Maswali magumu ya kujiuliza

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
13,139
12,284
Kabla ya kumchagua Kikwete,,jiulize maswali yafuatayo!
1. Una maisha bora?
2. Wezi wa EPA wamepatikana?
3. Amekutajia majina ya wale waliomrudishia fedha za EPA?
4.Amewachukulia hatua gani baada ya kurudisha?
5. Km wewe ni mfanyakazi,amekwambia ana shida na kura yako?
6.Unajua Hatma ya Kigamboni?
7.Kati ya ajira million mbili,umebahatika hata moja?
8.Wazee wa A.Mashariki wamelipwa?
9.Unajua lilipo kaburi la mtanzania mwenzako Balali?
10.Kwanini anaogopa midahalo?
 
Kabla ya kumchagua Kikwete,,jiulize maswali yafuatayo!
1. Una maisha bora?
2. Wezi wa EPA wamepatikana?
3. Amekutajia majina ya wale waliomrudishia fedha za EPA?
4.Amewachukulia hatua gani baada ya kurudisha?
5. Km wewe ni mfanyakazi,amekwambia ana shida na kura yako?
6.Unajua Hatma ya Kigamboni?
7.Kati ya ajira million mbili,umebahatika hata moja?
8.Wazee wa A.Mashariki wamelipwa?
9.Unajua lilipo kaburi la mtanzania mwenzako Balali?
10.Kwanini anaogopa midahalo?


6 na 9 mkuu msumari huo...kuna watz wangapi huko AMERIKA jamani maana hata akifa mtu ambaye hajulikani kabisa lazima watz wahudhurie mazishi sasa huyu BALALI duh mazishi yake zaidi ya MACHAEL JACKSONI, jamaa atakufa tena huyu kama mackaveli we subiri tutaona...
 
Ni kweli unayosema kwa sababu Kikwete anaendelea kuwanonesha wafisadi wenzie badala ya kuendelesha nchi. Mtu wa kawaida leo Tanzania hana uwezekano wa kuendelea kutokana na uwezo wake wa kiakili na juhudi. Hata jeje ni mfisadi pia kwania anafumbia macho.
 
Kama issue ni maswali nadhani Jk KASHAKUWA dsqulified yet, maana maswali ni zaidi ya hayo ulouliza kaka.
Uliwahi kujiuliza kwanini ofisi za WAMA ziko Ikulu palepale zilipokuwa ofisi za EOTF??
Umewahi kujiuliza kwanini anawapigia debe watuhumiwa wa ufisadi?
umewahi kujiuliza kwanini Mwalimu alimkataa 1995??
Umewahi kujiuliza kwanini Ukristo leo unaonekana udini??
Umewahi kujiuliza iko wapi nafasi ya Pinda na Msekwa kwenye kampeni zake??
umewahi kujiuliza kwanini Ccm wanamjadili MTOA HOJA bADALA hoja??
 
JK ni kibaraka tu,hata kutamka neno ufisadi nafsi itamsuta kwa vile nae ni mmoja wa walioonja neema ya Ufisadi..kuingia kwake ikulu term ya kwanza ilikua pasi na cross za mafisadi..
Mwalimu alimkataa kwa kua alimwona ni mwepesi wa fikra..Leo haoni aibu kusimama jukwaani kukejeli Udini ilihali yeye ndo mchakachuaji mkubwa(sina maana ni mdini)..Sisiem ni km bwana mdogo Tanzanite kujibu Track za wenzao..ngojeaaaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom