Maswi ni kachero anaye piga dili na familia ya rais kupitia mkwe wa J.Kikwete Albert Marwa

Status
Not open for further replies.
Mmhhh! Ninashindwa kuunganisha dots, kati ya jina na Bakwata!

Humfahamu Albert Marwa aliyemuoa binti wa mkuu wa kaya ambaye ni Daktari? Albert alibadili dini na sasa ni Muislam.
Kuna kituo kimoja cha redio alikuwa akikiendesha kwa kutumia frequency za Bakwata, ilikuwa ni radio ya dini kabisa.
Ila baadaye wakaibuka watu wakaitaka Bakwata kumnyang'anya frequency na kuwapa wao waendeshe wao na kugawana mapato yake.
Kwa wakati huo Albert hakuwa akitoa chochote kwa Bakwata kutokana na radio kuwa haijaanza kujiendesha kwa faida.
Albert aligoma, ila kuna mchezo mmoja wa kitaalamu akafanyiwa na Bakwata na mbia wake na kujikuta akibaki na studio yake tu, akitangaza lakini matangazo hayaruki hewani, badala yake yakawa yanaruka ya Bakwata na mbia wake.
Ova
 
Humfahamu Albert Marwa aliyemuoa binti wa mkuu wa kaya ambaye ni Daktari? [size=+2]Albert alibadili dini na sasa ni Muislam.[/size]
Kuna kituo kimoja cha redio alikuwa akikiendesha kwa kutumia frequency za Bakwata, ilikuwa ni radio ya dini kabisa.
Ila baadaye wakaibuka watu wakaitaka Bakwata kumnyang'anya frequency na kuwapa wao waendeshe wao na kugawana mapato yake.
Kwa wakati huo Albert hakuwa akitoa chochote kwa Bakwata kutokana na radio kuwa haijaanza kujiendesha kwa faida.
Albert aligoma, ila kuna mchezo mmoja wa kitaalamu akafanyiwa na Bakwata na mbia wake na kujikuta akibaki na studio yake tu, akitangaza lakini matangazo hayaruki hewani, badala yake yakawa yanaruka ya Bakwata na mbia wake.
Ova

Nimekupata vizuri mkuu.
Nilitegemea jina lisiwe Albert Marwa sasa bali: Hussein, Ibrahim, Omar, Ally, Mrisho, Abdallah, and something like that.
 
mfano mzuri nenda TRA wachaga kibao, nenda chadema, yaani ndio huko wamejaa, ukishakuwa na ile lafudhi yao na yale majina yanayotokea huko hiyo ni CV tosha, wachaga wanapendeleana sana,
We kubwa jinga nenda na kwenye hicho kibanda cha kuuza soda baridi hapo mbele ya nyumba yako huyo mangi anakusadia kumdunga mkeo kitu chenye ncha kali kinacho tumia pressure ya dam
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom