told him about the previous day. An article in the Citizen was somewhat more balanced and open with the fact that the source was a “report” released by OBC themselves.

It seems like Matinyi has taken over from Manyerere Jackton who has written over 20 articles full of lies, inciting against the Maasai of Loliondo in the Jamhuri, and openly boasted of being directly involved in illegal arrests of innocent people to silence anyone who could ever speak up in Loliondo.

I don’t know if Masyaga Matinyi is corrupt, but I have more than enough evidence that he’s a very, very bad guy indeed.
Your absolutely right Nyamera...
 
Forum statistics

Threads 1,272,606
Members 490,036
Posts 30,454,959