MTAtiro grandson
Member
- Aug 18, 2019
- 80
- 177
Kheri ya mwaka mpya na mafanikio mema ndugu zangu watanzania, kwa kuanza mwaka huu nimeona niwaletee makala hii ya shauri la MADAI maana mashauri ya MADAI ni moja ya mashauri yanayoongoza kuwa na mlundikano wa case nyingi mahakamani.
MADAI ni nini? Shauri la madai ni shauri linalofunguliwa na MTU yeyote au tasisi,kampuni,serikali ambaye anahisi ajatendewa haki au amezurumiwa haki yake na MTU mwingine ambapo inaweza kuwa taasisi, serikali, kampuni .
Sasa yafwatayo ni maswali ambayo unatakiwa kujiuliza kabla ujafungua case ya madai:
1. Je, unasababu ya kushtaki.(cause of action) sheria inamtaka mlalamikaji (plaintiff) aweze kuithibitia mahakama sababu za kushtaki mlalamikiwa na sababu hizo lazima ziwe za msingi vinginevyo mahakama isipo ona sababu za msingi katika shauri lililofunguliwa inaweza kuamrisha shauri hilo litupiliwe mbali.
2. Je ,shauri hilo lipo ndani ya mda wa ukomo kisheria.? Sheria imeweka mda wa ukomo kwenye kufungua shauri mahakamani kulingana na na sheria ya ukomo(Limitation Act cap 89) pamoja na sheria nyinginezo mfano mkeo au mumeo halali wa ndoa amefungu Teena ndoa na MTU mwingine na ndoa hiyo ni ya kikristo au kiserikali na INI Hall unataarifa au huna taarifa sheria ya ndoa ya mwaka 1971 imetoa mda wa mwaka mmoja kufungua shauri la madai kupinga ndoa hiyo kuwa sio halali ni mwaka mmoja tangu kosa lilipotokea.au kwenye sheria ya ardhi ya mwaka 1999 sura 133 imetoa muda wa miaka 12 kufungu shauri ikipita miaka hiyo unakuwa umepoteza haki ya kushtaki.
3. Je,unamtambua unaye mshtaki kuwa ndiye mlalamikiwa sahihi?(proper part and necessary part)sheria ya mwenendo wa makosa ya madai iliyofanyiwa maboresho mwaka 2019 inamuhitaji mlalamikaji kushtaki mlalamikiwa sahihi kwenye shauri lake maana bila hivyo uweza kupoteza hata haki yake ya msingi au asilipwe fidia. Au hata shauri lake kutupiliwa mbali na mahakama
4. Je, mahakama unayo taka kufungua shauri INA nguvu na mamlaka kisheria kusikiliza shauri hilo? Sheria inamtaka mlalamikaji kufungua shauri lake katika mahakama husika maana bila hivyo hata maamuzi ya mahakama hiyo yatakuwa batili.mfano sheria ya (Magistrate court Act iliyofanyiwa maboresho 2019)imetoa kiwango cha thamani ya mashauri na mahakama husika . mahakama ya mwanzo imepewa mamlaka ya kusikiliza case isiyozidi thamani ya million 50, huku mahakama ya wilaya na mahakama ya hakimu mkazi zimepewa nguvu ya kusikiliza case isiyosidi million 300 na huku mahakama kuu ikiwa inauwezo wa kusikiliza kuanzia million 300 na kuendelea (lkn pia mahakama kuu inanguvu ya kusikiliza case ya thamani yeyote ile)
5. Je, kuna njia mbadala ya kumaliza mgogoro wenu njee ya njia ya kimahakama? (Alternative dispute resolution ADR)Sheria inasisitiza na inashauri watu wamalize migogoro njee ya mahakama na mahakama iwe ni njia yabmwisho ya kutatua mgogoro wao ndy maana .kabla ya shauri kundikishwa pande walizoitarafiana wanaitwa chamber wamalize tofauti zao na mapatanisho hayo yanaongozwa na muheshimiwa hakimu au mtukufu jaji. Na ikionekana imeshindikana kabisa kupatanishwa basi shauri kamili linafunguliwa na kuanza kusikiliza na mahakama.
6. Je, Upo tayari kulipa au kulipwa gharama na fidia zitakazo tolewa na mahakama ikiwa utashinda case au utashindwa case.
Mwisho kama unaishtaki serikali inatakiwa kuiandikia barau ya kuitaarifu kuwa unampango wa kuishtaki ikiwa haitolipa au kutimiza madai yako unayoidai .na barau hiyo ya notes ni siku 90 unasubiria wasipojibu basis unafungua shauri.