hilbajojo2009
Member
- May 25, 2009
- 46
- 1
Salaam wanajamii.
Naomba msaada wakuu kuhusu scholarship ya shahada ya uzamili nje au ndani ya nchi. Nimehitimu shahada ya kwanza ya elimu(Bachelor of Education) UDSM mwaka 2005. Natamani kusomea shahada ya uzamili katika elimu(Master of education au Master of educational management). Tatizo ni kukosa ufadhili kwani sifa ninazo; GPA yangu ni 3.6.
Naomba ushauri wakuu.