mwenyeKitu
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 946
- 771
1.Je kwa nini tunazaa watoto?
2.Kwa tuliozaa na kulea malengo yetu yametimia?
2.Kwa tuliozaa na kulea malengo yetu yametimia?
Dah eeh kweli.1.Je kwa nini tunazaa watoto?
2.Kwa tuliozaa na kulea malengo yetu yametimia?
Kwa hiyo unataka kusema masikini wanazaana sanaWengine WAKISHAONA LAIFU IMEWAPIGA NA HAKUNA MUELEKEO WA KUTUSUA KIMAISHA BASI NDO WANAZAA WATOTO ILI WAJE KUWASAIDIA UZEENI...
ndio maana yake mkuu,Kwa hiyo unataka kusema masikini wanazaana sana
Mkuu inategemea na ulivyomlea,kuanzia maadili mema mpaka elimu,kuna msema unasema "Mtoto umleavyo ndio akuavyo"Je ni kweli watoto ni msaada kwa wazazi au ni mzigo