OCC Doctors
Senior Member
- Jul 20, 2018
- 104
- 151
Mara nyingi wanaume wanaojichua [masturbation] ni wale ambao hawana wanawake, Wanaume wengine hawajichui kwasababu wamepoteza hamu ya tendo la ndoa [sex]. kutokana na mapungufu ya hormone ya kiume [testosterone], au msongo wa mawazo [stress], au unywaji wa pombe [alcohol consumption], au maradhi ya kisukari au udhaifu wa afya kwa ujumla [poor general health]
-Mwanamke huwa anahuzunika sana akigundua kwamba mpenzi wake anajichuwa
STOP MASTURBATING
.
-Mwanamke huwa anahuzunika sana akigundua kwamba mpenzi wake anajichuwa
STOP MASTURBATING