Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

Jinsi ya kudownload movies ni njia 2 tu either kuwa na Apk or kutumia telegram.

Apk nilizowai tumia ni showbox, terrarium na popcorn ila now natumia Movie Hd.

Kuipata Movie Hd unaipata google ukiwa nayo hii una download Apk nyingine Playstore inaitwa jina limenitika coz now sina simu hapa izi unapata movies latest zote with High quality (Hd) unaweza angalia online or download na ukaweka katika flash or laptop yako lakini pia ina tv series kama kawaida

Kwa korean series and Movies natumia Dramania unaipata kule google hii ina subtitle ya english kabisa kama iyo Movie hd

Njia ya pili ni Telegram hii unaipakua playstore or Apk store then una search pale juu telegram movie. Hii ndo yenyewe achana na zingine hii yenye alama za kirumi (ii) hapa utapata movies zote latest kabisa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Oi mbona mimi kwangu nimedownload lakini sasa wananiandikia invitation code hapo nafanyaje mkuu nipeni maujanja.
 
Wakuu habari!

Naomba kusaidiwa site za bure(free) za kudownload movies au series za kizungu na za kikorea.

Apa mm naijua watchsomuch.com ila naona saiv inanizingua sana afu ipo slow sana.
 
Back
Top Bottom