Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,820
- 18,813
Aliagizwa aende kutumia lugha ya matumaini? akimaanisha hatukuambiwa uhalisia au inakuaje?
Kwenye picha ya huyo bonge hapo naona kichwa kimetokeza kama kichuguu.Aliagizwa aende kutumia lugha ya matumaini? akimaanisha hatukuambiwa uhalisia au inakuaje?
View attachment 615996
Anamaanisha watz tunazugana kwenye hili sakata la madiniAliagizwa aende kutumia lugha ya matumaini? akimaanisha hatukuambiwa uhalisia au inakuaje?
View attachment 615996
Usijali mkuu, tunasubiri hiyo sikuSiku akiongelea upande mwingine msiseme kanunuliwa
Hivi aliyekuwa anakarimani halafu akafukuzwa alikuwa anatoa kwenye Kiswahili kwenda kwenye Kimalkia? Sasa naona kwanini alifukuzwa jukwaani! Mzungu asingevumilia ule upotoshaji!!Aliagizwa aende kutumia lugha ya matumaini? akimaanisha hatukuambiwa uhalisia au inakuaje?
View attachment 615996
Kwa faida ya wajinga!!!...Lugha ya matumaini kwa faida ya nani?
Wajinga........wakiongozwa na nani?Kwa faida ya wajinga!!!