Haaa ha ha.. Watu wanyetukeeeMwaka wa pili tu unalalamika umu kuna watu walitoa ushuhuda wanaungurumisha bila ata mafuta kavu kavu na wako fresh tuu mi huu mwaka wa 6 naugurumisha safi tu na shoo nakimbiza mpaka timu pinzan inaomba Pooo yale ni mazoezi ya dushe achaga Kusikiliza polojo za kukiponda chama chetu pendwa
Naona unafanya kampeniMwaka wa pili tu unalalamika umu kuna watu walitoa ushuhuda wanaungurumisha bila ata mafuta kavu kavu na wako fresh tuu mi huu mwaka wa 6 naugurumisha safi tu na shoo nakimbiza mpaka timu pinzan inaomba Pooo yale ni mazoezi ya dushe achaga Kusikiliza polojo za kukiponda chama chetu pendwa
Unaishi na nan? Chumban unapo kaa unakaa na nan?Naombeni msaada jamani mimi ninamiaka 22 Sijawahi kufanya zinaa ila nimekua nimuumini mkubwa mno wa hii kitu mwaka wapili sasa nashindwa jinsi ya kuacha.
Kwa nini uache kwani inakufirisi mkuu, kuwa na demu ni gharama