Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu; awashauri MwanaHalisi wakakate rufaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu; awashauri MwanaHalisi wakakate rufaa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndallo, Aug 16, 2012.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Muheshimiwa Mbowe anamchapa swali muheshimiwa Pinda kuhusiana na serikali kulifungia gazeti la MwanaHalisi SWALI: Je, Kwanini serikali wasingelipeleka gazeti hilo mahakamani badala ya kulifungia?

  Souce kutoka Bungeni kikao cha mwisho leo Alhamisi Tarehe: 16/08/2012
   
 2. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kiongozi wa Kambi ya upinzani mh. Freeman Mbowe amembana pinda kuhusu serikali kulifungia gazeti la mwanahalisi. Mbowe alihoji kwa nini serikali imelifungia gazeti kwa kutumia sheria mbaya inayo lalamikiwa.

  swali, Mh. waziri mkuu, kwa kuwa sheria iliyotumika kulifungia gazeti la mwanahalisi ni miongoni mwa sheria zinazolalamikiwa na wadau. Je, wewe huamini kwamba kulifungia gazeti la mwanahalisi ni kinyume cha utawala bora, na ni kuendeleza utawala mbovu.

  Majibu, mimi naamini ni sawa kulifungia gazeti la mwanahalisi maadam tumetumia sheria iliyotumiwa na wabunge hili.

  My take; Mbowe alishasema sheria inayotumika inalalamikiwa (hajesema siyo sheria iliyotungwa na Bunge)Kwa hiyo, hajajibu swali na anapotosha umma.

  Wenje
  W mkuu, nimemsikia DC pale mwanza akiwa amevalia sare za ccm na akisema mkutanoni kuwa ameletwa Mwanza ili awaunganishe wana ccm wa Mwanza.
  Swali, je ni sahihi kwa Mtumishi wa umma kutumikia cha cha siasa?
  Pinda, ni sawa kabisa kwa sababu sote tunatekeleza ilani ya ccm na nia yetu ni kuhakikisha ccm inaendelea kutawala. Hata sisi mawaziri na vivyo hivyo. Kwa hiyo DC alikuwa sahihi.

  NB; DC/RC ni Wajumbe ktk kamati za kinidhamu za mahakimu wa wilaya/mikoa. Ndo wanawaadabisha mahakimu wanapokosea. je, Kesi ya mambo ya kisiasa kati ya Aweda Vs Zomba wakati wa uchaguzi xyz unategemea hakimu atafanyaje?

  Hoja ya nyaraka za siri za Dr Slaa nazo ziliibuka.
  Mbunge moja (jina sikumbuki) aliuliza;
  Kuna watu wanaibuka na kudai wana nyaraka za siri, je ni sawa kwa mwananchi kuwa na Nyaraka.
  Pinda, sikupata vizuri jibu lake, ila alizungumzia serikali kuweza kuwachukulia hatua na kushauri wasifanye hivyo. Hakunukuu sheria iliyovunjwa.
  Hakuna aliyetajwa kwa jina ila kwa uhakika anayelengwa hapa Dr Slaa aliibuka Kilombero na Nyaraka za siri kuhusu Faru waliouawa
  .

  my take; Kuweka hadharani nyaraka za siri za ufisadi wa serikali ni jambo la kulaaniwa au kusifiwa?
   
 3. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Mbowe naye anauliza swali hilo? Too low
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Akajibu nini? tujuze mkuu tupo mbali na Radio pamoja na TV
   
 5. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Alichokijibu ni yaleyale kama tulivyomzoea Pinda kutuonyesha UDHAIFU wake kama tulivyomzoea! Eti amesema sheria ya magazeti itaendelea kutumiwa kuyadhibiti magazeti kama mwanahalisi! Oooh Jesus son of God!
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Waziri Mkuu Pinda kamjibu Mbowe Gazeti la Mwanahalisi kama wanaona hawajatendewa haki waende mahakamani.
   
 7. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Low mind see big thing low.
   
 8. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Nawashauri kambi ya upinzani baada ya kikao hiki leo kuisha.Nawashauri hakuna kulala hapo Dodoma, rudini kwenye majimbo yenu muendeleze M4C!
   
 9. Shekhe Gorogosi Jr

  Shekhe Gorogosi Jr Member

  #9
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pinda ameshindwa kulijibu hilo Swali.... Ameongea PUMBA
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kama ile habari ilikuwa ni ya uwongo kwanini serikali isingeliburuza Mwanahalisi Mahakamani badala ya kutumia ubabe kulifungia
   
 11. m

  msapwat Member

  #11
  Aug 16, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Jamani tuache serikali ifanye kama ilivyofanya.

  Hamuoni kuwa Mwanahalisi imeipaka matope serikali ionekani haifai kwa wananchi hasa chama kimoja wapo pinzani
  .
   
 12. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #12
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  kwani uongo?. mia
   
 13. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #13
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu, hebu tuambie namna bora zaidi ya kuliuliza swali hilo hapa jamvini. Mimi naamini mbowe alikuwa sahihi 100%. In my view he was too high, not too law.

   
 14. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #14
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Katika maswali ya papo kwa papo kila Alhamisi kwenye vikao vya Bunge kamwe sintakaa kumuamini Mizengo Pinda katika majibu atakayojibu Milele!
   
 15. m

  mamajack JF-Expert Member

  #15
  Aug 16, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wewe kimeo,wakwenda mahakamani walipaswa wawe serikali yako ya kipuuzi.haina haja tunamalizia usajili soon utaona mambo yatakavyokuwa.
   
 16. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #16
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  hii nimeipenda
   
 17. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #17
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Pinda anasema mwanahalisi waende mahakamani wakati anajua huko mahakamani wapo wale majaji na mahakimu alio wasema TL kwenye utetezi wake.
   
 18. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #18
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kwa nini serikali haijaenda mahakamani ili mahakama ilifungie gazeti, badala ya serikali kutumia sheria ya kikoloni iliyopitwa na wakati ambayo tume ya Nyalali ilishasema ni Sheria Mbovu? Jibu swali la Mbowe mkuu.

   
 19. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #19
  Aug 16, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Hivi kweli huyu Pinda amesoma SHERIA? Gazeti la mwanaHalisi limefungia kwa sheria ya magazeti halikupelekwa mahakamani. Sasa litakwenda je kukata rufaa mahakamni kama halikupelekwa mahakamani in the first place?

  Sio kwamba kila sheria inayopitishwa na bunge ni sheria nzuri, vinginevyo leo ile sheria ya SSRA ya kuzuia mafao ya kujitoa isingerudishwa bungenu kufanyiwa marekebisho. Get real dhaifu Pinda.
   
 20. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #20
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Swali kama hilo lilipaswa liulizwe na Muhonga au Lucy Owenya and the like sio kwa KUB
   
Loading...