Maswali 7 ya wazi kwa Zito ZK: Tangazo la ugombea Urais 2010 na 2012 linaashiria nini?

zito kakiuka katiba ipi?alisema kama swala la umri litakua sio kikwazo akiamini katiba mpya itafanya marekebisho,acha unafiki mkubwa wew

yaani anataka katiba ibadilishwe kipengele husika ili angombee uraisi mbona anaungangania sana kama alivyokuwa anautaka kikwete na lowasa au nae kasha ahidiwa uwaziri mkuu..
 
Unakosea unasema hivo, huenda wapo wengi wanaomuunga mkono ila kabla ya kumkubali moja kwa moja lazima wadodose nia yake hiyo na sababu za kugombea urais na kupima uwezo , upeo na uadilifu wake tusije fanya kosa kama tulilofanya la kumpa vasco kwa kudanganywa ni chaguo la mungu kumbe ni chaguo la mafisadi! Watanzania wenzangu nawakumbusha na kuwasihi sana tusipende kuchochea chuki za udini na ukabila, angalieni kinachotokea Nigeria, kilichotokea Rwanda wakati wa genocine na kilichotokea Kenya wakati wa uchaguzi! Mkristu, Muislamu, Mpagani wote wanahitaji shule, huduma za afya., maji safi, barabara, umeme, nyumba ya kuishi, mavazi, chakula, na kikubwa uhuru wa kuabudu na kufanya chochote bila kuvunja sheria, kama taifa kwa umoja wetu tudai hayo, chuki za udini na ukabila na ukanda haiztatusaidia na zitawapa mafisadi na mabeberu kuendelea kufyonza rasilimali zetu huku sisi tukifa maskini na malumbano ya dini na kabila zetu!

...basi ukanda....
 
Uzuri yuko kwenye chama makini,akileta zake atatimuliwa kama swahba yake kafulila na kuanza kuunyaunya.HAKUNA MTU AMBAYE YUKO ZAIDI YA CHAMA SASA HVI
 
wewe na wenzio msioelewa demokrasia mnatutia ukakasi,upeo wa zito na wako ni kama mbingu na ardhi thatswhy kamwe hutakuja kumuelewa,unajua nini maana ya Vision?sasa yeye alikua na vision kua by 2015 atagombea urais,akifanya SWOC analysis atajua position yake na hayo mengine yote amabyo kwa upeo wako umeona kwake ni obstacles atatengeneza strategies kufikia objectives zake na ku realise his vision,hata wewe nikikuuliza what do u want 2b by 2017 utaniambia sasa inaweza tokea unachosema kuna mtu anakifanya au anataka kukifanya,hicho hakikuzuii wew kuendelea na dream yako na una m consider aliopo au mwenye same dream kua ni competitor,siasa za chuki na ukabila mnazo zileta juu ya zito ni dhambi kubwa sana tena mnafanya mkijua mnachokifanya,Mungu atasimamia haki

Do you think hicho anachoropoka Zito Bungeni ndio Upeo? Or What you have written here ni pumba tu. Wenzake wanajenga na kuimarisha chama yeye ana vision ya kuwa rais, atafanikiwaje pasipo kushiriki harakati hizi za kuimarisha chama matokeo yake anaanzisha mijadala isiyo na tija.

Kuanzisha mijadala isiyo na Tija kwa Chama ndio vision unayoiita, ikiwa ndio vision zenu hizo na Zitto poa but you are totally lost.

Huu wala sio uroho wa madaraka bali ni kutumiwa. Kuna watu wameahidiwa Uwaziri mkuu hapa.
 
Kweli tanzania hata miti inatucheka yaana badala ya kujadili hoja za maana zenye maslahi ya taifa kama ishu ya dawa za HIV feki,tunapoteza mda kumjadili mtu,ambaye hajui hata kama kesho atafika sembuse hiyo 2015.
 
Kweli tanzania hata miti inatucheka yaana badala ya kujadili hoja za maana zenye maslahi ya taifa kama ishu ya dawa za HIV feki,tunapoteza mda kumjadili mtu,ambaye hajui hata kama kesho atafika sembuse hiyo 2015.

Bila kuwa na uongozi bora, hizo ARV feki zitaendelea kumiminika tu. Hawa wanaojitangazia uongozi kwa maslahi binafsi wakati uwezo wa kusimamia rasilimali hawana ndio chanzo cha hizi ARV feki.

Nia yao kuu ni kufikia malengo tuu ya kuingia ikulu na kuitwa RAIS, then baada ya hapo mtajijua wenyewe.
 
wanaomkataa ZZK wengi wanasukumwa na Udini,

Kwani hiyo dini ipo vipi?kwanini impe shida hivyo ZZK?Unajuaje kuwa naye mis-behaviours zimesukumwa sana na udini?Hii dini ipo loose sana,kiasi cha kuwa kichaka cha kila uovu.
 
Suala la Zitto linanipa mashaka makubwa sana kuwa baadhi ya Wanasiasa mambo mengi wanayoyasema kwa moyo wa dhati adharani mchana kweupe siyo yale wanayoyaamini na kuyatenda usiku au wakati mwingine wasipokuwa mbele ya hadhara.
 
zzk anatengeneza tu mazingira ya kundi fulani ndani ya CCM kushinda kirahisi uchaguzi wa 2015 hana lolote. Hii political chess game kuelekea 2015 ni ndefu na complicated.

Nafikiri atahama na kuiua CDM kua ni chama cha watu wa kaskazini, atafungua chama chake mwenyewe na kusplit vote za upinzani. Hapo mgombea wa CCM, a certain white haired guy atapita kirahisi na kumchagua zitto kama waziri mwanadamizi ndani ya serikali yake "ya kitaifa" (yaani CCM na chama cha Zitto) baada ya hapo Zitto atakua anaota ndoto za 2025.


inasikitisha waandishi wa Tz wanashindwa kuandika article speculative but informative kama hii info ya mharakati, magazeti yamejaa the obvious blah bla over same b.s kila siku.
 
Back
Top Bottom