Maswali na Majibu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan

Naam. Najua kama nia ni muhimu. Jee kukusudia tu haitoshi kuwa nia mpk kuna maneno utamke?
Kukusudia pekee haitoshi, na ndio maana tukafahamishwa na maneno sahihi ya katika uwekaji wa nia, kwa maana ingekuwa kukusudia pekee inatosha isingekuwa na maneno ya kutamka, nia kwenye funga ni msingi(lazima/wajibu) ni sawa na kusoma Al-fatha katika kwenye kila swala. Uislam ni mwepesi sana, kwani katika kila kitendo uko na mafundisho sahihi. Hivyo basi inampasa kila mmoja aweke nia kulingana na mafundisho sahihi.
Al-Khuluus
Lil-Laahi Ta'ala, maana yake, kufunga kwake iwe Lil-Laahi, Ta'ala tu.
Na misingi miwili ya swaum ni,
1. Kutia nia
2. Kujizuia na vyenye kufunguza.
 
Kitendo cha wewe kuandaa daku kwa ajili ya funga ni nia tosha.

Nia mahala pake ni moyoni
Shekhe Uislam ni mwepesi sana na umekuja na mafundisho sahihi katika kila kitendo. Ikiwa nia ni msingi katika funga na kama usemavyo je kukosa kuweka msingi ni sahihi.
Katika kila kitendo Uislam umekuja na mafundisho sahihi Na bila kuweka nia sahihi funga haiwi sahihi na wala haitasihi.
 
Namna ya kunuia
"Nawaitu swauma ghadin an adai fardha shahra Ramadhan, Lillahi Taala"
Na sio lazima utamke na ulimi (kwani nia mahali pake ni moyoni).
 
Hakuna maneno maalum ya kutamka katika kuweka nia. Iwe ni Swalah,Zakah ama Swaumu.

Ikiwa yapo tupe ushahidi kutoka katika Qur'an ama Hadith za Mtume swallaAllaahu alayhi wa Sallaam
 
Uislam haukuacha kitu kwenye maisha ya kawaida na pia kwenye ibada. Zaka na Sadaka sawa, lakini sio kwenye Swala na Swaum.
Ushahidi sio lazima utoke kwenye Qur an pekee ndio maana kuna hadith pia. Muongozo wa Muislam ni Quran na Sunna.
 
Naam al akhiy, ikiwa tunaamini muongozo ni Qur'an na Sunnah, tupe dalili ya hayo maneno ya kutamka wakati wa kutia nia.
 
Kukusudia pekee haitoshi, na ndio maana tukafahamishwa na maneno sahihi ya katika uwekaji wa nia, kwa maana ingekuwa kukusudia pekee inatosha isingekuwa na maneno ya kutamka, nia kwenye funga ni msingi(lazima/wajibu) ni sawa na kusoma Al-fatha katika kwenye kila swala. Uislam ni mwepesi sana, kwani katika kila kitendo uko na mafundisho sahihi. Hivyo basi inampasa kila mmoja aweke nia kulingana na mafundisho sahihi.
Al-Khuluus
Lil-Laahi Ta'ala, maana yake, kufunga kwake iwe Lil-Laahi, Ta'ala tu.
Na misingi miwili ya swaum ni,
1. Kutia nia
2. Kujizuia na vyenye kufunguza.

Hayo matamshi yamefundishwa wapi?

Qur-an au Sunna.

Jee Mtume wetu Muhammad Salallahu 'Alayh wasallam alifundisha na kutamka hayo maneno ya kutia nia?
 
HIVI KUBET KUNABATILISHA AU KUNAPUNGUZA MAKALI YA SWAUMU?
Kubeti si ni kamari?

Hio haifai iwe ukiwa na saumu au uwe Huna swaumu.

Acha kabisa na tubia. Maisha ya Dunia hamna kitu ni starehe ya muda mfupi tu
IMG-20210421-WA0007.jpg
 
kwa nini waumini wanajiepusha na mambo yasiyo faa lkn mara baada ya mwezi wanarudia kufanya mambo machafu kama kawaida.

mfano; ktk mwezi hii kila mwanamke wa kisilamu anavaa mavazi ya heshima na staha lkn mara mwezi unapo isha wanavaa nguo zisizo za heshima, je tatizo haswa ni nini?
 
Tatizo kubwa ni kukosa elimu juu ya Mola mlezi.
Ikiwa mtu atamfahamu Allaah ukweli wa kumfahamu na akafahamu hasa lengo lake la kuumbwa((وَمَا خَلَقۡتُ ٱلۡجِنَّ وَٱلۡإِنسَ إِلَّا لِیَعۡبُدُونِ)
"Hatukuwaumba majini na watu isipokuwa kwa lengo moja tu la kutuabudu"
[Surah Adh-Dhariyat 56]

1.Ataafanya yale yote aliyoamrishwa na Mola wake.Mfano Kutomshirikisha Allaah na chochote, kusimamisha swala tano,Kujistiri stara ya kisheria,Zaka n.k
2.Ataepukana na yale yote aliyokatazwa na Mola wake.Mfano Ushirikina, Kuacha Swala,Zinaa,Riba n.k

Allaah ndiye Mjuzi zaidi.
 
nani kawahamasisha waumini hadi wana funga na kuheshimu mwezi?! bilashaka ni masheki,
sasa kwa nini mnashindwa kuwahimiza waumini wenu, je hamuoni mmeshindwa kutimiza wajibu wenu?

mara tu baada ya mwezi wa ramadan kwisha utashangaa watu ghafla wanahama kutoka ktk hali nzuri kwenda kwenye hali mbaya zaidi?!
 
Back
Top Bottom