Maswali na msaada juu ya maombi ya vyuo na mikopo kwa watahiniwa wa form four na form six

Millitarydoctor

Senior Member
Sep 20, 2019
173
126
Wakuu karibuni kwa ajili ya maswali na msaada kwa watahiniwa wa kidato Cha nne na sita , hii ni kwa wale wote wanaojiandaa na kuomba vyuo katika course mbalimbali za arts na sayansi.

Muhimu ni kwamba unapo mshauri kijana basi usimvunje moyo kwasababu labda wewe hauvutiwi ama haupendi anachohitaji kusoma.

Karibuni wakuu
 
Back
Top Bottom