Elections 2010 Maswali magumu

ludoking

Senior Member
Oct 5, 2008
124
71
Hivi kitendo cha Kikwete kuongeza ukubwa wa Baraza lake la mawaziri, ndiyo kusema kaanza kutekeleza ahadi yake ya kuongeza ajira? Tamko la Mizengo Pinda wakati akihutubia alipoteuliwa kuwa Waziri Mkuu kuwa Wabunge wataendelea kumuenzi Sitta, ni maneno yaliyotoka moyoni kwake au Kejeli? Hivi kwa nini Kikwete aliamua kutumia Familia yake wakati wa mchakato wa kutafuta uraisi kuanzia kutafuta wadhamini hadi kampeni?
 
Kweli hayo ni maswali magumu!
 
Watanzania kila siku tunajikuta kwenye maswali magumu yasiyokuwa na majibu na kubaki kulaumiana tu.
 
Back
Top Bottom