Maswali kuhusu sekretariti ya ajira naomba ufafanuzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maswali kuhusu sekretariti ya ajira naomba ufafanuzi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mwinukai, Sep 23, 2012.

 1. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hivi ni vigezo gani zaidi ya maswali Sekretarieti wanaangalia katika kumpa mtu maksi ndani ya usaili?

  kipi ni kiwango cha kufaulu ndani ya sekretariti na ni kwa alama ngapi? ukiachana na alama za ushindani?

  kama umeitwa na sekretariti ya ajira sehemu mbili na ukafanya zote na ukafaulu je sekretariti ya ajira hufanyaje?

  Na inakuwaje inafika kipindi wanawaita watu kwenye usaili watu watatu nafasi moja halafu hawawachukui wote na baadaye wanatangaza upya? nini sababu zinazosababisha hili kutokea ?
   
 2. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,767
  Likes Received: 2,494
  Trophy Points: 280
  kwenye toviti yao wameandika contact zao ,jaribu kuwapigia simu upate maelezo hapa ,hapa jf sidhani kama utapata majibu sahii sana
   
 3. GP

  GP JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...