Maswali yanayotatiza kuhusu kulipuka kwa mabomu dsm

DON KILLUMINATI

Senior Member
Jan 2, 2011
193
83
Nimesikia kwenye radio kwamba dalili zilianza kuonekana tangu asubuhi saa 4 baada ya bomu dogo kulipuka.
uongozi wa jeshi ulichukua taratibu gani??

maghala ya kambi yamelipuka ndani ya kambi ambayo wanaishi wanajeshi, tena mida ya usiku lakini haijaripotiwa hata mwanajeshi mmoja kufa.
je wanajeshi walikuwa wanajua kitakachotokea wakakaa mbali kwa tahadhari??

haya ni machache kati ya maswali mengi ninayojiuliza kuhusiana na tukio hili lililokatili roho za watanzania wenzangu.

bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom