MASWALI NA MAJIBU: Msimu wa Diversity Visa ya Marekani kwa mwaka 2023, Epuka kutapeliwa

OGTV

JF-Expert Member
May 22, 2016
353
167
Video kuhusu taarifa sahihi, Maswali na Majibu kuhusu viza hii .
Epuka kutapeliwa; kumbuka hakuna ada yeyote inayotozwa kwa kutuma maombi yako.



https://dvprogram.state.gov/. #DiversityVisa


American Diversity Visa Season for the year 2023
Accurate information, Questions and Answers about this Business Visa.
Avoid cheating; note no fees are charged for submitting your application.
 
Pamoja na roho mbaya, Watanzania wanaogopa kwenda kuishi Amerika.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Leo nilikuwa najaribu kuapply hii kitu,nimeingiza taarifa za mwanzo page part 1 nikamaliza but kila nikisubmit then niende next inakataa. Mtoa mada hebu nisaidie kwa hili
 
Leo nilikuwa najaribu kuapply hii kitu,nimeingiza taarifa za mwanzo page part 1 nikamaliza but kila nikisubmit then niende next inakataa. Mtoa mada hebu nisaidie kwa hili

Mkuu umechukua muda gani kujaza?. Mi ilizingua kwasababu nilichukua muda mwingi kwahiyo session imetime out. Niliposubmit ikafail.
Zingatia muda.
Pia hakikisha sehemu ambazo lazima kujaza unajaza. Optional unaweza kupotezea.
Mi nimemamalizia sasa hv kujaza.
 
Back
Top Bottom