DAWA YA SIKIO
JF-Expert Member
- Dec 8, 2011
- 979
- 180
1. Je Oral sex inaweza kusambaza HIV?
JIBU:
Kuna uwezekano mdogo wa maambukizi ya HIV kupitia ngono ya mdomo.Uwezekano huo huongezeka endapo ngono zembe itafanyika katika kinywa chenye vidonda,meno machafu ama matatizo ya fizi kutoka damu [ bleeding- gums].
2. Je kula denda kunaweza kupelekea kupata maambukizi ya HIV?
JIBU:
Uwezekano wa kupata maambukizi ya HIV kupitia denda ni mdogo sana na unaweza kutokea endapo tendo hilo litapelekea kugusana na damu ya mtu mwenye VVU.
3. Je HIV inaweza kusambazwa kupitia mate?
JIBU:
Ingawa uchunguzi umehakiki uwepo wa HIV kwenye mate,hakuna ushahidi wa kisayansi unaothibitisha kuwa mate yanaweza kueneza HIV. Ukweli ni kwamba,mate yana viasilia vinavyozuia kueneza HIV.
4. Kwa nini mafuta hayaruhusiwi kutumika kama vilainishi vya condoms?
JIBU:
condoms nyingi zinatengenezwa kutokana na rubber ziitwazo latex,ambazo zinapogusana na oils ama petroleum-based substances,hutokea chemical reaction. Reaction hiyo hupelekea condoms kuharibika na kutofaa.
Usitumie aina za mafuta zisizoruhusiwa kama kilainishi cha Condoms wakati wa oral,anal or vaginal sex!
5.Kwanini sasa kuna baadhi ya watu wanaogusana na majimaji ya mtu mwenye HIV Damu,maziwa,manii na majimaji ya ukeni] hawapati maambukizi?
JIBU:
Uambukizo wa HIV unategemea Risk Factors zifuatazo:
>> Uwepo na uwingi wa majimaji hatarishi.
>> Uwepo na ukubwa wa michubuko ama majeraha.
>> Ni kwa muda gani umekuwa na mgusano [contact] na majimaji hayo.
>> Uwingi wa HIV {Viral load ]{alionao Source { mwenye HIV}.
TAKE CARE