Master of Project Management inayotolewa na Open university of Tanzania soko lake la ajira limekaaje?

Jul 15, 2018
61
126
Wakuu,

Moja kwa moja kijana wenu nimekuja kuwauliza wana jf, Wabovevu na akili kubwa, naomba kufahamu kuhusu michongo ya hii Master ya Project Management.

Je, kwenye soko la ajira ina fursa?
 
Wakuu,
Moja kwa moja kijana wenu nimekuja kuwauliza wana jf, Wabovevu na akili kubwa, naomba kufahamu kuhusu michongo ya hii Master ya Project Management, je kwenye soko la ajira ina fursa?.
Kabla ya kusoma Masters

Soma kwanza na uwe certified kwenye PROJECT MANAGEMENT PROFESSIONAL (PMP) inayotolewa na PMI ambayo ni Project Management Institute ya Marekani

Hiyo PMP ndio Globally Recognized Project Management Certification

ili utambulike Kama mtaalam mbobezi kwenye PM lazima uwe na PMP
 
Wana online ya hii naomba details mkuu PMp
Mleta hoja nakushauri kwa masters ya project nilisikia mzumbe wana full time moro ni kali sana cheki hiyo
 
Kabla ya kusoma Masters

Soma kwanza na uwe certified kwenye PROJECT MANAGEMENT PROFESSIONAL (PMP) inayotolewa na PMI ambayo ni Project Management Institute ya Marekani

Hiyo PMP ndio Globally Recognized Project Management Certification

ili utambulike Kama mtaalam mbobezi kwenye PM lazima uwe na PMP
Mkuu naomba kufahamu juu ya kupata udahili wa PMP hio ya marekani.
Napenda sana kuwa mtaalamu wa miradi naona kama ina future japo sijafahamu wazi uhalisia wenyewe kwa kuwa mimi bado ni mchanga kwenye taaluma hii.
 
Training inatolewa na TIPM www.tipm.ac.tz iko Posta opposite na Askari Monument DSM

Mtihani unatolewa na PMI ambayo ndio wamiliki wa hiyo PMP CERTIFICATION

www.pmi.org
 
Back
Top Bottom