Maswi ni kachero anaye piga dili na familia ya rais kupitia mkwe wa J.Kikwete Albert Marwa

Status
Not open for further replies.
Uongo mtupu.
Faiza Licha ya kwamba member wengi wanakushambulia mimi nakuunga mkono kwa unavyojenga hoja mbadala sasa mimi naomba utoe ukweli wa hili ni upi??
Pale mwanzo ulisema hakuna atakayejiuzulu BUNGENI NI KWELI HAKUNA ATALIYEJIUZULU .WENGI WALIKUPINGA LAKINI IMETOKEA SASA JENGA USHAHIDI WA HOJA YA PILI ILI UONDOKANE NA USHABIKI NA KUPATA WAFUASI WENGI KULIKO ILIVYO SASA
 
spika alisema bungeni kuwa siku zote mawaziri walipofanya makosa walijiuzulu na ikawa kazi nyepesi tofauti na hawa tunaotaka wawajibike leo. Hawa wamegoma. Je, watanzania wanajua kwanini hawa wamegoma?

1.maswi ambae ni katibu mkuu ni kachero anapiga dili na familia ya rais kupitia mkwe wa j.kikwete albert marwa alomuoa mtoto wa kikwete. Ni kupitia dili za albert marwa, maswi amekuwa karibu na ridhwani kikwete. Na ni mtandao huo wa familia unaomiliki asilimia50% za kampuni ya pap kwa kushirikiana na singasinga.

Maswi ni mtu muhimu sana kwa familia ya rais na ndio sababu ndani ya bunge na vikao vya wabunge wa ccm mtoto wa rais ridhwan alidiriki kusema haamini kama kuchukua hatua ni kumsaidia rais bali kuwalinda wahusika ndio kukisaidia chama na rais. Hayo aliyasema akipinga kauli ya makam wa ccm mzee philip mangula ambae yeye pamoja na kinana misimamo yao iko wazi kuwa wahusika wawajibike.

mazingira haya ambayo dili limepigwa kwa maelekezo ya ikulu na ushiriki wa familia ya rais ndio msingi wa ugumu wa jambo hili hata kuifanya nchi ivuje damu kwa mateso ya kibajeti kutokana na vikwazo vya wahisani.

ni ugumu huu uliosababisha jakaya kikwete kutamani kuvunja kabisa uhusiano wake na ulaya na marekani kwani kuchukua hatua katika hili kwake ni sawa na akate tawi la mti alokalia.

maswi amesikika mara kadhaa akiwambia wajumbe wa kamati ya nishati kuwa hakuna wa kumtoa nafasi yake nchi hii labda bada ya jakaya kikwete. Na ridhwan anasema hakuna wa kumtoa maswi labda asiwepo.

ugumu wa kumtoa maswi ndio unasababisha ugumu wa kumtoa waziri kwani huwezi kumtoa waziri peke yake kwa makosa ambayo kwa kiasi kikubwa yamefanywa na katibu mkuu kwa kushirikiana na mwanasheria mkuu wa serikali ambae nae anajitetea kuwa ilikua maagizo ya ikulu.

waziri mkuu nae anagoma kujiuzulu ingawa kosa ni kubwa kuliko la richmond kwasababu watendaji wa chini yake wanamzidi nguvu kutokana na familia ya rais kiasi cha kumfanya abaki kama boya.
pinda kama waziri mkuu anafanya kazi ya kusaidia rais , lakini inaonekana kwenye sakata la escrow jk alikuwa anafanya kazi mwenyewe ndo maana watoto wake na ndugu zake wamepata mgao
angalia akina shabani rajabu gurumo.akina khasimu mtawa, na wengine ambao wamesababisha benk statement ifichwe!!!
Mimi sipendi kweli ccm lakini pia nisingependa kuona pinda anajiuzuru kwa wizi uliofanywa na ndugu wa damu na kikwete.
Je kwenye hiyo pap kkuna jina la pinda au ndugu zake???
Ni kwa vip jk aseme hajui kinachoendelea bungeni wakati tundu lissu amemtaja shabani gurumo kkuwa amechukua shs800,000,000, na maneno haya lissu amesema bungeni wala hakuna mwongozo wowote wa serikali na ikulu kupinga hilo??
Je ni haki pinda kujiuzuru kwa wizi wa shabani rajabu gurumo binamu yake jk???
Kama faiz anapinga hili naomba aje apinge hapa
 
Faiza Licha ya kwamba member wengi wanakushambulia mimi nakuunga mkono kwa unavyojenga hoja mbadala sasa mimi naomba utoe ukweli wa hili ni upi??
Pale mwanzo ulisema hakuna atakayejiuzulu BUNGENI NI KWELI HAKUNA ATALIYEJIUZULU .WENGI WALIKUPINGA LAKINI IMETOKEA SASA JENGA USHAHIDI WA HOJA YA PILI ILI UONDOKANE NA USHABIKI NA KUPATA WAFUASI WENGI KULIKO ILIVYO SASA

Wacha porojo, jisome post yako namba 26. Ukisikia unafik ndio huo.

Umeshafanya uchunguzi, umeshakuwa mwendesha mashtaka na umeshahukumu.

Nini zaidi? umeshajipiga kufuli za ubongo, hauwezi kufunguliwa na mwengine yeyote pamoja nami. Funguo unazo mwenyewe na hauna nia ya kujifunguwa.

Pole sana.
 
Wizara ya madini na nishati ndiko ambako biashara za Riz1 ziliko. Ana vitalu kadhaa vya utafiti wa dhahabu Musoma, maeneo ya Mrangi. Lakini pia Riz1 anashughulika na biashara ya mafuta. Sielewi ukaribu wa Kikwete/Riz1 na Muhongo lakini Riz1 yupo karibu sana na Masele. Na wengi wanasema Masele pamoja na kushindwa kwenye uchaguzi, Kikwete alinishinikiza atangazwe kuwa ameshinda, akatangazwa kuwa alishinda kwa kura 1.

Baadaye alimteua kuwa naibu waziri wa madini ili kulinda maslahi ya Riz1.

seriously???kura moja!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hadi naogopa kama mambo ndio hayo ni hatari sana
Kwa mazingira haya, upo uwezekano mkubwa wa CCM kumfia JK mikononi mwake.

Hata hivyo hayo yaliyoelezwa yanaonekana kuwa ya kweli tupu.

Wananchi wengi tulishikwa na butwaa kusikia kuwa, katika skandali hii ya Escrow, bilioni 73 zililipwa in cash na Stanbic, ambapo waliodraw pesa hizo, walishindilia noti za elfu kumi kumi, kwenye viroba na magunia ya lumbesa!

Ndiyo maana, mwenyekiti wa PAC Zitto Kabwe, alibainisha kuwa kwa namna ufisadi huo ulivyofanyika nchini, ni kama vile vyombo vyote vya ulinzi na usalama vilikuwa likizo!

Alieleza pia kuwa namna ufisadi huo wa Escrow account, ungeweza tu kufanyika kwenye nchi ambayo haina serikali kama vile Somalia!

Ndiyo maana kwa jinsi mabilioni hayo ya Escrow yalivyotoka, inakuwa vigumu sana kushawishika kuwa dili hiyo ya Escrow account, haikuwa na 'mkono' wa the highest office in our country!
 
Kikwete alimpa Muhongo Ubunge akijua kabisa mwisho wake ni upi. Kila kitu kilipangwa toka siku ya kwanza. Mbatia alikuwa msindikizaji tu. -- Daudi Balali (@daudibalali)

Wizara ya madini na nishati ndiko ambako biashara za Riz1 ziliko. Ana vitalu kadhaa vya utafiti wa dhahabu Musoma, maeneo ya Mrangi. Lakini pia Riz1 anashughulika na biashara ya mafuta. Sielewi ukaribu wa Kikwete/Riz1 na Muhongo lakini Riz1 yupo karibu sana na Masele. Na wengi wanasema Masele pamoja na kushindwa kwenye uchaguzi, Kikwete alinishinikiza atangazwe kuwa ameshinda, akatangazwa kuwa alishinda kwa kura 1.

Baadaye alimteua kuwa naibu waziri wa madini ili kulinda maslahi ya Riz1.
 
Watu wanashindwa kuelewa kuwa simba trust ni kamapuni ya mzee kupitia watoto wake na wamepata 50% ya mgao wa singa from IPTL...! Ndo maana mpaka tunakufa hatutojua mgao from STANBIC BANK kwani ndipo mzigo ulipotolewa wa mzee.
kifupi mzee kamaindi sana anawalaumu usalama wa ikulu pamoja na lukuvi why hili jambo limefika huku ina maana mmeahindwa kulizuia..
Hii nchi kazi ipo watu tunalipwa TGSD 625000 take home 500700 but mzee anapiga pesa za kutosha..
Asnteni.
Kindest Regards
Jackson masanja
 
Wacha porojo, jisome post yako namba 26. Ukisikia unafik ndio huo.

Umeshafanya uchunguzi, umeshakuwa mwendesha mashtaka na umeshahukumu.

Nini zaidi? umeshajipiga kufuli za ubongo, hauwezi kufunguliwa na mwengine yeyote pamoja nami. Funguo unazo mwenyewe na hauna nia ya kujifunguwa.

Pole sana.

Post ya 26 Kama unapinga lete Ushahidi Bunge halijapinga wewe unapinga???

Pinda kama waziri mkuu anafanya kazi ya kusaidia rais , lakini inaonekana kwenye sakata la escrow jk alikuwa anafanya kazi mwenyewe ndo maana watoto wake na ndugu zake wamepata mgao
angalia akina shabani rajabu gurumo.akina khasimu mtawa, na wengine ambao wamesababisha benk statement ifichwe!!!
Mimi sipendi kweli ccm lakini pia nisingependa kuona pinda anajiuzuru kwa wizi uliofanywa na ndugu wa damu na kikwete.
Je kwenye hiyo pap kkuna jina la pinda au ndugu zake???
Ni kwa vip jk aseme hajui kinachoendelea bungeni wakati tundu lissu amemtaja shabani gurumo kkuwa amechukua shs800,000,000, na maneno haya lissu amesema bungeni wala hakuna mwongozo wowote wa serikali na ikulu kupinga hilo??
Je ni haki pinda kujiuzuru kwa wizi wa shabani rajabu gurumo binamu yake jk???
Kama faiz anapinga hili naomba aje apinge hapa
 
Spika alisema bungeni kuwa siku zote mawaziri walipofanya makosa walijiuzulu na ikawa kazi nyepesi tofauti na hawa tunaotaka wawajibike leo. Hawa wamegoma. Je, watanzania wanajua kwanini hawa wamegoma?

1.Maswi ambae ni Katibu mkuu ni kachero anapiga dili na familia ya rais kupitia mkwe wa J.Kikwete Albert Marwa alomuoa mtoto wa Kikwete. Ni kupitia dili za Albert Marwa, Maswi amekuwa karibu na Ridhwani Kikwete. Na ni mtandao huo wa familia unaomiliki asilimia50% za kampuni ya PAP kwa kushirikiana na Singasinga.

Maswi ni mtu muhimu sana kwa familia ya rais na ndio sababu ndani ya Bunge na vikao vya wabunge wa CCM mtoto wa rais Ridhwan alidiriki kusema haamini kama kuchukua hatua ni kumsaidia rais bali kuwalinda wahusika ndio kukisaidia chama na rais. Hayo aliyasema akipinga kauli ya makam wa CCM Mzee Philip Mangula ambae yeye pamoja na Kinana misimamo yao iko wazi kuwa wahusika wawajibike.

Mazingira haya ambayo dili limepigwa kwa maelekezo ya Ikulu na ushiriki wa familia ya rais ndio msingi wa ugumu wa jambo hili hata kuifanya nchi ivuje damu kwa mateso ya kibajeti kutokana na vikwazo vya wahisani.

Ni ugumu huu uliosababisha Jakaya Kikwete kutamani kuvunja kabisa uhusiano wake na Ulaya na Marekani kwani kuchukua hatua katika hili kwake ni sawa na akate tawi la mti alokalia.

Maswi amesikika mara kadhaa akiwambia wajumbe wa kamati ya Nishati kuwa hakuna wa kumtoa nafasi yake nchi hii labda bada ya Jakaya Kikwete. Na ridhwan anasema hakuna wa kumtoa Maswi labda asiwepo.

Ugumu wa kumtoa Maswi ndio unasababisha ugumu wa kumtoa Waziri kwani huwezi kumtoa waziri peke yake kwa makosa ambayo kwa kiasi kikubwa yamefanywa na Katibu Mkuu kwa kushirikiana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambae nae anajitetea kuwa ilikua maagizo ya Ikulu.

Waziri mkuu nae anagoma kujiuzulu ingawa kosa ni kubwa kuliko la richmond kwasababu watendaji wa chini yake wanamzidi nguvu kutokana na familia ya rais kiasi cha kumfanya abaki kama boya.

Mkuu,
Hii ndio shida ya uongozi kuwa mikononi mwa makachero, ni lazima mambo yaendeshwe kinafiki tuu, Hebu pima kama mkuu wa kaya ni kachero, Pm ni kachero halafu mambo yanakwenda msobemsobe, je tunaweza tena kumwamini/kumruhusu kachero Membe kuwa Rais? TAFAKARI.
 
Ufisadi wa Kikwete Mkapa cha mtoto, jamaa anaiba kama hakuna kesho.
 
Post ya 26 Kama unapinga lete Ushahidi Bunge halijapinga wewe unapinga???

Pinda kama waziri mkuu anafanya kazi ya kusaidia rais , lakini inaonekana kwenye sakata la escrow jk alikuwa anafanya kazi mwenyewe ndo maana watoto wake na ndugu zake wamepata mgao
angalia akina shabani rajabu gurumo.akina khasimu mtawa, na wengine ambao wamesababisha benk statement ifichwe!!!
Mimi sipendi kweli ccm lakini pia nisingependa kuona pinda anajiuzuru kwa wizi uliofanywa na ndugu wa damu na kikwete.
Je kwenye hiyo pap kkuna jina la pinda au ndugu zake???
Ni kwa vip jk aseme hajui kinachoendelea bungeni wakati tundu lissu amemtaja shabani gurumo kkuwa amechukua shs800,000,000, na maneno haya lissu amesema bungeni wala hakuna mwongozo wowote wa serikali na ikulu kupinga hilo??
Je ni haki pinda kujiuzuru kwa wizi wa shabani rajabu gurumo binamu yake jk???
Kama faiz anapinga hili naomba aje apinge hapa

Unakuja kupayuka na habari za kwenye mitandao!

Unashangaza sana unapotoa tuhuma bila ushahidi. Tuhuma urushe wewe ushahidi nitoe mimi? Amma kweli tuna safari ndefu sana.
 
Niliposema Simba Trust inamilikiwa na familia ya Kikwete wengi mlipinga,twendi mdomdogo kila kitu kitakaa wazi tu,

Ngoja tupekue ya Kongo na South Afrika kisha turudi hapa,

Kuwalea hawa majangili ni kuliangamiza taifa, kama dox zilipo wekeni JF mengineyo baadaye. Hili ndo jukwaa kuu la habari ktk nchi nao majangili wa taifa hili husoma habari zake kila siku. Kwa kifupi wekeni nyaraka ili ijulikane na ni mmiliki wa Simba Trust.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom