Maswali yangu kwa wana-CCM

Mchumi90

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,080
1,284
Nimeona maandiko mengi sana siku za karibuni ya kuishambulia CHADEMA na Mbowe.

Hawa na watu maalumu walioandaliwa na chama pinzani kwa CHADEMA yaani CCM na washirika wake. Lakini ukiwabana kooni kuhusu weakness za awamu ya tano wanaishia kurukaruka na kukosa majibu mara oohh "Kwa hiyo Mbowe na CHADEMA ndio watawapa ajira vijana? Yaani kwa kifupi wengi wao wamevamia issue ambazo hata hawazijui.

Maswali yangu kwenu wana CCM,CUF,NCCR-Mageuzi na TLP.

1. Hivi uwepo wa Mbowe na CHADEMA ndio kumefanya serikali yenu tukufu kushindwa kulipa annual increment kwa miaka mitano?

2. Hivi uwepo wa Mbowe na CHADEMA ndio kumefanya wafanyakazi wa sekta ya umma kutopandishwa madaraja kwa miaka mitano?

3. Hivi wenu wa taifa ni Mbowe na CHADEMA?

4. Hivi Mbowe na CHADEMA ndio wamesababisha maelfu wa vijana kukosa ajira?

5. Kama Mbowe na CHADEMA ni kikwazo katika kuleta maendeleo kwa nini msifute vyama vingi mbaki wenyewe?

6. Hivi akina Mbowe ndio wamesababisha 1.5 Trillion kupotea?
 
CCM wengi wana uwezo mdogo sana kichwani wengi wamegushi vyeti vya taalumu ,wengi walikua vilaza shuleni, wengi wana vyeti vya ukanja ujanja vya Taaluma yani unaweza kuta mwanaccm ana masters au.PhD lakini ni kichekesho mbaya zaidi hats lugha aliyotumia kusomea hizo masters na PhD hawazijui kabisa wanajificha kwa kivuli cha uzalendo
 
Back
Top Bottom