The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 19,254
- 42,872
ni vyema ikapatikana nakala ya ripoti yenyewe; itakuwa na majibu ya maswali haya; halafu tuendeleze mjadala baada ya kuiona
Cha ajabu kampuni ya uchimbaji wa madini imeshaenda hewani kama mara tatu kabla ya kuipata ripot kamili, licha ya kukiri kwamba hawana ripoti bado, hawajasita kukanusha kilichopo kwenye hiyo ripoti na wameshasema ni uongo.
Mwanzoni nilisema kwamba, naomba tume iwe ilifanya kazi yake kwa weledi na utaalamu bila kuongozwa na mihemko ya kisiasa.