Maswali yanayohitaji majibu baada ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imemwekea vikwazo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda

Champion_Boy

Member
Jul 13, 2018
24
77
Naona watu wanajadili zuio la Makonda kuingia Marekani badala ya kujadili sababu zilizopelekea hilo zuio.

Wenye akili ndogo wameanza kusema "Kwani Marekani ni mbinguni? Kwani asipoenda atapungukiwa nini?" Hii ni comment ya Mbunge mmoja wa CCM kule Twitter.

Lakini hoja si Makonda kuzuiwa kuingia Marekani au kuingia Chato. Hoja ya msingi ni madai yaliyotolewa na Marekani kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na Makonda.

Pamoja na mambo mengine, Pompeo amesema Marekani ina USHAHIDI kuwa Makonda ameshiriki KUDHULUMU HAKI YA KUISHI KWA WATU KADHAA. Hii ni kauli ngumu sana, inayotafakarisha sana.

Kudhulumu haki ya watu kuishi means kuamua kumuondolea mtu uhai kabla ya wakati wake. Je ni kweli Makonda amefanya hayo? Kwa akina nani? Kwa ruhusa ya nani? Kwa sababu gani? Lini? Wapi? Na kwanini?

Kumbuka taifa lenye teknolojia kubwa kama Marekani linaposema lina USHAHIDI juu ya jambo fulani bila shaka limejiridhisha vya kutosha.

Kwahiyo ili tuwe na mjadala wenye tija tuachane na kujadili zuio, tujadili sababu zilizopelekea hilo zuio. Hata kama asingezuiwa kwenda Marekani, lakini tuhuma alizotajwa nazo ni kubwa sana.

Zinaogofya, zinatafakarisha, zinatisha. Kumbuka Marekani imesema ina USHAHIDI na kumbuka Pompeo alikua Mkurugenzi wa CIA kabla ya kuwa Waziri.

From Malis

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona watu wanajadili zuio la Makonda kuingia Marekani badala ya kujadili sababu zilizopelekea hilo zuio. Wenye akili ndogo wameanza kusema "Kwani Marekani ni mbinguni? Kwani asipoenda atapungukiwa nini?" Hii ni comment ya Mbunge mmoja wa CCM kule Twitter.

Kwahiyo ili tuwe na mjadala wenye tija tuachane na kujadili zuio, tujadili sababu zilizopelekea hilo zuio. Hata kama asingezuiwa kwenda Marekani, lakini tuhuma alizotajwa nazo ni kubwa sana. Zinaogofya, zinatafakarisha, zinatisha. Kumbuka Marekani imesema ina USHAHIDI na kumbuka Pompeo alikua Mkurugenzi wa CIA kabla ya kuwa Waziri.!

From Malis

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachonipa matumaini ni kwamba Mungu ni wa kwetu sote

Time will tale a tale
 
Sasa kama Marekani wanao ushahidi na sisi hatuna huo ushahidi, tutajadili nini?.
Je, kumzuia kwenda Marekani bila kutuambia kama huwa anaenda kufanya nini na Mara ngapi kwa mwaka ni sawa?,
Huo ushahidi wao kwanini wasimfungulie mashtaka na kuutumia huo ushahidi?,
Tangu lini Marekani ikaadhibu wakuu wa mikoa?
 
Ban inamuhusu Makonda kama individual na sio kama mkuu wa mkoa.
 
Sawa tutakubaliana na maneno ya Pompeo. Swali langu lini alikuja kufanya uchunguzi hata kama wenyewe wanateknolojia kubwa au anafata maneno ya wasaliti wanaoshinda twiter kulitakia mabaya Taifa letu?
Wakati Taifa linaloongoza kwa kudhurumu haki ya kuishi ni wao kwa kisingizio cha Ugaidi wakati wao ndio magaidi wakubwa.
Naungana na huyo mbunge aliesema Marekani sio Mbinguni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti kwani Kabudi amesemaje sasa?
🚶‍♂️
 
Hakuna aliwahi kusema Marekani ni mbinguni na hakuna aliyesema Tanzania ni jehaamu pia. Lakini ban ni ban tu. Hata kama mimi nikiwa Sumbawanga nikipigwa ban nisikanyage kariakoo ina umma japo kariakoo sio mbinguni.
 
We bwana. Wana balozi hapa.
Sawa tutakubaliana na maneno ya Pompeo. Swali langu lini alikuja kufanya uchunguzi hata kama wenyewe wanateknolojia kubwa au anafata maneno ya wasaliti wanaoshinda twiter kulitakia mabaya Taifa letu?
Wakati Taifa linaloongoza kwa kudhurumu haki ya kuishi ni wao kwa kisingizio cha Ugaidi wakati wao ndio magaidi wakubwa.
Naungana na huyo mbunge aliesema Marekani sio Mbinguni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona watu wanajadili zuio la Makonda kuingia Marekani badala ya kujadili sababu zilizopelekea hilo zuio.

Wenye akili ndogo wameanza kusema "Kwani Marekani ni mbinguni? Kwani asipoenda atapungukiwa nini?" Hii ni comment ya Mbunge mmoja wa CCM kule Twitter.

Lakini hoja si Makonda kuzuiwa kuingia Marekani au kuingia Chato. Hoja ya msingi ni madai yaliyotolewa na Marekani kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na Makonda.

Pamoja na mambo mengine, Pompeo amesema Marekani ina USHAHIDI kuwa Makonda ameshiriki KUDHULUMU HAKI YA KUISHI KWA WATU KADHAA. Hii ni kauli ngumu sana, inayotafakarisha sana.

Kudhulumu haki ya watu kuishi means kuamua kumuondolea mtu uhai kabla ya wakati wake. Je ni kweli Makonda amefanya hayo? Kwa akina nani? Kwa ruhusa ya nani? Kwa sababu gani? Lini? Wapi? Na kwanini?

Kumbuka taifa lenye teknolojia kubwa kama Marekani linaposema lina USHAHIDI juu ya jambo fulani bila shaka limejiridhisha vya kutosha.

Kwahiyo ili tuwe na mjadala wenye tija tuachane na kujadili zuio, tujadili sababu zilizopelekea hilo zuio. Hata kama asingezuiwa kwenda Marekani, lakini tuhuma alizotajwa nazo ni kubwa sana.

Zinaogofya, zinatafakarisha, zinatisha. Kumbuka Marekani imesema ina USHAHIDI na kumbuka Pompeo alikua Mkurugenzi wa CIA kabla ya kuwa Waziri.

From Malis

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwaamini sana hawa mabwana kumbuka walisema watalii wasibe kuna ebola Tanzania sijui iko wap hyo ebola ila najua zuio la madawa ya mashoga ndio linawaumiza kichwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
....sababu amedhulumu haki za mapunga kuishi..... it's all about hayo mapunga.....and evidence ni mapunga.... that's all....£uck em all.
 
Kwaiyo hao wamarekani ndio kusema wanatupenda sana sisi watanzania? Hawa watu sio watu wazuri wakishaanza chokochoko ujue wanasababu zao binafsi watukome, watuache tuishi kama tulivyo kuliko yatakayotutokea tutakapoendelea kusikiliza figisu zao,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alitakiwa kuwekwa lokap ....kuhojiwa na kuadhibiwa.

Ushahidi mahakamani atatoa USA, waombe tu watapewa
 
Ni ajabu mpaka muda huu hajakamatwa kuisadia polisi.

USA ameshasema anaushahidi.

Yaani shahidi yupo, kwanini hatiwi nguvuni?
 
Back
Top Bottom