Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Katuni huwa zinazungumza mengi ila kwa kuwa sisi huwa tunataka ya juu juu basi tunaishia kuzitazama tuu, kwani kuna kingine hapo?
 
Hahahah, ila kweli watunzi wa muvi za kibongo hawajishughulishi sana kutaka kuendana na mazingira!

Kama hii muvi tuliyotoka kuicheki, eti watu wamemteka mtu karibu na ulinzi mkuu halafu wanamrudisha na kumtupa karibu na ulinzi huo huo mkuu nchini.

Halafu mtekwaji anapiga simu home wamfuate,anakaa anasubiri ndugu zake wamfuate,ndugu wanafika,wanamchukua wanaenda naye haooooo...nyumbani.....muda wooooote huo hakuna hata mlinzi wa kibanda aliyeshituka achilia mbali walinzi wa eneo kuu!!!!.....

Wanafamilia nao,badala ya kwenda polisi wanaenda nyumbani halafu wanawaita polisi.....polisi nao kweli wanaenda nyumbani....tehe tehe tehe.....

Ila naamini wangeandika wale wa hollowod,angalau angetupwa mpakani (labda mbeya)huko kwa sababu tulishasikia aliyemteka ni mgeni na dsm yote tuliambiwa askari hawalali usiku na mchana wanamsaka mtekaji!
Mkubwa kea Nini husifikirie kinyume chake kuwa Kuna watu wanataka kuichafua serikali yetu maana Kama Ni serikali wanajua kuwa wakimteka mtu katika maeneo ya serikali watajulikana wao,na wanaoichukia serikali wakaona wakimteka mru maeneno ya serikali itajulikana serikali,Ni mawazo yangu tu mkubwa
 
Kutokana na type ya serikali iliyopo, naamini ingekuwa ni kitendo cha dakika chache kumkamata huyo mtu
 
Mkubwa kea Nini husifikirie kinyume chake kuwa Kuna watu wanataka kuichafua serikali yetu maana Kama Ni serikali wanajua kuwa wakimteka mtu katika maeneo ya serikali watajulikana wao,na wanaoichukia serikali wakaona wakimteka mru maeneno ya serikali itajulikana serikali,Ni mawazo yangu tu mkubwa
Na mwingine akiandika hivi wamefanya hili kwa huyu ili ichukuliwe ni kawaida au mazoea.

Lakini ikumbukwe MO ni mfanyabiashara hili lifanyika kwa mwasiasa tungekuwa tunaongea mengine kwani tukumbuke mwanasiasa ana wafuasi wengi wanaoziishi itikadi zake ndiyo maana umoja wa kitaifa unazidi kumomonyoka ajili ya hizo Itikadi kwa hiyo tuombe Mungu jambo kama hili lisije kumtokea Mwanasiasa kwani kila mmoja anajua maana y'a Itikadi ndani ya Imana kamili inayoishi ktk Roho za Watu
 
Yaani kifupi watajikuta msambweni
 
Mkubwa kea Nini husifikirie kinyume chake kuwa Kuna watu wanataka kuichafua serikali yetu maana Kama Ni serikali wanajua kuwa wakimteka mtu katika maeneo ya serikali watajulikana wao,na wanaoichukia serikali wakaona wakimteka mru maeneno ya serikali itajulikana serikali,Ni mawazo yangu tu mkubwa
Serikali ni lazima iwe makini kuyalinda maeneo yake, vinginevyo ikifanya uzembe wa wazi kama huu wa utekaji wa Mo, wakubali lawama zetu.
 
Back
Top Bottom