meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
Yapo maswali muhimu ya kuendelea kujuliza kuhusu chanjo ya kirusi cha corona.
Ieleweke kuwa jamii ya virusi vya mafua imekuwepo nchini Tanzania kwa muda mrefu.
Hakuna mtanzania ambaye hajawahi kuugua mafua japo mara mbili kila mwaka.
Ni ukweli usio shaka kwamba Tanzania na dunia imekuwa ikiathiriwa na virusi mbalimbali vya mafua na pia ni ukweli kuwa kila baada ya miaka mia moja kunakuwa na mlipuko wa mafua kidunia yaani pandemic.
Mwaka 2019 umetokea mlipuko wa kidunia wa mafua aina ya covid ambao umezua taharuki duniani.Virusi wa ugonjwa huu ni jamii ya virusi ambavyo vimekuwa vikisumbua sehemu mbalimbali duniani na upo uwezekano wakati flani Tanzania iliathiriwa lakini pengine kutokana na vifaa vya kiuchunguzi kuwa duni havikutambilika,
Hapa ninamaanisha wakati wa Avian flue huko mashariki ya kati inawezekana Watanzania waliambukizwa,waafrika waliambukizwa kutokana na muingiliano wa kidunia.
Mwaka 2019 mafua yameleta taharuki duniani pengine kutokana na makosa ya WHO au washirika wengine wa maswala ya afya.Taharuki hii imepelekea reaction ya mataifa bila mpangilio na hivyo kuleta athari ya kupoteza maisha.
Wizara ya afya ikifuatilia takwimu zake kwa kina,usahihi na ukweli wa wazi itaona magonjwa au vifo vitokanavyo na mafua au pneimonia ina mfanano yaani similarity kwa miaka kadhaa,nasema hivi kwani wakati wa taharuki ya covid vifo vingi vilisingiziwa kuwa ni covid na vile vifo tulivyozoea vya pneumonia au magonjwa ya upumuaji vilipungua,Hapa naamanisha magonjwa ya njia ya upumuaji katika kipindi cha mlipuko wa covid yalishift na kubatizwa jina la covid.
Analysis ikifanyika naamini itaonesha morbidity na mortality due to respiratory illnesses remains the same let say kwa miaka 10 iliyopita.
Naendelea kusisitiza kuwa kuna uwezekano mkubwa sana tulipoteza wagonjwa hasa kabla ya mei 2020 unnecessary kutokana na taharuki.
Ukitaka kujua ukweli huu fanya analysis ya vifo vya magonjwa ya njia ya hewa kwa mwaka 2021 au baada ya mwezi mei 2020 ambapo watanzania waliondolewa hofu na wataalamu wa afya kutakiwa kuendelea kutibu corona kana mafua mengine.
Naamini pia iwapo tutaendelea na msimamo ule ule wa kuitibu corona kama other influenza like illnesses kwa mwaka ujao na zaidi tutapata matokeo yale yale sio tu hapa Tanzania bali duniani kwa ujumla.
Nikitolea mfano je takwimu za ugonjwa na vifo vya kifua kikuu ziliendaje wakati huu tulipotaharuki na corona?naamini Ugonjwa na vifo vya TB vilipungua,hii ikamaanisha zipo cases za TB zilizobandikwa jina la covid 19 na watu wakapotea.
If my theory is right basi mwaka 2020 ugonjwa wa TB na vifo vyake vilipungua...swali je vilienda wapi...Jibu ni kuwa vilisingiziwa kuwa ni corona.
Vivyo hivyo ugonjwa au vifo vitokanavyo na magonjwa ya moyo/kisukari vinawezekana vilipungua pia ,vilienda wapi ...jibu ni kuwa vilisingiziwa kuwa ni corona.
wataalamu tufanye analysis zaidi je takwimu za vifo vyote kwa mwaka (hasa vya watu wazima)2016,17,18,19,20,21 viliongezeka au kupungua au vilishabihiana??
my assumption ni kuwa almost vilibaki vile vile.
Msimamo wangu kama mtaalamu ni kuwa taharuki ya kidunia ilifunika ukweli wa kisayansi na bado inataka tufanye maamuzi ya kukurupuka.
Maswali
1-Iwapo ugonjwa wa mafua ambao mara nyingi husababishwa na virusi vinavyojibadilisha unahitaji chanjo ?
2-Tukija na Chanjo ya corona tuna uhakika gani kuwa kitakachowamaliza wagonjwa si kirusi kingine cha mafua?
3-Kwa nini miaka yote hatujawahi kujadili chanjo za mafua mbalimbali ambayo yameleta madhara in a seasonal way miaka na miaka?
4-Je kama Taifa tumeshajipanga sasa kuwa na chanjo au tiba ya kila ugonjwa unaoongoza kitakwimu?yaani tunaweza kujidai tunaikinga corona kwa chanjo vipi kuhusu mafua mengine ambayo yatuua kila mwaka?
I we ready for the pace of preventing almost every desease ambayo inaua watu wengi kama zilivyo nchi za magharibi?where is the policy of priority on morbidity and mortality prevention in Tanzania?
5-Je Serikali iamue kupambana na corona kwa kutumia rasilimali zote na kuachana na HIV,Malaria,cervical cancer and maternal/perinatal deaths??
6-Je tuendelee kuogopa preassure ya mataifa ya nje kutuamulia ni ugonjwa gani wa kupambana nao na upi tusubiri??
7-Je Takwimu zinatuonesha kuwa tukiendelea na msimamo wetu wa kupambana na corona kwa kutumia njia zote za WHO ukiondoa chanjo tutafail??
8-Je tunao wataalamu wazalendo na ambao sio kasuku wanaoweza kuchambua na kumshauri mhe Rais kuhusu chanjo ya corona?
Nakaribisha arguments za nguvu kuhusu post hii.