Maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu Bungeni: Akerwa na maandamano ya CHADEMA

Pinda anajiaibisha kwa kujibu suala la mgogoro wa Arusha juu juu.
Suala la Arusha tutalitatua bila kauli ya pinda wala nani. Nguvu ya umma itaamua.

Mgogoro wa Arusha umefikia hapa kwasababu ya udhaifu wa Pinda kama waziri mkuu ambaye ndani ya ofisi yake kuna wizara ya Tamisemi.
 
huna akili wewe unamaana ccm wanategemea police unataka wapambane live wanachama wa ccm na chadema? Nani atakayebaki na yatakayotokea wewe utanufaika nn na chama chako kama c kupoteza maisha ya watu?, au hutambui tafsiri ya police?,, acheni ushamba wa kisiasa.

Wewe ndio unatakiwa kuacha ushamba wa kisiasa! CCM wanatakiwa kushindana kwa nguvu ya hoja na sio kwa kutumia mtutu wa bunduki, mabomu ya machozi na maji ya kuwasha! Hakuna aliyesema wapambane kwa kupigana! We vipi?! "Unabowa" kama hiyo ID yako inavyokutambulisha!
 
funguka mazee[/QUO
8qWB0wHOcpRDwtyQ68YlQjOIcWLAA3S3BHrSxBgDw98FE1I52OxwFCuLXOxFJqonbs4HUwrgSBXAtdLJgoxxJMcYyYlF7c8xjJoJ4RczVT4+AlIQbO7grlwTykIsYY9iGgchGMiKOIkKjIyf5x0lachMZaNMlN3lHTnpygIqi++QmFSnKSzoAkqVs5AfIQb1UBhJ+rkRkYiRljiDZsgS4lCRQhtWCXvrSl7nUAiF3CYJiluxyG0imMpnVQ64Ny5jQfKEUSXHL6gRTmsMUJjapScxodhOa8WBQLzVAzr68y5xjM2c5+cDOdv4yKNdUZiwbCJR6LhOc3oznJAIBADs=
TE]



mkuu kama dogo alivo changanya
 
Waziri Mkuu alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema) aliyesema kuwa mgogoro wa vyama vya CCM na Chadema wa umeya wa Arusha umevuka mipaka na kusambaa nchi nzima na kuwa wa kitaifa. "Hivi sasa (mgogoro huo) umevuka mipaka ya kivyama na umekuwa wa kitaifa na kusambaa maeneo mbalimbali ya nchi na kwa kuwa (Pinda) ulilitambua hilo na ukaandika barua kwa Msajili wa Vyama vya Siasa na baada ya kupokea majibu ya CCM je, upo tayari kutoa maelekezo mengine ama ushauri mwingine ili upande wa pili ujue hatima ya suala hili na ijue hatua za kuchukua?" Alihoji Mnyika.

Pinda alijibu;
"Ndugu Mnyika usilikuze jambo hili kama limesambaa nchi nzima, si kweli, lakini kikubwa ninachokiona katika mazingira ninayoyaona, wenzangu wa Chadema mnayoyafanya kinachohitajika ni dhamira ya kweli kwa pande zote mbili, kwa namna mambo yenu mnavyoyafanya huoni dhamira ya kweli. "Kila siku maandamano kila mahali sisi tulioko serikalini tunapata tabu sana, tunataka kufanya kazi nyingine ambazo zinahitajika, lakini muda wote unakaa unafikiria maandamano. "Mteremke chini kidogo, tuanze kuona maslahi mapana ya nchi, tuone ni mambo gani ya msingi yanahitajika, kwa pamoja twende mbele," alisema.

Peoples Power inamtisha Pinda
Alisema tabia ya uanaharakati ya Chadema inanipa taabu sana, lakini kama umakini utakuwapo, haoni tatizo watu kukaa na kuzungumza suala hilo, "katika hali ninayoiona mimi ‘peoples power' kila kukicha si nzuri, haiwezekani."

Kuhusu mgogoro wa umeya wa Arusha
Pinda alisema kama Chadema inaona haja ya kukaa kwa mazungumzo iandike na kuelezea maeneo inayoyaona yanahitaji kujadiliwa. Awali Pinda alieleza kuwa aliingilia mgogoro huo kwa kumwelekeza Msajili akutane na vyama hivyo, kuona maeneo ya kuzungumza akiamini tatizo litapatiwa ufumbuzi lakini CCM ilijibu kwa barua kwamba haioni cha kuzungumza.

Kuhusu Lema:
Akijibu swali la Mbunge wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani (CCM), aliyetaka kufahamu kwa nini Serikali imemzuia Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kutoka rumande na kuathiri utalii, alisema Mbunge huyo hakuzuiwa bali mwenyewe alikataa dhamana. Alisema wanatarajia Novemba 14 kesi hiyo itakapotajwa, Mbunge huyo anaweza kuachiwa na kuongeza kuwa utalii haujaathirika kutokana na vurugu hizo, lakini akawataka wananchi kuzingatia amani ili utalii huo usiathirike.

Habari leo
 
Ukisoma kwa umakini utagundua kinachosababisha mgogoro huu! Hivi ni kweli kwamba hata Pinda haoni sehemu ya kujadili? Na kumbe baada ya malalamiko kumfikia msajiri wa vyama, uamuzi uliotolewa CDM hawakujulishwa!
Pia Mh. Pinda alikwepa swali, swali liliulizwa "kwanini serikari inamzuia MP kutoka rumande?" (Sio kwann alienda rumande).
Mh. Pinda anasema "kama cdm itaona KUNA HAJA," ina maana wao (ccm) hawaioni!! "Ama kweli chair's drug are more twice than alcohol drug!!"
DHARAU NDO IMETENGENEZA YOTE HAYA!! But one day yes!!
 
Kuna dalili kuwa hawa jamaa hawana dhamira ya dhati kukataa ushoga...Pinda kama Kiranja wa mawaziri na mkuu wa kazi za serikali bungeni alipaswa atoe matamko makali kama Dr Shein na raisi wa Ghana....Hapa kwetu mkuu wa kaya kafyata mkia,kiranja wa mawaziri kafyata mkia then unategemea nini?

Mtu kama Prime Minister wa Uingereza kusema sitoi msaada mpaka mkubali ushoga ni matusi makubwa sana, ni sawa na kuwaambia viongozi wetu wainame ndio awape hela. Ilitakiwa marais wetu wajibu kwa kauli kali sana na ikiwezekana vitendo dhahiri kupinga hilo, siamini kuona kwamba UK walisema tuiname ili tupewe msaada halafu siku chache baadaye Prince Charles anatua hapa na anapokelewa kwka heshima tena anatetemekewa kiasi hicho.

Kimsingi naona viongozi wetu wamekubali kuinama ndio wapewe msaada, si kwasababu hawana alternative bali wazungu wamefikia kutamka hayo waziwazi maana wameshatuona sisi ni wapumbavu kupita kiwango cha kawaida. Kwanini wasitamke mambo ya kipumbavu kama haya wakati wa akina Mwl. Nyerere na Mzee Kenyata? Mwl angewaambia hizo hela wawasaidie nazo mashoga walioko Uingereza. Tunaelewa wazi suala la ki-baolojia kuhusu haya mambo lakini huwezi kutamka jambo kama hilo kushinikiza nchi maskini kupata misaada, ni matusi makubwa sana na viongozi wetu wamekubali kuinama.

Mimi binafsi siwezi kukubali kuinama, huyo JK ainame mwenyewe na hata hiyo hela akipewa ale na wenzake maana hata hivyo kawaida huwa wanakula wenyewe. Asipozimaliza anaweza kwenda kununulia suti zingine na kupanda ndege kwenda nje kuendelea kuomba na kutusiwa na wazungu..!
 
Back
Top Bottom