Maswali magumu: Utetezi wa Jakaya Kikwete dhidi ya tuhuma za chuki binafsi dhidi ya Hayati Magufuli msibani

Watch your back young boy. Nilicho kiandika hakina maana yoyote ile uwazacho wewe. By the way, mimi sina tofauti yoyote ile na mzinga wa nyuki.

Yaani hata mimi na "MUME" wangu pia huwa tunatofautiana!! Dogo, be careful. Ok. Yaani ni sawa na kusema, mimi na mama D , ni mtu na shoga yake!! 😇 Wacha tu nikusamehe kwa leo.
Mwambie akuache kwanza
Tuko kwenye maombolezo hajui??
 
Kama JK anayoyasema ni kweli mbona JPM alipokuwa hai hakuwahi kukanusha hizo taarifa? Anakuja kuzikanusha JPM akiwa amelala
 
JK leo tumekusikia ukijitetea kuwa watu wameanza kuzusha mitandaoni eti wewe ulikuwa unamchukia JPM na pengine ukawa mmoja wa maadui zake wakati wa utawala wake. Majibu yako yalikuwa mepesi mno kama kawaida yako "Mswahili" nanukuu "Eti kama kweli ningekuwa namchukia JPM nisingeweza kupitisha jina lake katika mchakato wa kuwania Urais 2015 kwani mimi (kama Rais na Mwenyekiti wa chama) ndiye niliyepeleka majina matano (5) Halmashauri" na ukaenda mbele zaidi ukasema katika kuchagua majina matano jina la kwanza lilikuwa la JPM alafu yakafuatia mengine manne. Umeenda mbele zaidi na kusema kuwa alikuwa jembe lako katika baraza lako la mawaziri huku ukijikanganya zaidi na kusema mlipokuwa mnatifuana JPM alikimbilia kupeleka mashtaka kwa kaka yako mkubwa ambaye ni marehemu sasa.

Maswali magumu:

(i) Je, kwani wewe ndiye uliyependekeza hayo majina matano au ni CC ya chama chako ndiyo iliketi na kukuletea wewe kwa ajili ya kuyawakilisha Halmashauri? Labda tusaidie kwani hayo majina ulitoka nayo nyumbani kwako kwa kushauriana na familia yako?

(ii) Je, si kweli JPM aliingizwa katika tano bora baada ya kuona "mamvi" hawezi kuaminika katika chama na wananchi wanataka mchapakazi asiyekuwa na doa ili kukikomboa chama kilichokuwa kinaelekea kuanguka na sio kwa mapenzi yako binafsi?

(iii) Hivi mashtaka aliyokuwa anapelekea JPM kwa kaka yako mara kwa mara yalihusu nini kama kweli alikuwa jembe lako katika baraza lako?

(iv) Mwisho japo sio kwa umuhimu. Unajuaje pengine watu wanasema chuki zako dhidi ya JPM zimeanza kuonekana zaidi baada ya yeye kuwa tayari ni "Mkuu" kwa maana ya kuwa hukuwa na jinsi tena ya kubatilisha maamuzi yako?
Yaani ule utetezi wenye akili walishafnya hitimisho na angalia uhalisia sasa
 
Sasa kama wewe ambaye siyo kapuku, ungekuwa na la kufanya! ungekuwa na muda kweli wa kuandika huu upupu wako hapa? Hivi kazi ya mitandao nini? Yaani unataka uwapangie watu cha kusema/kujadili! Wewe kama nani hasa?

Mmiliki mwenyewe tu wa JF humuoni akitokwa na mapovu humu! Ila wewe ambaye hata hujulikani unamiliki nini, unakuja kuwapangia watu humu cha kufanya! Jitahidi kuficha hisia zako! Maana kuna baadhi ya wadau wanaweza kukuchukulia kama una ulemavu wa akili.
Nawe uliyepata muda wa kuandika huu upupu je?
 
JK leo tumekusikia ukijitetea kuwa watu wameanza kuzusha mitandaoni eti wewe ulikuwa unamchukia JPM na pengine ukawa mmoja wa maadui zake wakati wa utawala wake. Majibu yako yalikuwa mepesi mno kama kawaida yako "Mswahili" nanukuu "Eti kama kweli ningekuwa namchukia JPM nisingeweza kupitisha jina lake katika mchakato wa kuwania Urais 2015 kwani mimi (kama Rais na Mwenyekiti wa chama) ndiye niliyepeleka majina matano (5) Halmashauri" na ukaenda mbele zaidi ukasema katika kuchagua majina matano jina la kwanza lilikuwa la JPM alafu yakafuatia mengine manne. Umeenda mbele zaidi na kusema kuwa alikuwa jembe lako katika baraza lako la mawaziri huku ukijikanganya zaidi na kusema mlipokuwa mnatifuana JPM alikimbilia kupeleka mashtaka kwa kaka yako mkubwa ambaye ni marehemu sasa.

Maswali magumu:

(i) Je, kwani wewe ndiye uliyependekeza hayo majina matano au ni CC ya chama chako ndiyo iliketi na kukuletea wewe kwa ajili ya kuyawakilisha Halmashauri? Labda tusaidie kwani hayo majina ulitoka nayo nyumbani kwako kwa kushauriana na familia yako?

(ii) Je, si kweli JPM aliingizwa katika tano bora baada ya kuona "mamvi" hawezi kuaminika katika chama na wananchi wanataka mchapakazi asiyekuwa na doa ili kukikomboa chama kilichokuwa kinaelekea kuanguka na sio kwa mapenzi yako binafsi?

(iii) Hivi mashtaka aliyokuwa anapelekea JPM kwa kaka yako mara kwa mara yalihusu nini kama kweli alikuwa jembe lako katika baraza lako?

(iv) Mwisho japo sio kwa umuhimu. Unajuaje pengine watu wanasema chuki zako dhidi ya JPM zimeanza kuonekana zaidi baada ya yeye kuwa tayari ni "Mkuu" kwa maana ya kuwa hukuwa na jinsi tena ya kubatilisha maamuzi yako?
Maswali yako yakijinga
 
Ufala kujadili hoja zisizo na tija na zilizokwisha pitwa na wakati. Kama huna cha maana cha kunena ni bora ukakaa kimya!.
 
kikwete alipendekeza jina la jpm kuwa rais akifikiri atakapokuwa jpm rais atamtawala vizuri na kumwendesha kama alivyokuwa wizaravya ujenzi jpm aliposhika urais hakutaka kitawaliwa ndio nafikiri hapo msoga ndio ukaanza kumchukia
 
Kama vile wengi hamkuwepo wakati ule wa mchakato. JK hakumtaka JPM. Yeye ilisemekana alikuwa anamtaka Membe na Asha Migiro. Wajumbe wengi walikuwa wanamtaka Lowassa. Ili kumrahisishia huyo jamaa yake, Membe au Migiro, akasimamia show, kuhakikisha Lowassa, hapenyi. Wajumbe nao wakiongozwa na MSUKUMA, wakakasirika, na kuamua kumkomoa, kuhakikisha watu wake huyo JK, hawapiti, na kumpa huyo asiyemtaka, yaani JPM!
Wenye kumbukumbu za wakati wa mchakato ule, watakubaliana na mimi!
Na hilo neno "HAPA KAZI TU!", nakumbuka JPM alipokuwa kwenye kampeni, kati ya mkoa mmoja wa kanda ya kati, au ziwa, aliwaahidi wapiga kura kuwa yeye hatakuwa analala, bali atakuwa anafanya kazi usiku na mchana. Akamalizia kwa kusema… "yaani hapa kwangu, itakuwa kazi tu!" Hapo ndiyo ikapatikana hiyo kauli mbiu ya "HAPA KAZI TU!"
Kauli ya 'HAPA KAZI TU' ilitungwa na Marehemu Ruge Mutahaba akishirikiana na January Makamba..

Hili waliliongea wazi Makamba na Ruge wenyewe..
 
Back
Top Bottom