Maswali ya kujiuliza juu ya Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station(SGHPS)

Chamoto

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2007
Messages
4,701
Points
2,000

Chamoto

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2007
4,701 2,000
Mimi shida yangu kiukweli ni hii swala la gesi. Of course tunahitaji umeme wa uhakika na hii SG inaweza kuwa ni suluhisho. Lakini hili swala la gesi litaishia wapi?

Tumefanya investment kubwa katika swala la gesi. Huoni kwamba kama taifa hatuna vipaumbele?
Teyari tuna gesi ya Songosongo na Mnazi bay ambayo ndiyo tunaitumia Kinyerezi 1,2 3 na pia Ubungo 1,2.

Gesi yenye walakini ni hiyo Kikwete aliyoipigia debe 2010 ambayo bado haijaanza kuchimbwa huko mtwara. Hiyo ni gesi nyingi sana na visima vipo ila wanaomilki ni makampuni ya kigeni pamoja na viongozi wa awamu ya nne. Walichokipanga ni kutulazimisha kutumia umeme wa gesi hiyo kwa bei kubwa ili wao wanufaike.

Uchimbaji wa gesi/mafuta ni ghali sana hasa kama visima viko majini (rejea , watanzania mnaweza kuwekeza kwenye jwisi tuu). Makampuni hayo makubwa ya uchimbaji yakipewa (nunua) leseni hutumia gharama zao kuyapata (hua wanaongeza gharama makusudi). Sasa sijui kiundani mikataba hiyo serikali ya Kikwete ilifanya nini ila kuna ufisadi wa hali ya juu ambao ingewagharimu wananchi kwa kutumia gesi hiyo.

vipi akija kiongozi mwingine baada ya mda akaamua ku-focus kwenye gesi? Maana naamini kwa dhati kabisa SG haiwezi kuisha kipindi cha JPM! Huu ni mradi mkubwa sana.
Umeongelea jambo ambalo hata mimi na wasi wasi nalo, akija Rais mwenye mahusiano na waliosaini mikataba ya gesi itakuwaje? Hili nadhani ni jambo ambalo wahusika wanaliangali kwa makini. Watu wengi hawakupenda maamuzi ya Magu ya kujenga SG, ndiyo maana kelele ziko duniani kote na watu hawa wana nguvu na pesa nyingi ndiyo maaana ulinzi wa Rais Magufuli si wa kawaida.

Kuhusu kumalizika kwa mradi hilo usiwe na shaka, miradi mingi husuasua kwa kukosa fedha ila Magufuli ameamua kuhakikisha pesa inapatikana, tuombe uhai tuu tuone itakuwaje muhula wake ukiisha.
Yote kwa yote, mimi namsifu JPM kwa hili. Lakini wasiwasi wangu ni kwamba kama taifa tunashindwa kuwa na vipaumbele ambavyo kila chama/utawala utaviheshimu! N mwisho wa siku itatugharimu sisi walipa kodi.
Tatizo siyo vipaumbele bali ni sabotage, mataifa makubwa hayapendi kuona mataifa kama yetu yakiendelea hivyo wanafanya kila njia kuzuia maendeleo. Na moja ya njia wanazotumia ni kuwaweka au kuwashawishi viongozi wetu ili wafanye kazi kwa niaba yao. Hawa jamaa huangalia udhaifu wa viongozi wetu (kama kutajirika haraka au kuishi kifahari). Na wakishampata mtu wao huanza kuiendesha nchi kiholela ili kuwe na utamaduni wa rushwa, wizi wizi, ukwepaji kodi na kutokuwa na uwajibikaji. Ni rahisi sana kuitawala nchi kwa "remote" kama kuna chaos (Libya, Congo,S. Sudan n.k) .
 
Masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
4,097
Points
2,000

Masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
4,097 2,000
Asante sana kiongozi. Sijawahi kuwa na shaka na patriotism ya JPM. Wasiwasi ni kuhusu institutions zetu. Ingawa anachokifanya ni kwa manufaa ya taifa, hakika watakaofuata sijui kama watakuwa na uzalendo kama yeye. Hii miradi miwili ya SG na Train kama ikifanikiwa, inaweza kusaidia maendeleo ya taifa letu. Again, hakuna asiye na kasoro, lakini, bado naamini na mapungufu ya huyu bwana, he is trying to have bigger vision for the country. Unfortunately wachache watamuelewa especially kipindi hiki ambacho njaa imetamalaki :cool:
 
Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
11,136
Points
2,000

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
11,136 2,000
Chamoto asante sana kwa majibu yako. Hata kama siyakubali lakini yana reflect ustaarabu wako. Many thanks.

Mimi shida yangu kiukweli ni hii swala la gesi. Of course tunahitaji umeme wa uhakika na hii SG inaweza kuwa ni suluhisho. Lakini hili swala la gesi litaishia wapi? Tumefanya investment kubwa katika swala la gesi. Huoni kwamba kama taifa hatuna vipaumbele? vipi akija kiongozi mwingine baada ya mda akaamua ku-focus kwenye gesi? Maana naamini kwa dhati kabisa SG haiwezi kuisha kipindi cha JPM! Huu ni mradi mkubwa sana.

Yote kwa yote, mimi namsifu JPM kwa hili. Lakini wasiwasi wangu ni kwamba kama taifa tunashindwa kuwa na vipaumbele ambavyo kila chama/utawala utaviheshimu! N mwisho wa siku itatugharimu sisi walipa kodi.
Hapa sijakuelewa kidogo,kwamba gesi haitumiki au haitumiki ipasavyo au hujui kama gesi inatumila ?
 
Laliga

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2018
Messages
275
Points
500

Laliga

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2018
275 500
Hivi ni lini ulipewa UMOD humu wa kulazimisha watu wachangie vile utakavyo wewe!?

Usijibaraguze humu na kujipa madaraka usiyokuwa nayo. Anzisha forum yako huko utakuwa huru kuwalazimisha waandike vile upendavyo wewe lakini si humu. Drama zako peleka kwingine, kama huna cha maana cha kuchangia kuhusu mada husika pita kimya kimya badala ya kujikweza kama vile wewe ni MOD humu.
Kua na ustaarabu, umejibiwa vizuri wewe unaingiza propaganda zako na vimisimamo vya kidem.
 
blogspot

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
1,160
Points
2,000

blogspot

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
1,160 2,000
Umeniwahi nilikua nataka kumjibu kama wewe nakupa heko!
Tunahitaji uhuru wa nishati, baada ya gharama za ujenzi hakuta kuwa na gharama za kutafuta malighafi kuzalisha umeme (maji yapo bure).
Haswa, kwa kuwa Tanzania tulisha kuwa tumepigwa loba na wajanja. Mafisadi walishaweka mirija ya kutunyonya kwa miaka mingi kwa kusaini mikataba na wamiliki wa visima vya gesi. Wate hao wakimiliki zaidi ya asilimia 80% na watanzania tukimiliki asilimia kiduchu. Hivyo Rais Mgufuli ametuokoa wananchi kwa kuwapiga mafisadi chenga/kanzu/tobo kama Okocha vile.
Umeme wa Solar hauna nguvu ya kuendesha viwanda, unaweza kutumia kuwashia taa na vitu vinavyohitaji umeme mdogo (wattage) ila kuendesha viwanda vinavyoendesha mashine nzito haufai.
Sababu kubwa ya nchi nyingi kutokutumia umeme wa maji ni kutokana na kutokuwa na vyanzo, wenzetu walisha tumia vyanzo vyote (exhausted all options). Kujenga bwawa la umeme lazima uwe na chanzo cha maji ya kutosha halafu kuwe na kina pamoja na kingo mbili. Ni sehemu chache sana duniani zina jiografia hiyo.
Tatizo la njia za upepo ni eneo kubwa litakalohitajika kuzalisha kiasi kama hicho cha bwawa, hii inamaanisha kutahitajika mapanga boi mengi sana ambayo gharama yake ni kubwa sana. Siyo hivyo tuu bali kwakuwa ni mengi, kuyaendesha pia ni kazi, kwa kuwa utahitaji wafanyakazi wengi. Mapangaboi huwa na umri wa miaka 25 (lifespan) hivyo baada ya muda huo itabidi serikali igharamie upya ubadilishwaji wa mapangaboi.
Watapotea kivipi, eneo litakalo tumika ni 3% ya hifadhi, wanyama siku zote wanatembea kutafuta maji, malisho na sehemu za kujificha, kama wakiona sehemu hiyo si rafiki wataenda kwenye eneo la 97% lililobaki.
Katika mradi wowote huwa kuna yale majukumu ya kijamii, ni dhahiri hilo watalizingatia.
Nani kakwambia umeme wa jua unatumika kuendesha viwanda? Baada ya nishati ya jua kubadilishwa kuwa umeme ni lazima ihifadhiwe kwenye betri, sasa ili uweze kuzalisha kiasi kikubwa cha umeme, ni lazima uwe na eneo kubwa sana ambalo kwanza itabidi uharibu mazingira (kukata miti), pili lazima uwe na kiasi kikubwa cha betri. Betri hizi huwa ni zile za Lithium ion (kwa kuwa zina nguvu) ambazo ni ghali sana na pia baada ya muda inabidi zibadilishwe, hivyo gharama za uendeshaji kuongezeka mara dufu.
Hao uliookoteza huko wanaotaka kutumia umeme wa jua ni ma supermakert na siyo viwanda. Wameamua kufanya hivyo si kwasababu ya kupenda sana mazingira bali kupunguza gharama za uendeshaji wa huduma zao ili kuongeza faida.
Walmart kwa mfano, biashara yao imesimamia maneno haya, "Low Price" sasa ili wauze kwa bei ndogo ni lazima wapunguze gharama kwingine. Wamekuwa wakiwaminya supplers wao kwa miaka mingi kwa kununua bidhaa kwa bei ndogo, huku wakiwalipa wafanyakazi wao ujira mdogo, bila maslahi (benefits) yoyote, mpaka vyama vya kulinda wafanyakazi (unions) walivikataa visianzishwe.
Jamaa hawakutosheka, wakaona wapunguze "middlemen", wakaanza kutengeneza bidhaa zao wenyewe zenye brand name "great value". Sasa naona investors wanataka kukamua zaidi hivyo menejimenti wameona wajitengenezee umeme wao wenyewe kunguza gharama.
Kwa hiyo ndugu, usipende kunyweshwa kila kitu unachopewa, jiongeze.
 
Bouja

Senior Member
Joined
Mar 19, 2019
Messages
135
Points
225

Bouja

Senior Member
Joined Mar 19, 2019
135 225
Kwani Tz ni nchi ya kufugia wanyama tu? Wewe umepewa ruzuku na mabeberu ili utafsiri makala zao kiswahili kuwatisha watu. Acha tujiamulie kutumia ardhi yetu
apo umesema kwel wazung hifadhi za wanyama zilisha isha kitambo nw wanyama unawakuta zoo 2 af cc 2endelee kua zizi kwakua hatuna matumiz mengne na ardhi ye2
 
ngozimbili

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2011
Messages
1,236
Points
2,000

ngozimbili

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2011
1,236 2,000
Chamoto asante sana kwa majibu yako. Hata kama siyakubali lakini yana reflect ustaarabu wako. Many thanks.

Mimi shida yangu kiukweli ni hii swala la gesi. Of course tunahitaji umeme wa uhakika na hii SG inaweza kuwa ni suluhisho. Lakini hili swala la gesi litaishia wapi? Tumefanya investment kubwa katika swala la gesi. Huoni kwamba kama taifa hatuna vipaumbele? vipi akija kiongozi mwingine baada ya mda akaamua ku-focus kwenye gesi? Maana naamini kwa dhati kabisa SG haiwezi kuisha kipindi cha JPM! Huu ni mradi mkubwa sana.

Yote kwa yote, mimi namsifu JPM kwa hili. Lakini wasiwasi wangu ni kwamba kama taifa tunashindwa kuwa na vipaumbele ambavyo kila chama/utawala utaviheshimu! N mwisho wa siku itatugharimu sisi walipa kodi.
Je maji ni chanzo ya uhakika?tusije haribu mazingira ukaja ukame ikaja stori ya mtera ya kununua mvua
 
kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Messages
12,950
Points
2,000

kbosho

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2012
12,950 2,000
Ingekuwa Viongozi wa CCM Wajibu hoja hivi, si bungeni tu popote pale hoja zingekuwa zinajibuwa kwa hoja na sio matusi, kejeli, propaganda au kuteka. Hili taifa lingekuwa mbali sana. Mkuu umenipa darasa la kutosha Mungu akubariki.
Tunahitaji uhuru wa nishati, baada ya gharama za ujenzi hakuta kuwa na gharama za kutafuta malighafi kuzalisha umeme (maji yapo bure).

Haswa, kwa kuwa Tanzania tulisha kuwa tumepigwa loba na wajanja. Mafisadi walishaweka mirija ya kutunyonya kwa miaka mingi kwa kusaini mikataba na wamiliki wa visima vya gesi. Wate hao wakimiliki zaidi ya asilimia 80% na watanzania tukimiliki asilimia kiduchu. Hivyo Rais Mgufuli ametuokoa wananchi kwa kuwapiga mafisadi chenga/kanzu/tobo kama Okocha vile.

Umeme wa Solar hauna nguvu ya kuendesha viwanda, unaweza kutumia kuwashia taa na vitu vinavyohitaji umeme mdogo (wattage) ila kuendesha viwanda vinavyoendesha mashine nzito haufai.

Sababu kubwa ya nchi nyingi kutokutumia umeme wa maji ni kutokana na kutokuwa na vyanzo, wenzetu walisha tumia vyanzo vyote (exhausted all options). Kujenga bwawa la umeme lazima uwe na chanzo cha maji ya kutosha halafu kuwe na kina pamoja na kingo mbili. Ni sehemu chache sana duniani zina jiografia hiyo.

Tatizo la njia za upepo ni eneo kubwa litakalohitajika kuzalisha kiasi kama hicho cha bwawa, hii inamaanisha kutahitajika mapanga boi mengi sana ambayo gharama yake ni kubwa sana. Siyo hivyo tuu bali kwakuwa ni mengi, kuyaendesha pia ni kazi, kwa kuwa utahitaji wafanyakazi wengi. Mapangaboi huwa na umri wa miaka 25 (lifespan) hivyo baada ya muda huo itabidi serikali igharamie upya ubadilishwaji wa mapangaboi.

Watapotea kivipi, eneo litakalo tumika ni 3% ya hifadhi, wanyama siku zote wanatembea kutafuta maji, malisho na sehemu za kujificha, kama wakiona sehemu hiyo si rafiki wataenda kwenye eneo la 97% lililobaki.

Katika mradi wowote huwa kuna yale majukumu ya kijamii, ni dhahiri hilo watalizingatia.

Nani kakwambia umeme wa jua unatumika kuendesha viwanda? Baada ya nishati ya jua kubadilishwa kuwa umeme ni lazima ihifadhiwe kwenye betri, sasa ili uweze kuzalisha kiasi kikubwa cha umeme, ni lazima uwe na eneo kubwa sana ambalo kwanza itabidi uharibu mazingira (kukata miti), pili lazima uwe na kiasi kikubwa cha betri. Betri hizi huwa ni zile za Lithium ion (kwa kuwa zina nguvu) ambazo ni ghali sana na pia baada ya muda inabidi zibadilishwe, hivyo gharama za uendeshaji kuongezeka mara dufu.

Hao uliookoteza huko wanaotaka kutumia umeme wa jua ni ma supermakert na siyo viwanda. Wameamua kufanya hivyo si kwasababu ya kupenda sana mazingira bali kupunguza gharama za uendeshaji wa huduma zao ili kuongeza faida.

Walmart kwa mfano, biashara yao imesimamia maneno haya, "Low Price" sasa ili wauze kwa bei ndogo ni lazima wapunguze gharama kwingine. Wamekuwa wakiwaminya supplers wao kwa miaka mingi kwa kununua bidhaa kwa bei ndogo, huku wakiwalipa wafanyakazi wao ujira mdogo, bila maslahi (benefits) yoyote, mpaka vyama vya kulinda wafanyakazi (unions) walivikataa visianzishwe.

Jamaa hawakutosheka, wakaona wapunguze "middlemen", wakaanza kutengeneza bidhaa zao wenyewe zenye brand name "great value". Sasa naona investors wanataka kukamua zaidi hivyo menejimenti wameona wajitengenezee umeme wao wenyewe kunguza gharama.

Kwa hiyo ndugu, usipende kunyweshwa kila kitu unachopewa, jiongeze.
 
Chamoto

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2007
Messages
4,701
Points
2,000

Chamoto

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2007
4,701 2,000
Je maji ni chanzo ya uhakika?tusije haribu mazingira ukaja ukame ikaja stori ya mtera ya kununua mvua
kama unaijua jiografia ya Tanzania vizuri utaelewa kuwa vyanzo vya mto rufiji vinatoka nyanda za juu kusini ambako muinuko wake kutoka usawa wa bahari ni kwenye wastani wa mita 1,700 (5500ft). Kukupa picha ya muinuko huo ni sawa na kupanda theluthi moja ya mlima kilimanjaro. Vyanzo hivi ni vingi vikiendelea mpaka Iringa kwenye muinuko wa mita 1,500 (5,090 ft) kutoka juu ya usawa wa bahari.

Kama umewahi kufika nyanda za juu kusini utaona kiasi cha uoto wa asili kilichopo kule, si mchezo. Kuwa na uoto wa asili ni kiashiria chanya na cha uhakika wa maji na katika vitu ambavyo huwezi kudanganya kwa muda mrefu dunia hii ni asili. Angalia Dubai wanavyohangaika kutumia mabilioni ya dola kupendezesha jangwa lakini wapi, bado kukavu.

Kiasi cha uoto wa asili uliopo kule na jinsi kusini ilivyoinuka "inakuwa rahisi na karibu kuivuta mvua huko mbinguni :), (not really but you get the point).

kiasi hicho kikubwa cha uoto kinatengeneza mvuke mwingi unaotengeneza mvua nyingi ambayo inaotesha mimea mingi, inayokuja kutoa mvuke mwingi unaokuja kuleta mvua nyingine nyingi (alichonacho ataongezewa). Mvua hizo zote ndiyo zinatengeneza vyanzo vya mto rufiji huko chini kwenye bwawa.

Kwahiyo usikonde sana, bwawa haliwezi kukakuka, leo wala kesho.
 
Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2018
Messages
1,767
Points
2,000

Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2018
1,767 2,000
maswali ya kujiuliza
kunauhitaji gani wa hii project kwa sasa?
Je huu mradi ni kipaumbele cha Taifa?.
Je ukitengenezwa huu mradi wa umeme na viwanda vikaamua kutumia nishati tofauti kama vile solar tutafanyaje kama taifa ?
Je uchunguzi umefanyika wakutosha na kugundua kwanini viwanda vingi duniani havitumii aina ya nishati tunayotaka kutumia?
Je gharama za mradi huu tumelinganisha na gharama za miradi mingine ya umeme kwa kutumia chazo tofauti cha nishati kama vile jua au upepo, pamoja na gharama za uendeshaji?
Je hao wanyama tutakao wapoteza hawana thamani kama faru John? Zilitumika nguvu nyingi sana kumtafuta faru John na inatumika nguvu kidogo kuangamiza makundi ya wanyama wa kila aina.

zaidi ya miti milioni 2.6 kukatwa idadi hii ya miti tutaweka historia ya dunia katika uharibifu wa mazingira . Kwahili jambo ni hatari kwa sasa na zaidi kwa kizazi kijacho.
Kwanini tuharibu mazingira kwa ukubwa huu wakati tunauwezo wa kutumia jua na upepo kuendeshea viwanda, na matumizi mengine na tuna makaa ya mawe.
Dunia nzima tuna tatizo la mabadiliko ya hali ya hewa (sisi wenyewe ni mashahidi ndani ya nchi yetu ) yanayosababishwa na uharibifu wa mazingira.Angalia mazingira ya selour Game Reserve yalivyo mazuri wanataka pabaki ukiwa, Tunza mazingira yakutunze. View attachment 1090086View attachment 1090088

If you cut a tree, you kill a life.
If you save a tree, you save a life.
If you plant a tree, you plant a life.

Wind turbines provide 8% of U.S. generating capacity, more than any other renewable source.

Top 10 Companies Using Solar Power (Based on Megawatts Installed)

  1. Target Corporation (147.5 MW). Target’s goal is to increase its number of buildings with rooftop solar panels to 500 by 2020. The retailer currently has 300 buildings equipped with panels.
  2. Walmart (145 MW). In 2005, Walmart’s chief executive officer at the time, Lee Scott, said, “Climate change used to be controversial, but the science is in and it is overwhelming. Every company has a responsibility to reduce greenhouse gas emissions as quickly as possible.”
  3. Prologis (107.8 MW). Prologis — an owner, operator and developer of industrial real estate — has put in more solar capacity than 27 different U.S. states.
  4. Apple (93.9 MW). A former administrator of the Environmental Protection Agency (EPA), Lisa Jackson, is now the Apple executive overseeing environmental policy, social initiatives and worldwide government affairs.
  5. Costco Wholesale (50.7 MW). The solar array on Costco Wholesale’s warehouse in Lake Elsinore, Calif., covers 45,000 square feet, which will prevent 458 tons of carbon from going into the atmosphere every year. The developers have compared this to planting 112 acres of trees.
  6. Kohl’s (50.2 MW). As of the end of last year, retailer Kohl’s had 163 solar power systems activated in 15 states.
  7. IKEA (44 MW). Ninety-one percent of IKEA stores are powered by the sun.
  8. Macy’s (38.9 MW). By the end of 2016, Macy’s is scheduled to install additional solar power systems on its facilities, for a total of 113.
  9. General Growth Properties (30.2 MW). In 2015, real estate investment trust GGP reduced its overall carbon footprint by 23,200 metric tons of carbon dioxide, which is the equivalent of removing nearly 5,000 cars off the roads in the U.S.
  10. Hartz Mountain Industries (22.7 MW). “Solar power represents both a means to be kinder to the earth by reducing pollution and is a significant factor in reducing our operational expenses,” said Emanuel Stern, president and chief operating officer for Hartz Mountain Industries, which deals in commercial real estate.
Kwenye hii makala nimependa picha tu. Hayo mambo mengine tuwaachie wao.Inaweza ikawa motive ya kuanzisha huu mradi ni teni pasenti , kwa kuwa mradi wa ges watu walishapiga chao, yaweza ikawa ni nia nzuri ya kutafuta urahisi wa bei ya umeme ,wenye ukweli ni wenye mradi. Sisi wengine ni hisia tu
 
infinix

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2018
Messages
944
Points
1,000

infinix

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2018
944 1,000
Mkuu umevuta bhange. Unajua ufisadi uliofanyika kwenye gesi au unalopoka tu. Hamjui kuwa mlishasainishwa mikataba ya Mangungo kwenye gesi na yote iko kwa mabeberu na mafisadi wakiisubiri serikali na tanesco waingie kichwakichwa wapigwe
Mnawalaani MABEBERU wakati waliwasomesha mababu zenu hadi ninyi wenyewe ili wawakamue vizuri?

Hata huyo unayemtetea ni walewale,wala hana tofauti na watangulizi wake.

Unaweza ukajifanya hujui,lkn niambie ...wenzake waliuza gesi kwa MABEBERU,alichukua hatua gani?

Lodilofa kauza migodi yote ya dhahabu kwa mkataba wa ki mangungo...kachukuliwa hatua gani?

Ruksa ....kuna mkataba wa TEGETA APTL nambie..mzee meko kachukua hatua gani?

Hivi...hizi ndege zetu zimenunuliwa kwa shs ngapi? Ww unajua?

Kule chato kuna uwanja wa ndege wa kimataifa..jiwe hapigi hela?

Tuko chini ya mkoloni mweusi ccm,tujitambue.

Kazi iliyopo ni utekaji,ni mauaji,kupoteza watu.sheria nyingi zisizo kichwa wala miguu..etc

Mkoloni tuliye naye ni janga la taifa...tujitambue
 
Forum statistics

Threads 1,356,329
Members 518,876
Posts 33,130,696
Top