Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,657
Wakuu kuna kanuni ya bunge bungeni kwamba kila Alhamisi mheshimiwa Waziri Mkuu kuulizwa maswali ya papo kwa papo na wabunge. Kanuni hii naiona si sahihi maana ni kama adhabu kwa waziri mkuu. Kwanini asipewe muda wa kutafua majibu. Napendekeza ifutwe.