Maswali na majibu ya wadau wa sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI TASUBA, TFNC, MNH, LATRA, TCAA, TRC, TANGA-UWASA, MNMA

On behalf of the Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), Tanzania Food and Nutrition Centre (TFNC), Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA), Tanzania Railway Corporation (TRC), Land Transport Regulator Authority (LATRA), The Institute of Adult Education (IAE), The Mwalimu Nyerere Memorial Academy (MNMA), Tanga Water Supply and Sanitation Authority (TANGAUWASA) and Muhimbili National Hospital (MNH), Public Service Recruitment Secretariat invites dynamics and suitable qualified Tanzanians to fill thirty one (31) vacant post mentioned below.

Deadline for application is 31-05-2021;
 

Attachments

  • 210519123553TANGAZO LA NAFASI YA KAZI TASUBA, TFNC, MNH, LATRA, TCAA, TRC, TANGA-UWASA, MNMA.pdf
    564 KB · Views: 25
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKAGUZI DARAJA LA II

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi kumi (10) kama zilivyoainishwa katika tangazo hili.

Kumbuka mwisho wa kutuma maombi ya kazi kwa mujibu wa tangazo hili ni tarehe 03, Juni, 2021. Maelezo zaidi fungua pdf hapa chini.
 

Attachments

  • 20212105081304TANGAZO LA KAZI NAOT (1).pdf
    248.4 KB · Views: 14
Zamani watumwa walikuwa wanatekwa na kusafirishwa kwa majahazi huku wamefungwa minyororo; Ila siku hizi watumwa wanaandika barua za maombi, daah
 
Mkuu Elisha Sarikiel zile nafasi 74 za maabara kuu ya taifa vp? Mchakato ukoje?
Kumbuka muda wa kutuma maombi hayo ni wiki mbili tangu tarehe ya kutoka kwa tangazo kwenye tovuti ya wizara ya Afya. Zoezi lilikuwa kuanzia tarehe 12 Mei, 2021 hadi 25 Mei, 2021. Hivyo, endelea kuwa na subira bila kusahau kufatilia kwa karibu kama ulituma maombi Wild Boy
 
Kumbuka muda wa kutuma maombi hayo ni wiki mbili tangu tarehe ya kutoka kwa tangazo kwenye tovuti ya wizara ya Afya. Zoezi lilikuwa kuanzia tarehe 12 Mei, 2021 hadi 25 Mei, 2021. Hivyo, endelea kuwa na subira bila kusahau kufatilia kwa karibu kama ulituma maombi Wild Boy
Tangazo lililotolewa na wizara ya afya lililenga zile nafasi 473 za watu wa kada ya afya na zinaratibiwa na wizara ya afya, lakini pia tangazo lile lilidokeza kuwa nafasi 74 zitakuwa za maabara kuu ya taifa na kuratibiwa na sekretarieti ya ajira. Hivyo nategemea jibu kutoka sekretarieti ya ajira kuhusu nafasi 74 za maabara kuu ya taifa.
 

Attachments

  • TAARIFA KWA UMMA NA TANGAZO LA AJIRA - KIBALI CHA NAFASI ZA AJIRA ZA WATUMISHI WATAALAMU WA AF...pdf
    307.2 KB · Views: 3
Tangazo lililotolewa na wizara ya afya lililenga zile nafasi 473 za watu wa kada ya afya na zinaratibiwa na wizara ya afya, lakini pia tangazo lile lilidokeza kuwa nafasi 74 zitakuwa za maabara kuu ya taifa na kuratibiwa na sekretarieti ya ajira. Hivyo nategemea jibu kutoka sekretarieti ya ajira kuhusu nafasi 74 za maabara kuu ya taifa.
Umesema sawa Wild Boy ! Sasa kuhusu ajira za maabara kuu ya taifa
 
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TARI NA WIZARA YA MIFUGO -(26-MEI-2021)

Kumb.Na.EA.7/96/01/L/122

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) na Wizara ya Mifugo na Uvuvi anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi nne (4) kama zilivyoainishwa katika tangazo hili;-

1. AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA III – NAFASI 03

2. MHUDUMU WA BOTI – NAFASI 1 (INARUDIWA)

Maelezo zaidi kufungua pdf hapa chini bila kusahau kuwa mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 08, Juni, 2021.
 

Attachments

  • 20212605242114TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TARI NA WIZARA YA MIFUGO (1).pdf
    422.5 KB · Views: 6

PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICERECRUITMENT SECRETARIAT

Ref.No.EA.7/96/01/L/124 27th May, 2021​

VACANCIES ANNOUNCEMENT

On behalf of President’s Office, Regional Administration and Local Government (PORALG) under Centre for Diseases Control Project, Ministry of Health, Community Development, Gender, Elderly and Children under The National Health Laboratory (NHL) and Tanzania Fisheries Research Institute (TAFIRI) Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) invites dynamic and suitable qualified Tanzanians to fill fifty (50) vacant posts mentioned below !​

Fungua PDF chini kupata maelezo ya ziada na kutazama nafasi za TAMISEMI na Wizara ya Afya . Mwisho wa kutuma maombi ya kazi ni tarehe 09, Juni, 2021.
 

Attachments

  • 27-05-2021 NAFASI ZA KAZI TAMISEMI & WIZARA AFYA.pdf
    513.2 KB · Views: 8
AJIRA TRA NA TPRI NAFASI MBALIMBALI HAMSINI KASORO MOJA (49); NA MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NAFASI HIZI NI TAREHE 14-JUNI-2021

TAX MANAGEMENT OFFICER II- (22 POSTS)

TAX INVESTIGATION OFFICER – II (2 POSTS)

CUSTOMS OFFICER II-(6 POSTS)

TAX MANAGEMENT ASSISTANT II- (8 POSTS)

CUSTOMS ASSISTANT II- (7 POSTS)

PERSONAL SECRETARY II- (3 POSTS)

RESEARCH ASSISTANT – (1 POST)
 

Attachments

  • 20210106062210TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI TRA & TPRI JUMLA 49.pdf
    671.7 KB · Views: 11
TANGAZO LA NAFASI TISINI ZA KAZI- MKATABA TANESCO -(02-Juni-2021)
On behalf of Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) invites dynamics and suitable qualified Tanzanians to fill 90 vacant posts mentioned below.

1.0.1 TECHNICIAN- GEOGRAPHICAL INFORMATION SYSTEM (GIS)- (90 POSTS)
1.0.2 WORK STATION: REGIONAL/DISTRICT OFFICES

1.0.3 NATURE OF EMPLOYMENT- ONE YEAR CONTRACT
1.0.4 REPORTING TO: PLANNING ENGINEER !
 

Attachments

  • 20210206011834TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI-MKATABA TANESCO.pdf
    306.6 KB · Views: 5
Serikali kupitia Ofisi ya Rais – TAMISEMI kwa kushirikiana na Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation, chini ya ufadhili wa wadau wa maendeleo hapa nchini, wamefanikiwa kuajiri Watumishi wapya wa Afya kwa kada mbalimbali 960 na watoa huduma za Afya Ngazi ya Jamii 1986 kwa mikataba ya kuanzia mwaka mmoja na kuendelea.

Akizungumza na vyombo vya habari Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Afya Ofisi ya Rais TAMISEMI Dr. Grace Magembe kwa niaba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI Mhe. Ummy Mwalimu amebainisha mchango huonwa wadau katika sekta ya Afya kwa kuwezesha upatikanaji wa Ajira za watumishi wa Afya ngazi ya Serikali za Mitaa.

Amesema ajira hizi zimezotolewa kwa mikataba ya kuanzia mwaka mmoja na kuendelea, ni tofauti na ajira 2720 za sekta ya Afya zilizotangazwa hivi karibuni kupitia agizo la Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Dr. Grace ameeleza kuwa Watumishi hao wameajiriwa kutoka katika kanzidata ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI ikiwa ni waombaji wenye sifa wa ajira za Afya zilizotangazwa kipindi cha nyuma lakin hawakuweza kuajiriwa wote kutokana na ufinyu wa nafasi hizo. ‘Upatikanaji wa watumishi hawa ni sehemu ya mipango ya Serikali kwa kushirikiana na wadau kuweka mifumo imara ya utoaji huduma za afya kwa watanzania wote.

Idadi hii ya watumishi imekuja wakati muafaka ambapo Serikali inatekeleza vipaumbele vyake hususani katika kuhakikisha utoaji huduma bora katika kukabiliana na magonjwa ya kuambukiza na yale yasiyo ya kuambukiza na sambamba na kuongeza nguvu ya kupambana na magonjwa ya mlipuko kama vile maambukizi ya Homa ya Mapafu (COVID – 9)’ alisema Dr.Grace.
Akizungumza katika kikao hicho Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Benjamini Mkapa Foundation Dr. Ellen Mkondya Senkorona amesema wadau waliowezesha kuajiriwa kwa watumishi hao ni Mfuko wa Dunia wa Kupambana na UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund), Shirika la UNICEF, Irish Aid na Foreign, Commonwealth and Development Office (FCDO) ambao wameipatia Tanzania fedha kupitia Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation ili iweze kuajiri watumishi hao. Dr. Ellen ameongeza kuwa kiasi cha fedha zitakazotumika wakati wote wa ajira za watumishi hao kwa kulipa mishahara na stahiki zingine ni shilingi Bilioni 19.

Ajira hizi zimekuja wakati muafaka ambapo Serikali kupitia Ofisi ya Rais – TAMISEMI imejenga Hospitali za Wilaya 102, Vituo vya Afya 488 Zahanati 1198 na nyumba za watumishi 840 vituo vyote hivi vinahitaji watumishi wenye ujuzi na na weledi ili kuweza kutoa huduma bora.
 
Huko Utumishi huwa inachukua muda gani kuita watu kwa ajili ya interview baada ya deadline ya kufanya application kufika?
 
Back
Top Bottom