Masters scholarship

hilbajojo2009

Member
May 25, 2009
46
1
Salaam wanajamii.

Naomba msaada wakuu kuhusu scholarship ya shahada ya uzamili nje au ndani ya nchi. Nimehitimu shahada ya kwanza ya elimu(Bachelor of Education) UDSM mwaka 2005. Natamani kusomea shahada ya uzamili katika elimu(Master of education au Master of educational management). Tatizo ni kukosa ufadhili kwani sifa ninazo; GPA yangu ni 3.6.

Naomba ushauri wakuu.
 
anza kukusanya hela kidogo kidogo halafu usome hapo hapo bongo inaweza kukusaidia aiseee. unaweza kusubiri hadi uzeeke mwanawane
 
we doxt blaze mwenzio kauliza humu jamvini vipi tena akucheki privately? weka link hapa hapa na wengine wafaidike.

Dogo jaribu Nuffic scholarship tembelea Nuffic - Home
kinachotakiwa uombe admision kwanza kwenye vyuo vyao pili ukishapata admision unaenda ubalozi wa uholanzi kuomba scholarship forms na maelezo. Wengi wanafanikiwa tena education na sayansi ni field zenye vipaumbele sana.

pia uwe unatembelea webiste ya utumishi Presidents Office - Public Service Management - Home huwa wanatangaza nafasi za masomo za australia , ubelgiji na china
tatu tembelea website ya wizara ya elimu WELCOME TO MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING OFFICIAL WEBSITE::::::::: nao hutangaza mara moja moja
nne hakikisha uombaji wako ie. application letter na motivation statement zimetulia maana gpa tu sio kigezo
hope this will give some light
 
Thanks Kinyau. Nitafanyia kazi ushauri wako. God bless you
 
Back
Top Bottom