Maswali ya kujiuliza kabla hujafungua shauri (case) la madai

Aug 18, 2019
80
177
Kheri ya mwaka mpya na mafanikio mema ndugu zangu watanzania, kwa kuanza mwaka huu nimeona niwaletee makala hii ya shauri la MADAI maana mashauri ya MADAI ni moja ya mashauri yanayoongoza kuwa na mlundikano wa case nyingi mahakamani.

MADAI ni nini? Shauri la madai ni shauri linalofunguliwa na MTU yeyote au tasisi,kampuni,serikali ambaye anahisi ajatendewa haki au amezurumiwa haki yake na MTU mwingine ambapo inaweza kuwa taasisi, serikali, kampuni .

Sasa yafwatayo ni maswali ambayo unatakiwa kujiuliza kabla ujafungua case ya madai:

1. Je, unasababu ya kushtaki.(cause of action) sheria inamtaka mlalamikaji (plaintiff) aweze kuithibitia mahakama sababu za kushtaki mlalamikiwa na sababu hizo lazima ziwe za msingi vinginevyo mahakama isipo ona sababu za msingi katika shauri lililofunguliwa inaweza kuamrisha shauri hilo litupiliwe mbali.

2. Je ,shauri hilo lipo ndani ya mda wa ukomo kisheria.? Sheria imeweka mda wa ukomo kwenye kufungua shauri mahakamani kulingana na na sheria ya ukomo(Limitation Act cap 89) pamoja na sheria nyinginezo mfano mkeo au mumeo halali wa ndoa amefungu Teena ndoa na MTU mwingine na ndoa hiyo ni ya kikristo au kiserikali na INI Hall unataarifa au huna taarifa sheria ya ndoa ya mwaka 1971 imetoa mda wa mwaka mmoja kufungua shauri la madai kupinga ndoa hiyo kuwa sio halali ni mwaka mmoja tangu kosa lilipotokea.au kwenye sheria ya ardhi ya mwaka 1999 sura 133 imetoa muda wa miaka 12 kufungu shauri ikipita miaka hiyo unakuwa umepoteza haki ya kushtaki.

3. Je,unamtambua unaye mshtaki kuwa ndiye mlalamikiwa sahihi?(proper part and necessary part)sheria ya mwenendo wa makosa ya madai iliyofanyiwa maboresho mwaka 2019 inamuhitaji mlalamikaji kushtaki mlalamikiwa sahihi kwenye shauri lake maana bila hivyo uweza kupoteza hata haki yake ya msingi au asilipwe fidia. Au hata shauri lake kutupiliwa mbali na mahakama

4. Je, mahakama unayo taka kufungua shauri INA nguvu na mamlaka kisheria kusikiliza shauri hilo? Sheria inamtaka mlalamikaji kufungua shauri lake katika mahakama husika maana bila hivyo hata maamuzi ya mahakama hiyo yatakuwa batili.mfano sheria ya (Magistrate court Act iliyofanyiwa maboresho 2019)imetoa kiwango cha thamani ya mashauri na mahakama husika . mahakama ya mwanzo imepewa mamlaka ya kusikiliza case isiyozidi thamani ya million 50, huku mahakama ya wilaya na mahakama ya hakimu mkazi zimepewa nguvu ya kusikiliza case isiyosidi million 300 na huku mahakama kuu ikiwa inauwezo wa kusikiliza kuanzia million 300 na kuendelea (lkn pia mahakama kuu inanguvu ya kusikiliza case ya thamani yeyote ile)

5. Je, kuna njia mbadala ya kumaliza mgogoro wenu njee ya njia ya kimahakama? (Alternative dispute resolution ADR)Sheria inasisitiza na inashauri watu wamalize migogoro njee ya mahakama na mahakama iwe ni njia yabmwisho ya kutatua mgogoro wao ndy maana .kabla ya shauri kundikishwa pande walizoitarafiana wanaitwa chamber wamalize tofauti zao na mapatanisho hayo yanaongozwa na muheshimiwa hakimu au mtukufu jaji. Na ikionekana imeshindikana kabisa kupatanishwa basi shauri kamili linafunguliwa na kuanza kusikiliza na mahakama.

6. Je, Upo tayari kulipa au kulipwa gharama na fidia zitakazo tolewa na mahakama ikiwa utashinda case au utashindwa case.

Mwisho kama unaishtaki serikali inatakiwa kuiandikia barau ya kuitaarifu kuwa unampango wa kuishtaki ikiwa haitolipa au kutimiza madai yako unayoidai .na barau hiyo ya notes ni siku 90 unasubiria wasipojibu basis unafungua shauri.
 
Mkuu naomba msaada.

Kuna tahasisi moja ya serikali sitohitaja ilimshtaki jamaa kwa kukutwa na nyaraka fulani ambazo hazikuwa zimeruhusiwa kusambazwa rasmi, na jamaa na yeye alikutana nazo mtandaoni bila kujua chochote akaanza sambaza.

Tahasisi husika inadai jamaa kuna watu anajuana nao labda ndiyo walimpa hizo nyaraka na jamaa yeye aliwaonyesha mpaka sehemu na mtu aliyetuma nyaraka husika.

Walichukua simu, laptop na vitu vingine kama ushahidi na ili kufanya uchunguzi wao zaidi.

Jamaa amekaa mahabusu siku 17 dhamana ikiwa ngumu kupatikana ilihali wadhamini wapo.

Tulifanikiwa kufanya utaratibu kuwasiliana zaidi na mpelelezi wake ili walau apate dhamana na tulufanikiwa.

Ila tatizo ni zaidi ya siku 20 sasa anaendelea kuripoti kituoni na vifaa vyake mpaka sasa hajapewa wanasema zipo kitengo cha cyber zinafanyiwa uchunguzi hivyo avumilie zikisharudi wataangalia utaratibu unaofuata.

Mkuu me naomba kujua

1. Kwanza kesi kama hizi za kushtakiwa na serikali huwa ziko vp?

2. Kesi kama hii jamaa afanye nini ili atoboe maana mpaka sasa kazi yake ni kuripoti tu.

3. Kwanini vifaa vyake uchunguzi wake umekuwa ni wa muda mrefu (zaidi ya siku 20 tokea apate dhamana) na huwa kwa kawaida kesi kama hizi upande was kurejeshewa vifaa vyake itawezekana??

4. Hii ni aina gani ya kesi, ni madai au ni ipi? (Wenyewe wanadai jamaa alisambaza nyaraka hizo bila kuwa nahatimiliki nazo na bado zilikuwa hazijatoka rasmi).

Naomba tusaidiane wale wataalamu was sheria kuhusu hill.
 
Mkuu mbali na yote ningependa kukujibu tu kwa ufupi kua msingi wa hii case yako Ni case ya Jinai(Criminal case)na case za Jinai zinachukua muda kidogo mpaka kumalizika...kuhusu swala lakua anarepoti tu kila siku hii nikutokana kua case ya Jinai haiwezi kuanzwa kusikilizwa ikiwa Ushahidi juu ya tuhuma zinazomkabili mshatakiwa haujakamilika na hata case ikianzwa kusikilizwa Basi Bado jamaa atakua anapigwa calendar tu na mahakama kwa kigezo kua Upelelezi au Uchunguzi hauja kamilika..hivyo kutokana na Sheria zetu kutokuweka ukomo juu ya case zajinai(limitations)hivyo Basi case husika inaweza kuchukua muda mrefu mpaka kutolewa hukumu....kuhusu suala na vitu vyake kutorudishwa mapema hiyo nikutokana na majibu waliyowapeni kuwa Bado uchunguzi unaendelea!
 
Kheri ya mwaka mpya na mafanikio mema ndugu zangu watanzania, kwa kuanza mwaka huu nimeona niwaletee makala hii ya shauri la MADAI maana mashauri ya MADAI ni moja ya mashauri yanayoongoza kuwa na mlundikano wa case nyingi mahakamani.

MADAI ni nini? Shauri la madai ni shauri linalofunguliwa na MTU yeyote au tasisi,kampuni,serikali ambaye anahisi ajatendewa haki au amezurumiwa haki yake na MTU mwingine ambapo inaweza kuwa taasisi, serikali, kampuni .

Sasa yafwatayo ni maswali ambayo unatakiwa kujiuliza kabla ujafungua case ya madai:

1. Je, unasababu ya kushtaki.(cause of action) sheria inamtaka mlalamikaji (plaintiff) aweze kuithibitia mahakama sababu za kushtaki mlalamikiwa na sababu hizo lazima ziwe za msingi vinginevyo mahakama isipo ona sababu za msingi katika shauri lililofunguliwa inaweza kuamrisha shauri hilo litupiliwe mbali.

2. Je ,shauri hilo lipo ndani ya mda wa ukomo kisheria.? Sheria imeweka mda wa ukomo kwenye kufungua shauri mahakamani kulingana na na sheria ya ukomo(Limitation Act cap 89) pamoja na sheria nyinginezo mfano mkeo au mumeo halali wa ndoa amefungu Teena ndoa na MTU mwingine na ndoa hiyo ni ya kikristo au kiserikali na INI Hall unataarifa au huna taarifa sheria ya ndoa ya mwaka 1971 imetoa mda wa mwaka mmoja kufungua shauri la madai kupinga ndoa hiyo kuwa sio halali ni mwaka mmoja tangu kosa lilipotokea.au kwenye sheria ya ardhi ya mwaka 1999 sura 133 imetoa muda wa miaka 12 kufungu shauri ikipita miaka hiyo unakuwa umepoteza haki ya kushtaki.

3. Je,unamtambua unaye mshtaki kuwa ndiye mlalamikiwa sahihi?(proper part and necessary part)sheria ya mwenendo wa makosa ya madai iliyofanyiwa maboresho mwaka 2019 inamuhitaji mlalamikaji kushtaki mlalamikiwa sahihi kwenye shauri lake maana bila hivyo uweza kupoteza hata haki yake ya msingi au asilipwe fidia. Au hata shauri lake kutupiliwa mbali na mahakama

4. Je, mahakama unayo taka kufungua shauri INA nguvu na mamlaka kisheria kusikiliza shauri hilo? Sheria inamtaka mlalamikaji kufungua shauri lake katika mahakama husika maana bila hivyo hata maamuzi ya mahakama hiyo yatakuwa batili.mfano sheria ya (Magistrate court Act iliyofanyiwa maboresho 2019)imetoa kiwango cha thamani ya mashauri na mahakama husika . mahakama ya mwanzo imepewa mamlaka ya kusikiliza case isiyozidi thamani ya million 50, huku mahakama ya wilaya na mahakama ya hakimu mkazi zimepewa nguvu ya kusikiliza case isiyosidi million 300 na huku mahakama kuu ikiwa inauwezo wa kusikiliza kuanzia million 300 na kuendelea (lkn pia mahakama kuu inanguvu ya kusikiliza case ya thamani yeyote ile)

5. Je, kuna njia mbadala ya kumaliza mgogoro wenu njee ya njia ya kimahakama? (Alternative dispute resolution ADR)Sheria inasisitiza na inashauri watu wamalize migogoro njee ya mahakama na mahakama iwe ni njia yabmwisho ya kutatua mgogoro wao ndy maana .kabla ya shauri kundikishwa pande walizoitarafiana wanaitwa chamber wamalize tofauti zao na mapatanisho hayo yanaongozwa na muheshimiwa hakimu au mtukufu jaji. Na ikionekana imeshindikana kabisa kupatanishwa basi shauri kamili linafunguliwa na kuanza kusikiliza na mahakama.

6. Je, Upo tayari kulipa au kulipwa gharama na fidia zitakazo tolewa na mahakama ikiwa utashinda case au utashindwa case.

Mwisho kama unaishtaki serikali inatakiwa kuiandikia barau ya kuitaarifu kuwa unampango wa kuishtaki ikiwa haitolipa au kutimiza madai yako unayoidai .na barau hiyo ya notes ni siku 90 unasubiria wasipojibu basis unafungua shauri.
Well narrated Counsel
 
Shukrani sana boss kwa muongozo.

Kwasasa naona wamemlegezea kutoka kuripoti kila siku na kuanza kuripoti mara mbili tu kwa wiki, yaani jumatatu na ijumaa tu.
 
Oooh ok sawa sawa Mungu atawafanyia wepesi mtalimaliza Hilo kwasalama
 
Ahsante learned lawyer aka mwanasheria msomi.
 
Kwa hali ilivyo Sasa,
Kuishitaki serikali hii tulio nnayo Ni haiwezekani kabisa.

Narudia Tena,
HAIWEZEKANI KABISA.

Vinginevyo,
Ukishafungua ilo shtaka, katafute nchi nyingine ya Kuishi.

Ova
Tulia wewe, hakuna aliye juu ya sheria, hata sheria yenyewe
 
Mku hbr.
Mimi nimekutana na shida katika kufungua madai yangu kwani nimejikuta nipo nje ya muda kwani deadline ilikuwa jana nikashindwa kufuatilia baada kupata matatizo ya kiafya.
Sasa sijui nifanyeje ili niweze kupata haki yangu.Asante
 
Kheri ya mwaka mpya na mafanikio mema ndugu zangu watanzania, kwa kuanza mwaka huu nimeona niwaletee makala hii ya shauri la MADAI maana mashauri ya MADAI ni moja ya mashauri yanayoongoza kuwa na mlundikano wa case nyingi mahakamani.

MADAI ni nini? Shauri la madai ni shauri linalofunguliwa na MTU yeyote au tasisi,kampuni,serikali ambaye anahisi ajatendewa haki au amezurumiwa haki yake na MTU mwingine ambapo inaweza kuwa taasisi, serikali, kampuni .

Sasa yafwatayo ni maswali ambayo unatakiwa kujiuliza kabla ujafungua case ya madai:

1. Je, unasababu ya kushtaki.(cause of action) sheria inamtaka mlalamikaji (plaintiff) aweze kuithibitia mahakama sababu za kushtaki mlalamikiwa na sababu hizo lazima ziwe za msingi vinginevyo mahakama isipo ona sababu za msingi katika shauri lililofunguliwa inaweza kuamrisha shauri hilo litupiliwe mbali.

2. Je ,shauri hilo lipo ndani ya mda wa ukomo kisheria.? Sheria imeweka mda wa ukomo kwenye kufungua shauri mahakamani kulingana na na sheria ya ukomo(Limitation Act cap 89) pamoja na sheria nyinginezo mfano mkeo au mumeo halali wa ndoa amefungu Teena ndoa na MTU mwingine na ndoa hiyo ni ya kikristo au kiserikali na INI Hall unataarifa au huna taarifa sheria ya ndoa ya mwaka 1971 imetoa mda wa mwaka mmoja kufungua shauri la madai kupinga ndoa hiyo kuwa sio halali ni mwaka mmoja tangu kosa lilipotokea.au kwenye sheria ya ardhi ya mwaka 1999 sura 133 imetoa muda wa miaka 12 kufungu shauri ikipita miaka hiyo unakuwa umepoteza haki ya kushtaki.

3. Je,unamtambua unaye mshtaki kuwa ndiye mlalamikiwa sahihi?(proper part and necessary part)sheria ya mwenendo wa makosa ya madai iliyofanyiwa maboresho mwaka 2019 inamuhitaji mlalamikaji kushtaki mlalamikiwa sahihi kwenye shauri lake maana bila hivyo uweza kupoteza hata haki yake ya msingi au asilipwe fidia. Au hata shauri lake kutupiliwa mbali na mahakama

4. Je, mahakama unayo taka kufungua shauri INA nguvu na mamlaka kisheria kusikiliza shauri hilo? Sheria inamtaka mlalamikaji kufungua shauri lake katika mahakama husika maana bila hivyo hata maamuzi ya mahakama hiyo yatakuwa batili.mfano sheria ya (Magistrate court Act iliyofanyiwa maboresho 2019)imetoa kiwango cha thamani ya mashauri na mahakama husika . mahakama ya mwanzo imepewa mamlaka ya kusikiliza case isiyozidi thamani ya million 50, huku mahakama ya wilaya na mahakama ya hakimu mkazi zimepewa nguvu ya kusikiliza case isiyosidi million 300 na huku mahakama kuu ikiwa inauwezo wa kusikiliza kuanzia million 300 na kuendelea (lkn pia mahakama kuu inanguvu ya kusikiliza case ya thamani yeyote ile)

5. Je, kuna njia mbadala ya kumaliza mgogoro wenu njee ya njia ya kimahakama? (Alternative dispute resolution ADR)Sheria inasisitiza na inashauri watu wamalize migogoro njee ya mahakama na mahakama iwe ni njia yabmwisho ya kutatua mgogoro wao ndy maana .kabla ya shauri kundikishwa pande walizoitarafiana wanaitwa chamber wamalize tofauti zao na mapatanisho hayo yanaongozwa na muheshimiwa hakimu au mtukufu jaji. Na ikionekana imeshindikana kabisa kupatanishwa basi shauri kamili linafunguliwa na kuanza kusikiliza na mahakama.

6. Je, Upo tayari kulipa au kulipwa gharama na fidia zitakazo tolewa na mahakama ikiwa utashinda case au utashindwa case.

Mwisho kama unaishtaki serikali inatakiwa kuiandikia barau ya kuitaarifu kuwa unampango wa kuishtaki ikiwa haitolipa au kutimiza madai yako unayoidai .na barau hiyo ya notes ni siku 90 unasubiria wasipojibu basis unafungua shauri.
Mku hbr.
Naomba Msaada wako mku
 
Mkuu naomba msaada mwaka 2019 dec nilipigwa Tsh 8,000,000/- na kampuni moja (sitaitaja) ya kudrill visima. Alikuja jamaa mmoja toka Tanga akapima eneo akaniambia maji yapo. Akaniletea hiyo kampuni tulikubaliana sh laki moja kwa kila mita moja.wao walivyopima walisema maji yanapatikana mita 120. Hivyo nilitoa advance 7,000,000/- wakaja kudrill. Lkn hadi mita 120 walizosema maji hayakuoatikana. Tukaongeza mita 30 zaidi bado hatukupata maji. Tukakubaliana tuongezee milioni moja kwa ajili ya mafuta ili wajaribu eneo jingine. Niliwalipa hizo fedha lkn hawakujaribu eneo jingine wakadai magari yao yanawra kukwama hivyo watarudi baadae maana kilikuwa kipindi cha mvua. Lkn hadi leo hawajarudi. Niliwahi kuwafuata ofisin kwao wanatupiana mpira wao na mpimaji aliyepima na kusema maji yapo. Ukienda kwa mpimaji anakwambia niwadai heka yangu.
 
Bibi anakaa mwenyewe na kumbukumbu zake zimeanza kupotea, alichoma majani nje ya nyumba yake na moto ukasambaa mpaka kwa jirani na kuchoma majani yake ya kulisha ng'ombe. Jirani anadai fidia, je atamshtaki bibi au watoto wake ambao wanakaa mjini?
 
Atashitakiwa Bibi kwa negligence
 
Back
Top Bottom