Mwaka wa pili?Naombeni msaada jamani mimi nina miaka 22 Sijawahi kufanya zinaa ila nimekuwa ni muumini mkubwa mno wa hii kitu mwaka wa pili sasa nashindwa jinsi ya kuacha.
Ni kweli kabisaKiukweli Kama Huna Hela, kuacha punyeto Ni vigumu, angalia tu mwenyewe Kwa kufanya utafiti asilimia kubwa ya wapiga punyeto hawana Hela