Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Makinikia wamekosa na bado tunadaiwa fidia uingereza hapo ndipo pamewachanganya zaidi, Lissu alipowaambia walimuweka ndani sasa hakuna tena wa kuwaambia cha kufanya
Unawaza ujinga tu, Magu ulishamfanya kama shetani wako kila lawama unampa yeye.serikali ya magu inafanya mambo ya kitoto sana
Mambo ya kigaidi ingawa aijipii atasema ni ujambazi.Jamaa kashindwa hoja sasa kamua kutuma watu wachome ofisi mimi nashauri JF na luge wasipuuzie hili ni bora waweke ulinzi mkubwa yasije tokea haya ya kuchomewa ofisi naona vijana wa lumumba wamekuja na mpya
Swissme
Madhara ya MakinikiaKwa matendo haya, mwisho wa siku bwana fulani atajikuta amebaki na kundi dogo sana la watu wanaomkubali na atakuwa adui wa karibu kila mtu.
Mpaka sasa Magu ni shetani kwani unafikiri ni maraika yule? Kama mtu anaweza kujali sheria za kiuwanadam akashindwa kufuata sheria za Mungu unafikiri huyo ni nani kama sio shetani?Unawaza ujinga tu, Magu ulishamfanya kama shetani wako kila lawama unampa yeye.
Hii itakuwa assignment ya kwanza kwa Bwana "mamboleo", kamanda wa kanda muhimuMajibu ya uchunguzi yanakuja,"itakuwa hitilafu ya umeme"
Motorola Verizon Droid X8
Wewe umeweza kuzifuata hizo sheria za Mungu kwa asilimia ngapi?Mpaka sasa Magu ni shetani kwani unafikiri ni maraika yule? Kama mtu anaweza kujali sheria za kiuwanadam akashindwa kufuata sheria za Mungu unafikiri huyo ni nani kama sio shetani?
Sent using Jamii Forums mobile app
100%Wewe umeweza kuzifuata hizo sheria za Mungu kwa asilimia ngapi?