Maswali kuhusu Uume uliopinda

Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
26,583
Points
2,000
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
26,583 2,000
Sababu nyingine mna dindisha dindisha ovyo hata sokoni,kwenye daladala,barabarani kila sehemu mkipishana na sketi mna dinda,ndio hapo mnapoingiza mkono mfukoni mkabana pembeni,utaacha kupinda
Lazima upinde
 
E

Ed..

New Member
Joined
Dec 21, 2014
Messages
4
Points
20
E

Ed..

New Member
Joined Dec 21, 2014
4 20
Uume huweza kupinda kwako sababu ya kuvaa nguo za ndani za kubana #chupi pia tabia ya kujichua hupelekea kupinda

Madhara yake: Kuleta hali mfadhaiko kwako kuona maumbile hayako sawa kama inavyotakiwa na pia huweza sababisha matatizo kwa mwanamke koz uume uliopinda always huwa unasugua sehem 1 tu..... Niishie hapo
Nini kinatokea mpaka uume unapinda? Nini madhara yake kwenye mapenzi? Je wadada wanapenda uume uliopinda? Na wanafika kileleni? Na utaufanyaje urudi kwenye hali yake?

Yeyote mwenye ujuzi kuhusu hili.

 
M

MZEE RAZA

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Messages
2,505
Points
2,000
M

MZEE RAZA

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2015
2,505 2,000
Sababu nyingine mna dindisha dindisha ovyo hata sokoni,kwenye daladala,barabarani kila sehemu mkipishana na sketi mna dinda,ndio hapo mnapoingiza mkono mfukoni mkabana pembeni,utaacha kupinda
Umeyajuaje haya ya kuingiza mkono mfukoni na kuuweka mnara vizuri!!?
 
BabaDesi

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2007
Messages
3,232
Points
2,000
BabaDesi

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2007
3,232 2,000
...Unakumbuka zile enzi za Shule tukivaa kaptura?
Zile enzi ambazo wakati wa kujisaidia Haja ndogo tulikuwa hatufungui vifungo vya kaptura Bali tunapandisha tu upande mmoja was kaptura na kumpitisha mjuba wetu huko afanye vitu vyake vya kutoa mkojo? Unakumbuka?
Ninaamini kuwa kutokana na Kuwa viungo vyetu vilikuwa ndio vinakua na havijakomaa sawasawa, ule upande uliokuwa unapenda kumpenyeza mjuba wako spate kutoa mkojo, basi sasa utakuwa amepindia upande huo huo!
Sio kilema wala kasoro mkuu.
Ili mradi mjuba anasimama na kutenda kazi zake kisawasawa, huna Hana ya kuwa na hofu mkuu...! My two cent.
 
Amoxlin

Amoxlin

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Messages
3,686
Points
2,000
Amoxlin

Amoxlin

JF-Expert Member
Joined May 30, 2016
3,686 2,000
Mnaotumia midawa ya kuongeza size lazima bendera ipepee nusu mlingoti. Kuna siku haitapepea tena...
 
L

lapurga johni michael

New Member
Joined
Oct 12, 2018
Messages
2
Points
45
L

lapurga johni michael

New Member
Joined Oct 12, 2018
2 45
Uume kupinda husababishwa na viboksa vinavyo bana maana vijana waskwizi kama hawajui saizi ya nguo za ndan vile
 
Mfarisayomtata

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Messages
458
Points
250
Mfarisayomtata

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2012
458 250
Lazima mshedede utakuwa kwanza ni mrefu, kwa sababu kibamia hakiwezi kupinda, pili unavaa nguo za ndani za kubana na unapenda kuupack upande flani.
 

Forum statistics

Threads 1,315,255
Members 505,171
Posts 31,851,570
Top