Mastaa wasusia Party ya Gigy Money

Hahahahahah,wabongo bana yaani mtu kkaamua kujigaramia mwenyew na kuwaalika watu afu mtu mmoja anateseka na kuwaza kwann atumie hizo pesa🤣🤣🤣
 
Mwisho wa mwezi huu bila shaka ataonekana insta live akilia na kumtukana baba mtoto kuwa hana hela ya ada....

Happy belated birthday gigy
 
ila hizi shughuri za birthday ni nyokoooh lol
Hivi binamu uliona shughuri ya Aggrey? Yaan mie nililkua sina mbavu kwa kucheka lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom