Masters ya History

Umenitisha nikajua Sumbai mwenyewe MTU pekee aliye fair ni Madam Diana Abia
Yule mama alikuwa anamiguu mizuri saana dah nilisikitika alipo olewa.

Yan sikuwah kumis lecture zake. Siti za mbele.

Kuna kiherehere mmoja alikuwa anaitwa mchome.
 
Yule mama alikuwa anamiguu mizuri saana dah nilisikitika alipo olewa.

Yan sikuwah kumis lecture zake. Siti za mbele.

Kuna kiherehere mmoja alikuwa anaitwa mchome.
Dah mchome
Kifyasi
Madam Komba
Babu Sago
Rutatenekwa

Hizi people hatari Sana

Sema kuna Dr mmoja anafundisha course ya third year yupo peace Sana hata Dr Mihanjo yupo poa
 
Dah mchome
Kifyasi
Madam Komba
Babu Sago
Rutatenekwa

Hizi people hatari Sana

Sema kuna Dr mmoja anafundisha course ya third year yupo peace Sana hata Dr Mihanjo yupo poa
Hahaha lutatenekwa kila siku maik inamgomea yan hatusikiii anachokizungumza. Kazi yake ilikuwa kusoma desa.

Kifyasi saaafi.

Sago mzee wa mesopotamia hahaha

Prof mihanjo mzee wa philosophy...
.
 
Ndugu zangu, nna mpango wa ku apply masters ya history hapo UDSM ila sasa kabla sijafanya maamuzi naomba niulize swali kwa walio wahi kusema masters ya history au masters nyingine yoyote.

-Wanasema masters ni ngumu sana. Ugumu wake uko wapi hasa ?

-Masters inasomwaje ? Inasomwa kama bachelor au kuna mambo mengi ya zaidi yanaongezeka ?(zaidi ya lectures & course work).

-Ili ni-qualify kusoma masters, napaswa kuwa na GPA ya ngapi ?

Natanguliza shukrani.
Wee una determination GANI???

Tuanzie hapo
 
Hahahaha kuna sumbai na kireri

Kuna mr franks.

Lol i miss ud
Mkuu naona unatu enjoy na kaPhD kako kakupigana kufa kupona na maprof wa history kwaiyo unaendeleza ubabe kwa wanafunzi?.Afu nasikia hana mtoto kwel Mungu fundi bana.
 
Uzi bora kama huu comments huwa ni chache sana lkn nenda kwenye nyuz zile za mambo ya kula kimasikhara daaah, watu wanatililika
 
Ndugu zangu, nna mpango wa ku apply masters ya history hapo UDSM ila sasa kabla sijafanya maamuzi naomba niulize swali kwa walio wahi kusema masters ya history au masters nyingine yoyote.

-Wanasema masters ni ngumu sana. Ugumu wake uko wapi hasa ?

-Masters inasomwaje ? Inasomwa kama bachelor au kuna mambo mengi ya zaidi yanaongezeka ?(zaidi ya lectures & course work).

-Ili ni-qualify kusoma masters, napaswa kuwa na GPA ya ngapi ?

Natanguliza shukrani.
Kujisumbua tu tafuta pesa na degree iyo
 
We!! Naomba kujua kwani Masters nayo ina SUP Kama ilivyo Degree au hiyo September conference ni nini maana kwa Degree ndio wakati huwa SUP zote hufanyika thus a way waitaga September conference

Sent using Jamii Forums mobile app
Master's Napo Kuna supplemary ka kawaida ukikamatwa, na ukipata c kwa masters umefeli lazima September conference ikuhusu, ufaulu unaanzia 50 kwenda juu
 
Back
Top Bottom