Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,797
- 71,216
HII issue Kafulilaa haiwezi kwa sababu hata mabosi wake pia hawaonekani kumuunga mkono sijaua sababu hasa ni nini au ndio zile story za kwamba nao walinaswa CCTV Kamera wakilamba mlunguru wa IPTL
Sasa kama hakuna wizi huko IPTL kwa nini watu walihongwa? Ukiufatilia huu mchongo na jinsi watu wanavyokuwa wakali mpaka wanataka " kumkata kichwa" mbunge utaona kuna ukweli ndani yake.
Kama hakuna kitu sii wanyamaze hadi uchunguzi utakapo kwisha?
Sent from my iPad using JamiiForums