Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,488
- 79
Pape,
Mbona hamna details zozote?
wabongo mnapenda sana kutafuniwa kila kitu! umechukua hatua gani ya kufungua hiyo link na pdf file? acha uvivu hata kuclick hiyo link unaona taabu? haya nakushauri fungua hiyo link utakuta maelezo yote na ukishindwa watumie email kwenye email unayoiona hapo na watakujibu accordingly!
Kumbe kuna mambo mazuri humu ktk jukwaa manake makaribisho niliyoyapata mh nilianza kuogopa na i was thinking about running away from the forum but thank God there are good issue going on here. Thanks for informing us!Cheers!!!

teh teh pole mjukuu wangu..we unaingia tu kwenye majukwaa bila kuangalia utakuta watu washapagawa na tusker baridiii wanakupa mashuti utatamani uzime computer yako[/QUOTE]
babu na wewe bwana hahaaaaaaaaaa umenichekesha
mbona haraka hivo??Thanks Gloria and kigogo, i will be more carefull si unajua tena jambo usilolijua....i think this is now the right place for me, but still am noyt very confortable.is there an option to unsubscribe or ukishakuwa member ndo basi tena.teh teh!!