Maswali gani huulizwa kwenye usaili wa nafasi ya Communication and Public Relations officer?

Eng.Dullah

JF-Expert Member
Sep 24, 2014
372
302
Kama ilivyojieleza hapo juu nimeulizwa swali kuhusiana na vitu vya kusoma ili ujiandaa kwenda kwenye interview ya kuandika nimeshindwa, Hivyo kama kuna mtu au watu wanaelewa vizuri kuhusiana na hii fani ya communication and public relation anasaidie japo wapi nianzie kumsaidia.

Mhusika kasoma sociology na kaitwa interview trh6 utumish na wamekuwa wakitoa maswali ya topic husika katika fani.
 
Ye kwanini aliomba kazi ambayo hana hata idea nayo? Anaweza kupewa maswali akipita kazi nani atamfanyia huko? Kama hajui asiende kabisa asubirie kazi ya fani yake aliyosomea , ni ushauri tu
 
Ye kwanini aliomba kazi ambayo hana hata idea nayo? Anaweza kupewa maswali akipita kazi nani atamfanyia huko? Kama hajui asiende kabisa asubirie kazi ya fani yake aliyosomea , ni ushauri tu
No iyo ni utumishi huwa naandika course tofaut na ambao wanaweza kuapply na siyo mm nmeulzwa tu mkuu tafadhal soma tena
 
Kwa utumishi usahili wao ni wa darasani kabisa, kwahyo kama huyajui masomo yako vzr ujue hapo ziro unaitaka mwenyewe, hawana general question
 
Kwa utumishi usahili wao ni wa darasani kabisa, kwahyo kama huyajui masomo yako vzr ujue hapo ziro unaitaka mwenyewe, hawana general question
No sema mods waliedit heading vibaya mie nlihitaj tu kujua huwa wanafanya nn haswa hawa watu ili nfkrie vtu vya kumsaidia
 
swali la kwanza ni "what is your name"
nakutakia interview njema maana nishakupa jibu la kwanza
 
Ye kwanini aliomba kazi ambayo hana hata idea nayo? Anaweza kupewa maswali akipita kazi nani atamfanyia huko? Kama hajui asiende kabisa asubirie kazi ya fani yake aliyosomea , ni ushauri tu
Inaonekana hujawahi hudhuria saili za UTUMISHI ndo maana umejibu bila kujua nini ulitakiwa ujibu,anyway mleta mada Utumishi huwa wanabase na masomo ya darasani hivo inabidi unapoitwa usaili ujiandae haswa na si kwenda na general knowledge unapotea vibaya maana narudia tena maswali ni yale yale ya darasani kabisa kama upo kwenye pepa la UE kama inatokea mtu unaenda bila maandalizi ya kutosha unapata tabu sana maana nishawahi shuhudia mtu ana CPA na anakula 10 katika pepa sasa huyu nae hana generala knowledge maana si kazi ndogo kuipata hiyo CPA n.k,ko ni hivo mkuu mwambie arejee ya darasani hapo.
 
Back
Top Bottom