Maswali ya kujiuliza juu ya Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station

2introvert

Senior Member
May 25, 2017
156
292
Maswali ya kujiuliza:

Kunauhitaji gani wa hii project kwa sasa?

Je, huu mradi ni kipaumbele cha Taifa?
Je, ukitengenezwa huu mradi wa umeme na viwanda vikaamua kutumia nishati tofauti kama vile solar tutafanyaje kama taifa ?
Je, uchunguzi umefanyika wakutosha na kugundua kwanini viwanda vingi duniani havitumii aina ya nishati tunayotaka kutumia?
Je, gharama za mradi huu tumelinganisha na gharama za miradi mingine ya umeme kwa kutumia chazo tofauti cha nishati kama vile jua au upepo, pamoja na gharama za uendeshaji?
Je, hao wanyama tutakao wapoteza hawana thamani kama faru John? Zilitumika nguvu nyingi sana kumtafuta faru John na inatumika nguvu kidogo kuangamiza makundi ya wanyama wa kila aina.

zaidi ya miti milioni 2.6 kukatwa idadi hii ya miti tutaweka historia ya dunia katika uharibifu wa mazingira . Kwahili jambo ni hatari kwa sasa na zaidi kwa kizazi kijacho.

Kwanini tuharibu mazingira kwa ukubwa huu wakati tunauwezo wa kutumia jua na upepo kuendeshea viwanda, na matumizi mengine na tuna makaa ya mawe.

Dunia nzima tuna tatizo la mabadiliko ya hali ya hewa (sisi wenyewe ni mashahidi ndani ya nchi yetu) yanayosababishwa na uharibifu wa mazingira.

Angalia mazingira ya selour Game Reserve yalivyo mazuri wanataka pabaki ukiwa, Tunza mazingira yakutunze.

1090086
1090088

If you cut a tree, you kill a life.
If you save a tree, you save a life.
If you plant a tree, you plant a life.

Wind turbines provide 8% of U.S. generating capacity, more than any other renewable source.

Top 10 Companies Using Solar Power (Based on Megawatts Installed)

  1. Target Corporation (147.5 MW). Target’s goal is to increase its number of buildings with rooftop solar panels to 500 by 2020. The retailer currently has 300 buildings equipped with panels.
  2. Walmart (145 MW). In 2005, Walmart’s chief executive officer at the time, Lee Scott, said, “Climate change used to be controversial, but the science is in and it is overwhelming. Every company has a responsibility to reduce greenhouse gas emissions as quickly as possible.”
  3. Prologis (107.8 MW). Prologis — an owner, operator and developer of industrial real estate — has put in more solar capacity than 27 different U.S. states.
  4. Apple (93.9 MW). A former administrator of the Environmental Protection Agency (EPA), Lisa Jackson, is now the Apple executive overseeing environmental policy, social initiatives and worldwide government affairs.
  5. Costco Wholesale (50.7 MW). The solar array on Costco Wholesale’s warehouse in Lake Elsinore, Calif., covers 45,000 square feet, which will prevent 458 tons of carbon from going into the atmosphere every year. The developers have compared this to planting 112 acres of trees.
  6. Kohl’s (50.2 MW). As of the end of last year, retailer Kohl’s had 163 solar power systems activated in 15 states.
  7. IKEA (44 MW). Ninety-one percent of IKEA stores are powered by the sun.
  8. Macy’s (38.9 MW). By the end of 2016, Macy’s is scheduled to install additional solar power systems on its facilities, for a total of 113.
  9. General Growth Properties (30.2 MW). In 2015, real estate investment trust GGP reduced its overall carbon footprint by 23,200 metric tons of carbon dioxide, which is the equivalent of removing nearly 5,000 cars off the roads in the U.S.
  10. Hartz Mountain Industries (22.7 MW). “Solar power represents both a means to be kinder to the earth by reducing pollution and is a significant factor in reducing our operational expenses,” said Emanuel Stern, president and chief operating officer for Hartz Mountain Industries, which deals in commercial real estate.
 
maswali ya kujiuliza
kunauhitaji gani wa hii project kwa sasa?
Tunahitaji uhuru wa nishati, baada ya gharama za ujenzi hakuta kuwa na gharama za kutafuta malighafi kuzalisha umeme (maji yapo bure).
Je huu mradi ni kipaumbele cha Taifa?.
Haswa, kwa kuwa Tanzania tulishakuwa tumepigwa loba na wajanja. Mafisadi walishaweka mirija ya kutunyonya kwa miaka mingi kwa kusaini mikataba na wamiliki wa visima vya gesi. Wote hao wakimiliki zaidi ya asilimia 80% na watanzania tukimiliki asilimia kiduchu. Hivyo Rais Mgufuli ametuokoa wananchi kwa kuwapiga mafisadi chenga/kanzu/tobo kama Okocha vile.
Je ukitengenezwa huu mradi wa umeme na viwanda vikaamua kutumia nishati tofauti kama vile solar tutafanyaje kama taifa ?
Umeme wa Solar hauna nguvu ya kuendesha viwanda, unaweza kutumia kuwashia taa na vitu vinavyohitaji umeme mdogo (wattage) ila kuendesha viwanda vinavyoendesha mashine nzito haufai.
Je uchunguzi umefanyika wakutosha na kugundua kwanini viwanda vingi duniani havitumii aina ya nishati tunayotaka kutumia?
Sababu kubwa ya nchi nyingi kutokutumia umeme wa maji ni kutokana na kutokuwa na vyanzo, wenzetu walishatumia vyanzo vyote (exhausted all options). Kujenga bwawa la umeme lazima uwe na chanzo cha maji ya kutosha halafu kuwe na kina pamoja na kingo mbili. Ni sehemu chache sana duniani zina jiografia hiyo.
Je gharama za mradi huu tumelinganisha na gharama za miradi mingine ya umeme kwa kutumia chazo tofauti cha nishati kama vile jua au upepo, pamoja na gharama za uendeshaji?
Tatizo la njia za upepo ni eneo kubwa litakalohitajika kuzalisha kiasi kama hicho cha bwawa, hii inamaanisha kutahitajika mapanga boi mengi sana ambayo gharama yake ni kubwa mno. Siyo hivyo tuu kwakuwa ni mengi, kuyaendesha kutahitaji wafanyakazi wengi. Mapangaboi huwa na umri wa miaka 25 (lifespan) hivyo baada ya muda huo itabidi serikali igharamie upya ubadilishwaji wa mapangaboi.
Je hao wanyama tutakao wapoteza hawana thamani kama faru John? Zilitumika nguvu nyingi sana kumtafuta faru John na inatumika nguvu kidogo kuangamiza makundi ya wanyama wa kila aina.
Watapotea kivipi, eneo litakalo tumika ni 3% ya hifadhi, wanyama siku zote wanatembea kutafuta maji, malisho na sehemu za kujificha, kama wakiona sehemu hiyo si rafiki wataenda kwenye eneo la 97% lililobaki.
zaidi ya miti milioni 2.6 kukatwa idadi hii ya miti tutaweka historia ya dunia katika uharibifu wa mazingira . Kwahili jambo ni hatari kwa sasa na zaidi kwa kizazi kijacho.
Katika mradi wowote huwa kuna yale majukumu ya kijamii, ni dhahiri hilo watalizingatia.
Kwanini tuharibu mazingira kwa ukubwa huu wakati tunauwezo wa kutumia jua na upepo kuendeshea viwanda, na matumizi mengine na tuna makaa ya mawe.
Nani kakwambia umeme wa jua unatumika kuendesha viwanda? Baada ya nishati ya jua kubadilishwa kuwa umeme ni lazima ihifadhiwe kwenye betri, sasa ili uweze kuzalisha kiasi kikubwa cha umeme, ni lazima uwe na eneo kubwa sana ambalo kwanza itabidi uharibu mazingira (kukata miti), pili lazima uwe na kiasi kikubwa cha betri. Betri hizi huwa ni zile za Lithium ion (zinatoa nishati kubwa) ambazo ni ghali sana na pia baada ya muda inabidi zibadilishwe, hivyo gharama za uendeshaji kuongezeka mara dufu.
Wind turbines provide 8% of U.S. generating capacity, more than any other renewable source.

Top 10 Companies Using Solar Power (Based on Megawatts Installed)

  1. Target Corporation (147.5 MW). Target’s goal is to increase its number of buildings with rooftop solar panels to 500 by 2020. The retailer currently has 300 buildings equipped with panels.
  2. Walmart (145 MW). In 2005, Walmart’s chief executive officer at the time, Lee Scott, said, “Climate change used to be controversial, but the science is in and it is overwhelming. Every company has a responsibility to reduce greenhouse gas emissions as quickly as possible.”
  3. Prologis (107.8 MW). Prologis — an owner, operator and developer of industrial real estate — has put in more solar capacity than 27 different U.S. states.
  4. Apple (93.9 MW). A former administrator of the Environmental Protection Agency (EPA), Lisa Jackson, is now the Apple executive overseeing environmental policy, social initiatives and worldwide government affairs.
  5. Costco Wholesale (50.7 MW). The solar array on Costco Wholesale’s warehouse in Lake Elsinore, Calif., covers 45,000 square feet, which will prevent 458 tons of carbon from going into the atmosphere every year. The developers have compared this to planting 112 acres of trees.
  6. Kohl’s (50.2 MW). As of the end of last year, retailer Kohl’s had 163 solar power systems activated in 15 states.
  7. IKEA (44 MW). Ninety-one percent of IKEA stores are powered by the sun.
  8. Macy’s (38.9 MW). By the end of 2016, Macy’s is scheduled to install additional solar power systems on its facilities, for a total of 113.
  9. General Growth Properties (30.2 MW). In 2015, real estate investment trust GGP reduced its overall carbon footprint by 23,200 metric tons of carbon dioxide, which is the equivalent of removing nearly 5,000 cars off the roads in the U.S.
  10. Hartz Mountain Industries (22.7 MW). “Solar power represents both a means to be kinder to the earth by reducing pollution and is a significant factor in reducing our operational expenses,” said Emanuel Stern, president and chief operating officer for Hartz Mountain Industries, which deals in commercial real estate.
Hao uliookoteza huko wanaotaka kutumia umeme wa jua ni ma supermakert na siyo viwanda. Wameamua kufanya hivyo si kwasababu ya kupenda sana mazingira bali kupunguza gharama za uendeshaji wa huduma zao ili kuongeza faida.

Walmart kwa mfano, biashara yao imesimamia maneno haya, "everyday Low Price" sasa ili wauze kwa bei ndogo ni lazima wapunguze gharama kwingine. Wamekuwa wakiwaminya supplers wao kwa miaka mingi kwa kununua bidhaa kwa bei ndogo, huku wakiwalipa wafanyakazi wao ujira mdogo, bila maslahi (benefits), mpaka vyama vya kulinda wafanyakazi (unions) walivikataa visianzishwe.

Jamaa hawakutosheka, wakaona wapunguze "middlemen", wakaanza kutengeneza bidhaa zao wenyewe zenye brand name "great value". Sasa naona investors wanataka kukamua zaidi hivyo menejimenti wameona wajitengenezee umeme wao wenyewe kupunguza gharama.

Kwa hiyo ndugu, usipende kunyweshwa kila kitu unachopewa, jiongeze.
 
Tunahitaji uhuru wa nishati, baada ya gharama za ujenzi hakuta kuwa na gharama za kutafuta malighafi kuzalisha umeme (maji yapo bure).

Haswa, kwa kuwa Tanzania tulisha kuwa tumepigwa loba na wajanja. Mafisadi walishaweka mirija ya kutunyonya kwa miaka mingi kwa kusaini mikataba na wamiliki wa visima vya gesi. Wate hao wakimiliki zaidi ya asilimia 80% na watanzania tukimiliki asilimia kiduchu. Hivyo Rais Mgufuli ametuokoa wananchi na janga hilo.

Umeme wa Solar hauna nguvu ya kuendesha viwanda, unaweza kutumia kuwashia taa na vitu vinavyohitaji umeme mdogo (wattage) ila kuendesha viwanda vinavyoendesha mashine nzito haufai.

Sababu kubwa ya nchi nyingi kutokutumia umeme wa maji ni kutokana na kutokuwa na vyanzo, wenzetu walisha tumia vyanzo vyote (exhausted all options). Kujenga bwawa la umeme lazima uwe na chanzo cha maji ya kutosha halafu kuwe na kina pamoja na kingo mbili. Ni sehemu chache sana duniani zina jografia hiyo.

Tatizo la njia za upepo ni eneo kubwa litakalohitajika kuzalisha kiasi kama hicho cha bwawa, hii inamaanisha kutahitajika mapanga boi mengi sana ambayo gharama yake ni kubwa sana. Siyo hivyo tuu bali kwakuwa ni mengi, kuyaendesha pia ni kazi kwakuwa utahitaji wafanyakazi wengi. Mapangaboi huwa na umri wa miaka 25 (lifespan) hivyo baada ya muda huo itabidi serikali igharamie upya kubadilisha mapangaboi.

Watapotea kivipi, eneo litakalo tumika ni 3% ya hifadhi, wanyama siku zote wanatembea kutafuta maji, malisho na sehemu za kujificha, kama wakiona sehemu hiyo si rafiki wataenda kwenye eneo la 97% lililobaki.

Katika mradi wowote huwa kuna yale majukumu ya kijamii, ni dhahiri hilo watalizingatia.

Nani kakwambia umeme wa jua unatumika kuendesha viwanda? Baada ya nishati ya jua kubadilishwa kuwa umeme ni lazima ihifadhiwe kwenye betri, sasa ili uweze kuzalisha kiasi kikubwa cha umeme, ni lazima uwe na eneo kubwa sana ambalo kwanza itabidi uharibu mazingira (kukata miti), pili lazima uwe na kiasi kikubwa cha betri. Betri hizi huwa ni zile za Lithium ion (kwa kuwa zina nguvu) ambazo ni ghali sana na pia baada ya muda inabidi zibadilishwe, hivyo gharama kuongezeka mara dufu.

Hao uliookoteza huko wanaotaka kutumia umeme wa jua ni ma supamakert na siyo viwanda, wameamua kufanya hivyo si kwasababu ya kupenda sana mazingira bali kwa kupunguza gharama za uendeshaji wa huduma zao ili kuongeza faida.

Walmart kwa mfano, biashara yao imesimamia maneno haya, "Low Price" sasa ili wauze kwa bei ndogo ni lazima wapunguze gharama kwingine. Wamekuwa wakiwanyima supplers wao kwa miaka mingi kwa kununua bidhaa kwa bei ndogo, hawakutosheka, wakaanza kutengeneza bidhaa zao wenyewe zanye brand name "great value". Sasa naona investors wanataka kukamua zaidi wameona wajitengenezee umeme wao wenyenwe. Kwa hiyo ndugu, usipende kunyweshwa kila kitu wanachosema, ujiongeze.
Hongera sana na ubarikiwe kwa kujitolea kumjibu kistaarabu!
 
Awamu ya nne trillions zilitumika kuhusu umeme wa gesi na bomba kujengwa kwa gharama kubwa sana. Na tulihakikishiwa kwamba matatizo ya umeme Tanzania yatakuwa history.

Huyu mwizi na fisadi tangu aingie umeme wa gesi hauzungumzii tena kaja na lake ili afanye ukwapuzi wa kufa mtu.

Bomba la gesi toka Mtwara lililojengwa kwa trillions za walipa kodi sasa linatumika kwa asilimia 6 tu huku 94% ikiwa idle. Huu ni ubadhirifu mkubwa wa pesa za walipa kodi unaofanywa na huyo nduli wa magogoni.
 
Awamu ya nne trillions zilitumika kuhusu umeme wa gesi na bomba kujengwa kwa gharama kubwa sana. Na tulihakikishiwa kwamba matatizo ya umeme Tanzania yatakuwa history.

Huyu mwizi na fisadi tangu aingie umeme wa gesi hauzungumzii tena kaja na lake ili afanye ukwapuzi wa kufa mtu.

Bomba la gesi toka Mtwara lililojengwa kwa trillions za walipa kodi sasa linatumika kwa asilimia 6 tu huku 94% ikiwa idle. Huu ni ubadhirifu mkubwa wa pesa za walipa kodi unaofanywa na huyo nduli wa magogoni.
 
Tunahitaji uhuru wa nishati, baada ya gharama za ujenzi hakuta kuwa na gharama za kutafuta malighafi kuzalisha umeme (maji yapo bure).

Haswa, kwa kuwa Tanzania tulisha kuwa tumepigwa loba na wajanja. Mafisadi walishaweka mirija ya kutunyonya kwa miaka mingi kwa kusaini mikataba na wamiliki wa visima vya gesi. Wate hao wakimiliki zaidi ya asilimia 80% na watanzania tukimiliki asilimia kiduchu. Hivyo Rais Mgufuli ametuokoa wananchi na janga hilo.

Umeme wa Solar hauna nguvu ya kuendesha viwanda, unaweza kutumia kuwashia taa na vitu vinavyohitaji umeme mdogo (wattage) ila kuendesha viwanda vinavyoendesha mashine nzito haufai.

Sababu kubwa ya nchi nyingi kutokutumia umeme wa maji ni kutokana na kutokuwa na vyanzo, wenzetu walisha tumia vyanzo vyote (exhausted all options). Kujenga bwawa la umeme lazima uwe na chanzo cha maji ya kutosha halafu kuwe na kina pamoja na kingo mbili. Ni sehemu chache sana duniani zina jografia hiyo.

Tatizo la njia za upepo ni eneo kubwa litakalohitajika kuzalisha kiasi kama hicho cha bwawa, hii inamaanisha kutahitajika mapanga boi mengi sana ambayo gharama yake ni kubwa sana. Siyo hivyo tuu bali kwakuwa ni mengi, kuyaendesha pia ni kazi, kwa kuwa utahitaji wafanyakazi wengi. Mapangaboi huwa na umri wa miaka 25 (lifespan) hivyo baada ya muda huo itabidi serikali igharamie upya ubadilishwaji wa mapangaboi.

Watapotea kivipi, eneo litakalo tumika ni 3% ya hifadhi, wanyama siku zote wanatembea kutafuta maji, malisho na sehemu za kujificha, kama wakiona sehemu hiyo si rafiki wataenda kwenye eneo la 97% lililobaki.

Katika mradi wowote huwa kuna yale majukumu ya kijamii, ni dhahiri hilo watalizingatia.

Nani kakwambia umeme wa jua unatumika kuendesha viwanda? Baada ya nishati ya jua kubadilishwa kuwa umeme ni lazima ihifadhiwe kwenye betri, sasa ili uweze kuzalisha kiasi kikubwa cha umeme, ni lazima uwe na eneo kubwa sana ambalo kwanza itabidi uharibu mazingira (kukata miti), pili lazima uwe na kiasi kikubwa cha betri. Betri hizi huwa ni zile za Lithium ion (kwa kuwa zina nguvu) ambazo ni ghali sana na pia baada ya muda inabidi zibadilishwe, hivyo gharama za uendeshaji kuongezeka mara dufu.

Hao uliookoteza huko wanaotaka kutumia umeme wa jua ni ma supermakert na siyo viwanda. Wameamua kufanya hivyo si kwasababu ya kupenda sana mazingira bali kwa kupunguza gharama za uendeshaji wa huduma zao ili kuongeza faida.

Walmart kwa mfano, biashara yao imesimamia maneno haya, "Low Price" sasa ili wauze kwa bei ndogo ni lazima wapunguze gharama kwingine. Wamekuwa wakiwaminya supplers wao kwa miaka mingi kwa kununua bidhaa kwa bei ndogo, huku wakiwalipa wafanyakazi wao ujira mdogo bila maslahi (benefits) yoyote mpaka vyama vya kulinda wafanyakazi (unions) walikataa. Jamaa hawakutosheka, wakaanza kutengeneza bidhaa zao wenyewe zenye brand name "great value". Sasa naona investors wanataka kukamua zaidi menejimenti wameona wajitengenezee umeme wao wenyewe.

Kwa hiyo ndugu, usipende kunyweshwa kila kitu unachopewa, jiongeze.
Jamaa una akili sana
 
Awamu ya nne trillions zilitumika kuhusu umeme wa gesi na bomba kujengwa kwa gharama kubwa sana. Na tulihakikishiwa kwamba matatizo ya umeme Tanzania yatakuwa history.

Huyu mwizi na fisadi tangu aingie umeme wa gesi hauzungumzii tena kaja na lake ili afanye ukwapuzi wa kufa mtu.

Bomba la gesi toka Mtwara lililojengwa kwa trillions za walipa kodi sasa linatumika kwa asilimia 6 tu huku 94% ikiwa idle. Huu ni ubadhirifu mkubwa wa pesa za walipa kodi unaofanywa na huyo nduli wa magogoni.
Mkuu umevuta bhange. Unajua ufisadi uliofanyika kwenye gesi au unalopoka tu. Hamjui kuwa mlishasainishwa mikataba ya Mangungo kwenye gesi na yote iko kwa mabeberu na mafisadi wakiisubiri serikali na tanesco waingie kichwakichwa wapigwe.
 
Chamoto asante sana kwa majibu yako. Hata kama siyakubali lakini yana reflect ustaarabu wako. Many thanks.

Mimi shida yangu kiukweli ni hii swala la gesi. Of course tunahitaji umeme wa uhakika na hii SG inaweza kuwa ni suluhisho. Lakini hili swala la gesi litaishia wapi? Tumefanya investment kubwa katika swala la gesi. Huoni kwamba kama taifa hatuna vipaumbele? vipi akija kiongozi mwingine baada ya mda akaamua ku-focus kwenye gesi? Maana naamini kwa dhati kabisa SG haiwezi kuisha kipindi cha JPM! Huu ni mradi mkubwa sana.

Yote kwa yote, mimi namsifu JPM kwa hili. Lakini wasiwasi wangu ni kwamba kama taifa tunashindwa kuwa na vipaumbele ambavyo kila chama/utawala utaviheshimu! N mwisho wa siku itatugharimu sisi walipa kodi.
 
Awamu ya nne trillions zilitumika kuhusu umeme wa gesi na bomba kujengwa kwa gharama kubwa sana. Na tulihakikishiwa kwamba matatizo ya umeme Tanzania yatakuwa history.

Huyu mwizi na fisadi tangu aingie umeme wa gesi hauzungumzii tena kaja na lake ili afanye ukwapuzi wa kufa mtu.

Bomba la gesi toka Mtwara lililojengwa kwa trillions za walipa kodi sasa linatumika kwa asilimia 6 tu huku 94% ikiwa idle. Huu ni ubadhirifu mkubwa wa pesa za walipa kodi unaofanywa na huyo nduli wa magogoni.

Hayo yanaitwa maneno matupu ambayo yanaongozwa na hisia badala ya uhalisia. Punguza jazba, jenga hoja kama mwenzako
Chamoto alivyofanya ili ueleweke.
 
Si kila hoja iliyoandikwa humu ni lazima uilewe. Soma kwa kituo acha KUKURUPUKA. Nchi hawezi kuendelea kwa KUKURUPUKA kutekeleza mradi mkubwa wa trillions na kurukia mwingine wa trillions pia huku mapato nchi yakiwa yanasuasua na nchi wafadhili nyingi kugoma kutoa pesa za maendeleo.

Hayo yanaitwa maneno matupu ambayo yanaongozwa na hisia badala ya uhalisia. Punguza jazba, jenga hoja kama mwenzako
2introvert alivyofanya ili ueleweke.
 
Si kila hoja iliyoandikwa humu ni lazima uilewe. Soma kwa kituo acha KUKURUPUKA.

Katika kuogea na kupitisha ujumbe kwa hadhira kuna mambo mawili ambayo mara nyingi hutokea. Mosi, namna ulivyowasilisha mada: Pili maudhui ya mada uliyoiwasilisha. Usipokuwa makini unaweza ukakuta hadhira yako inafikiria zaidi namna unavyowasilisha mada (drama), badala ya kufuatilia maudhui au ujumbe unaowasilishwa na mtoa mada. Huo ni mtego ambao mara nyingi tusipojichunga tunaweza kuingia humo.
 
Narudia tena soma kwa kituo hakuna wa kukutafunia kila kitu humu.

Katika kuogea na kupitisha ujumbe kwa hadhira kuna mambo mawili ambayo mara nyingi hutokea. Mosi, namna ulivyowasilisha mada: Pili maudhui ya mada uliyoiwasilisha. Usipokuwa makini unaweza ukakuta hadhira yako inafikiria zaidi namna unavyowasilisha mada (drama), badala ya kufuatilia maudhui au ujumbe unaowasilishwa na mtoa mada. Huo ni mtego ambao mara nyingi tusipojichunga tunaweza kuingia humo.
 
Hivi ni lini ulipewa UMOD humu wa kulazimisha watu wachangie vile utakavyo wewe!? 😳

Usijibaraguze humu na kujipa madaraka usiyokuwa nayo. Anzisha forum yako huko utakuwa huru kuwalazimisha waandike vile upendavyo wewe lakini si humu. Drama zako peleka kwingine, kama huna cha maana cha kuchangia kuhusu mada husika pita kimya kimya badala ya kujikweza kama vile wewe ni MOD humu.

Ahaa haaa
Sawa sawa Tundu Lisu, maana yeye hata ukimuuliza jina lake nani? Atajibu kwa drama nyingi, sasa badala ya kufuatilia anachojibu (jina lake), unafuatilia namna alivyojibu.
 
Hivi ni lini ulipewa UMOD humu wa kulazimisha watu wachangie vile utakavyo wewe!? 😳

Usijibaraguze humu na kujipa madaraka usiyokuwa nayo. Anzisha forum yako huko utakuwa huru kuwalazimisha waandike vile upendavyo wewe lakini si humu. Drama zako peleka kwingine, kama huna cha maana cha kuchangia kuhusu mada husika pita kimya kimya badala ya kujikweza kama vile wewe ni MOD humu.
Bro nisamehe kama nimekukwaza. Kweli sina mamlaka ya kumuamuru mtu awaye yote kufanya kulingana na matakwa yangu.

Samahani MKULU. Nitajichunga kuingia kwenye mtego wa kuwakwaza wengine.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tunahitaji uhuru wa nishati, baada ya gharama za ujenzi hakuta kuwa na gharama za kutafuta malighafi kuzalisha umeme (maji yapo bure).

Haswa, kwa kuwa Tanzania tulisha kuwa tumepigwa loba na wajanja. Mafisadi walishaweka mirija ya kutunyonya kwa miaka mingi kwa kusaini mikataba na wamiliki wa visima vya gesi. Wate hao wakimiliki zaidi ya asilimia 80% na watanzania tukimiliki asilimia kiduchu. Hivyo Rais Mgufuli ametuokoa wananchi kwa kuwapiga mafisadi chenga/kanzu/tobo kama Okocha vile.

Umeme wa Solar hauna nguvu ya kuendesha viwanda, unaweza kutumia kuwashia taa na vitu vinavyohitaji umeme mdogo (wattage) ila kuendesha viwanda vinavyoendesha mashine nzito haufai.

Sababu kubwa ya nchi nyingi kutokutumia umeme wa maji ni kutokana na kutokuwa na vyanzo, wenzetu walisha tumia vyanzo vyote (exhausted all options). Kujenga bwawa la umeme lazima uwe na chanzo cha maji ya kutosha halafu kuwe na kina pamoja na kingo mbili. Ni sehemu chache sana duniani zina jiografia hiyo.

Tatizo la njia za upepo ni eneo kubwa litakalohitajika kuzalisha kiasi kama hicho cha bwawa, hii inamaanisha kutahitajika mapanga boi mengi sana ambayo gharama yake ni kubwa sana. Siyo hivyo tuu bali kwakuwa ni mengi, kuyaendesha pia ni kazi, kwa kuwa utahitaji wafanyakazi wengi. Mapangaboi huwa na umri wa miaka 25 (lifespan) hivyo baada ya muda huo itabidi serikali igharamie upya ubadilishwaji wa mapangaboi.

Watapotea kivipi, eneo litakalo tumika ni 3% ya hifadhi, wanyama siku zote wanatembea kutafuta maji, malisho na sehemu za kujificha, kama wakiona sehemu hiyo si rafiki wataenda kwenye eneo la 97% lililobaki.

Katika mradi wowote huwa kuna yale majukumu ya kijamii, ni dhahiri hilo watalizingatia.

Nani kakwambia umeme wa jua unatumika kuendesha viwanda? Baada ya nishati ya jua kubadilishwa kuwa umeme ni lazima ihifadhiwe kwenye betri, sasa ili uweze kuzalisha kiasi kikubwa cha umeme, ni lazima uwe na eneo kubwa sana ambalo kwanza itabidi uharibu mazingira (kukata miti), pili lazima uwe na kiasi kikubwa cha betri. Betri hizi huwa ni zile za Lithium ion (kwa kuwa zina nguvu) ambazo ni ghali sana na pia baada ya muda inabidi zibadilishwe, hivyo gharama za uendeshaji kuongezeka mara dufu.

Hao uliookoteza huko wanaotaka kutumia umeme wa jua ni ma supermakert na siyo viwanda. Wameamua kufanya hivyo si kwasababu ya kupenda sana mazingira bali kwa kupunguza gharama za uendeshaji wa huduma zao ili kuongeza faida.

Walmart kwa mfano, biashara yao imesimamia maneno haya, "Low Price" sasa ili wauze kwa bei ndogo ni lazima wapunguze gharama kwingine. Wamekuwa wakiwaminya supplers wao kwa miaka mingi kwa kununua bidhaa kwa bei ndogo, huku wakiwalipa wafanyakazi wao ujira mdogo bila maslahi (benefits) yoyote mpaka vyama vya kulinda wafanyakazi (unions) walikataa.

Jamaa hawakutosheka, wakaona wapunguze "middlemen", wakaanza kutengeneza bidhaa zao wenyewe zenye brand name "great value". Sasa naona investors wanataka kukamua zaidi, menejimenti wameona wajitengenezee umeme wao wenyewe.

Kwa hiyo ndugu, usipende kunyweshwa kila kitu unachopewa, jiongeze.
Kama vile ulikuwa kichwani mwangu.

Wakati najiandaa kumjibu mleta Uzi kumbe umeshamwaga madini ya kutosha hapa. Kudos to you! Pamoja na majibu yako mazuri, mweleze huyu mleta Uzi kuwa solar power kama ilivyo Wind power is intermittent; Solar power haiwezi kutoa umeme endelevu (continuous power). Wazungu wanasema ignorance is bliss.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom