Maswali muhimu kwa JK baada ya kujivua gamba!

The best way to evade Tanzanians' wrath on any hot issue is to postpone it for 90 days! Well believe me , experience tells me, we do have short memories. Actually, we tend to forget so quickly. After 90 days, I'm almost sure there would be very few of us, who would be remembering this issue! Just like EPA cases or Radar issue or Mbagala explosions. So, what is claimed to be a period of grace for mafisadi in CCM, in fact, is as good as a closed case or a new lease for more ufisadi! Once Nyerere, the founder of the very party said, Linalowezekana leo lisingoje kesho! If CCM are keen to clean-up their party, why would they hesitate to boot mafisadi out now? Do they expect them to repent? Certainly not! So, why? Why do they give them time? Why? Was CCM's own confession "mafisadi have bogged us down" a statement too quickly said than thought? May be... and that is typical JK. Remember once he said, he has no partnership in his regime? Well, that turned to be "too quickly said than thought". In fact he had RA as major shareholder! Don't expect much from CCM. CCM is as good as dead! With their own philosophy of peeling its skin, CCM is like an onion, once you start peeling it you remain with nothing!

Highly convinced by your critical analysis I am bound by my conscience to submit that you deserve to be philosopher.
 
Kikwete to step down 2015...goes without saying, i mean si wote tunajua tayari au?
 
....... Reporting by Fumbuka Ng'wanakilala; Editing by George Obulutsa


... ..... .. Hawa wawili ndio wa kulaumiwa wanawatumikia mabwana zao ili wapate mradi wao.
 
Haaaaa haaaaaa! CCM bwana, kaaaazi kweli kweli! JK aliwapa wakwapua fedha za EPA miezi 2 kurudisha mafungu ya wizi bila kuwataja majina! Tuliambiwa walirudisha maburungutu hayo (74bn/-) na yakawekwa kwenye "Akaunti Maalum" ya TIB! JK wetu kwa kujifqnya ndio Bunge la Bajeti, akazipangia bajeti eti "ziende kwenye Kilimo!" Mkurugenzi Mkuu wa TIB alipoulizwa kama kuna hiyo "Akaunti Maalum" alikana juu ya kuwepo kwa Akaunti hiyo! Mpaka sasa kuna kitendawili juu ya fedha hizo, sina hakika kama zilipelekwa Bungeni kupangiwa Bajeti au la! Cha uhakika ni kwamba wezi hawajafanyiwa chochote na hawajulikani! Hiyo ndio Tz bwana! Kuna mtu aliniambia anawajua wezi wote wa EPA, maana alifanya uchunguzi dhidi yao, lakini akiwataja alidai kwamba "nitakatwa shingo!" Kwa ujumla bado sijaiona CCM ya kumchukulia mtu hatua!
 
nyoka akijivua gamba habadiliki jina hubakia kuwa nyoka tu (ccm) hamwezi kuzuia mwisho wa chama chenu hata iweje ITAWAGARIMU HATA KUFIKA (ICC)the hague watanzania wamechoka na dhuluma zenu.....!!....


Usually
when people are sad they don't do anything they just CRY over their
condition but when they gel Angry they bring about a change" (MALCOLM X)
 
Walichokifanya CCM ni PLASTIC SURGERY kwa kuiremba sura ya kikongwe ili aonekane bado yumo kumbe umri ushakula kwake na tayari ishakuwa saa kumi jioni...huu jamani ndo mwisho wao, asiyeamini asubiri aone hli tamko mwisho wake ukoje ..kwanza kabla ya hilo JK anasubiri kuondolewa uenyekiti na hao mafisadi hapo ndo itakula kwao wote..our role is to keep these statements made by this stinking party for further measures
 
wadau.....leo kwa makusudi mazima nimeamua kuangalia TBC TV kutaka kujua tumemuenzi namna gani kiongozi wetu Shupavu (hayati Moringe Sokoine, leo ni siku ya kumbukumbu ya kifo chake).....

Nimeshangazwa na habari ya kwanza, inayohusu mlolongo mzima wa mkutano mkuu wa CCM kujivua Gamba, habari ikmechukua dka 15 nzima (qualified to be a documentary), na Habari nyingine za muhimu kama ya kumkumbuka shujaa wetu imechukua dka 3 tu....!!! Kulikoni TBC na CCM!!!! Kuna "ndoa" gani hapo?

TBC mnaboa...someni alama za nyakati....
 
Nimesikia kauli ya Chiligati kupitia TBC1 kwamba chama kimewapa muda watuhumiwa wote wa kashfa za Richmond, Kagoda, n.k wajipime na kuchukua uamuzi wa kujiuzulu wenyewe. Vinginevyo, eti chama kitawaondoa. Mzee Chiligati amefafanua vizuri kwamba hata kama chama hakina ushahidi ilimradi tu mtu ametajwatajwa na wananchi, basi ni vizuri ajiondoe mwenyewe.

Sijui kama alijiandaa kutoa kauli hiyo lakini naona kama utekelezaji wake unamkumba hata Mwenyekiti wake wa chama. Mara nyingi kikwete amehusishwa kwenye skendo nzito nzito kama za Richamond. Asipojiuzulu, nae watamwondoa nguvu?
 
Eti kujivua gamba? danganya toto tuu. Hilo gamba mpya ndilo la kuendeleza ufisadi kwa kasi zaidi na ari zaidi. HATUDANGANYI NG'O
 
Ndiyo tatizo la kuwa na kiongozi ambaye si msafi. Aanakuwa muoga na dhaifu katika kufanya maamuzi magumu kwa sababu anajua fika kwamba ya kwake pia yanaweza kuwekwa hadharani. Enzi za Baba wa Taifa hawa wote wangeshakuwa ni history ndani ya chama miaka mingi tu iliyopita lakini kwa kuwa chama sasa hivi kimeshikwa na mafisadi hata kufanya maamuzi ya kukinusuru chama inakuwa ni ngumu mno. Kiongozi anayejiamini angewatosa hawa mara moja tena bila wasiwasi wowote
 
chiligati aliwahi kusema eti atawakilisha muswada bungeni wa kuwawajibisha wabunge wa chadema kwa kususia/kutoka nje katika hotuba ya ya rais akifungua bunge .... hivi ule muswada umeishia wapi... yaani viongozi wa sisiem ni vilaza twenty four seven 24x7
 
Mfamaji haishi kutapatapa. That said, wasipo chukua hatua madhubuti mapema mwisho wao utakuwa mbaya sana mithili ya gbagbo
 
my grandma used to tell me that if you want to change your character must start now....and I mean now!!!!IF I wanna stop smoking I am obliged to commence right now and not after 3 months...six months....Wake up citizens....THIS IS A DAYLIGHT BLUFF...NEVER BELIEVE IN THEM...AND TIME WILL TELL I`M SURE!!!!
 
Hahahahaha nimeipenda hii LOL! Halafu mkorogo wenye hovyooooo!! Uso FANTA miguu na mikono COKE! Eti wanadhani wataweza kuwadanganya Watanzania kwamba baada ya mkorogo huu CCM kabla ya mkorogo ina tofauti kubwa na hii ya baada ya mkorogo! Wameula wa chuya! Bado wanaonekana ni Chama Cha Mafisadi miongoni mwa Watanzania walio wengi.
 
chiligati aliwahi kusema eti atawakilisha muswada bungeni wa kuwawajibisha wabunge wa chadema kwa kususia/kutoka nje katika hotuba ya ya rais akifungua bunge .... hivi ule muswada umeishia wapi... yaani viongozi wa sisiem ni vilaza twenty four seven 24x7

Hapa sema "atawasilisha..." . Akiwakilisha muswada maana yake ataenda yeye kwa niaba ya muswada. Nadhani sicho unachomaanisha.
 
Mfamaji haishi kutapatapa. That said, wasipo chukua hatua madhubuti mapema mwisho wao utakuwa mbaya sana mithili ya gbagbo
 
Back
Top Bottom