Master of Arts with Education. MA (Ed)

balimar

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
7,561
13,274
Salamu!!
Wale wote wenye hamu na uelewa wa kutosha nimeona DUCE wametoa master ya Arts with Education ambapo utasoma master ya ualimu na somo moja la kufundishia ambapo yapo matano unatakiwa kuchagua mojawapo kati ya lingistic kiswahili french history and geograph.
Uzuri wako hawaandiki dissertation bali project report na duration ni 24months.
Mmi napenda kuwapongeza maana sasa wale waliosoma BA za english geography, environmental studies wanaweza kwenda kufanya hii master na kuwa walimu badala ya kupitia PGDE kitu ambacho kitasaidia kupata walimu weredi maana Master of Arts in Education ilikuwa haina somo la kufundishia.
Fursa. Naiona fursa kwa walimu wenye MA maana kama serikali itaanza kuwaajili itaradhimu kutaja daraja wanalopaswa kuanzia labda itatoa mwanya kwa wale wenye hzo MA kupandishwa madaraja yanayoendana na shule zao maana kisingizio kilikuwa huwezi kupewa daraja sababu serikali haikuwa inaajiri watu wenye Masters.
Harahara. Tafadhari ili kutoleta nyaraka za madaraja kandamizi tunaomba serikali itaje daraja la mtu mwenye master atakaloanzia ila liwe tafauti na wale wanaojiendeleza. Maana hilo daraja wanalotakiwa kuanzia unaweza kuta anaejiendeleza kashalifikia au kashalipita. Ni vizur hata hzi nyaraka za nyuma ziondolewe kigezo hicho kitaongeza morale ya walimu kujiendeleza.
With regards.
 
Nategemea kuona vipanga wa shule ya upili kufanya hii master ili waww mafundi kwenye masomo yao ila bodi ianze kuwakopesha waache mambo yao ya kukopesha wale wa vyuo vya ualimu tu.
 
Salamu!!
Wale wote wenye hamu na uelewa wa kutosha nimeona DUCE wametoa master ya Arts with Education ambapo utasoma master ya ualimu na somo moja la kufundishia ambapo yapo matano unatakiwa kuchagua mojawapo kati ya lingistic kiswahili french history and geograph.
Uzuri wako hawaandiki dissertation bali project report na duration ni 24months.
Mmi napenda kuwapongeza maana sasa wale waliosoma BA za english geography, environmental studies wanaweza kwenda kufanya hii master na kuwa walimu badala ya kupitia PGDE kitu ambacho kitasaidia kupata walimu weredi maana Master of Arts in Education ilikuwa haina somo la kufundishia.
Fursa. Naiona fursa kwa walimu wenye MA maana kama serikali itaanza kuwaajili itaradhimu kutaja daraja wanalopaswa kuanzia labda itatoa mwanya kwa wale wenye hzo MA kupandishwa madaraja yanayoendana na shule zao maana kisingizio kilikuwa huwezi kupewa daraja sababu serikali haikuwa inaajiri watu wenye Masters.
Harahara. Tafadhari ili kutoleta nyaraka za madaraja kandamizi tunaomba serikali itaje daraja la mtu mwenye master atakaloanzia ila liwe tafauti na wale wanaojiendeleza. Maana hilo daraja wanalotakiwa kuanzia unaweza kuta anaejiendeleza kashalifikia au kashalipita. Ni vizur hata hzi nyaraka za nyuma ziondolewe kigezo hicho kitaongeza morale ya walimu kujiendeleza.
With regards.
Hata ukiwa na Masters utaajiriwa kwa sifa ya degree ya kwanza.
 
Back
Top Bottom