Mastaa kumi wa soka wanaoongoza kwa kulipwa mishahara mikubwa, na mali zao! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mastaa kumi wa soka wanaoongoza kwa kulipwa mishahara mikubwa, na mali zao!

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 25, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280

  <small style="font-family: Tahoma, Arial, Helvetica, sans-serif; font-size: 1.1em; line-height: 1.6em; padding-bottom: 1.4em; color: rgb(116, 119, 117); ">
  </small>

  [​IMG].

  [​IMG]Hii ndio nyumba ya Lionel Messi iliyoko Barcelona, stori kwa mujibu wa barcainfo.
  Kwa mara nyingine tena Lionel Messi anatengeza kichwa cha habari baada ya kutwajwa kuwa mwanasoka anayelipwa mkwanja mrefu kuliko wote duniani, huku David Beckham akishika nafasi ya pili na Cristiano Ronaldo akishika nafasi ya tatu.


  Kutokana na ripoti iliyotolewa na jarida la France Football ambayo imetoka leo, mshambuliaji huyo wa Barcelona anaingiza Pound 33 million kwa mwaka kupitia mishahara na fedha za matangazo wakati LA Galaxy midfielder na mchezaji wa zamani wa Manchester United David Beckham ambaye amekuwa akiongoza kwa muda mrefu listi hii, amekuwa wa pili akiingiza pound milioni 31.5, wakati star wa Real Madrid Ronaldo akikusanya pound milioni 29.2 ndani ya mwaka mmoja uliopita.  Samuel Eto'o nae yupo katika nafasi ya nne akiingiza pound milioni 23.3m huku Wayne Rooney akikamata nafasi ya tano na pound milioni 20.6.  [​IMG]Beckham ndani ya Rolls Royce....

  [​IMG]Beckham akiwa mitaani Marekani na watoto wake, kwenye hii picha anaonekana kamkodolea macho yule mrembo pale pembeni....

  [​IMG]Hii ni moja kati ya majumba ya kifahari ya Christiano Ronaldo anaeichezea Real Madrid.

  [​IMG]Hawa jamaa hawamiliki gari moja au nyumba moja... hizi ni baadhi tu ya mali wanazomiliki......

  [​IMG].

  [​IMG]Bwana Samuel Eto.

  [​IMG]Bwana Wyne Rooney.

  [​IMG]Wyne Rooney ndio muhusika wa hii kwa mujibu wa world football extra.

  [​IMG]Yaya Ture wa Man City.

  [​IMG]Fernando Torres baada ya kusimamishwa na polisi.

  [​IMG]Hii ndio AUDI ya Fernando Torres, akiwa kifamilia zaidi.......DUhhhhhh!!! jamani eeeh

  [​IMG]Hata kama hajafunga goli kwenye mechi 25 mambo yake ni super sana, nadhani unamuona hapo ndani ya hicho kitu cheusi cha Aston Martin.

  [​IMG]Nyumbani kwa Fernando.

  [​IMG].

  [​IMG]ooOOOOh sijui hafungi magoli sijui nini na nini, akirudi analala hapa..... wewe je? hahah

  [​IMG]Sebleni kwa Fernando Torres.

  [​IMG]Kwa mujibu wa Soccer Magazine, hii ndio nyumba ya mchezaji Kaka wa Real Madrid ni nyumba ya 7.2 million euros na ipo mita 400 kutoka kwenye nyumba ya mchezaji mwenzake wa Real Madrid Cristiano Ronaldo sehemu inaitwa ozuelo de Alarc√≥n, Madrid.

  [​IMG]Hii ndio list ya wachezaji wengine wanaoongoza kwa kulipwa pesa ndefu.
  Umeipenda Hii Story? Share na Washkaji:

  MAISHA YA BINADAMU MAZURI LAKINI NI MAFUPI MNOO.
   
 2. M

  Mzee wa Usafi JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 634
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  sawa sawa....ngoja tuwasubiri wakifikisha umri wa miaka 50 ndo kweli tutawajua ni matajiri......maradona kakwepa kodi mpaka kashindwa kurudi Italia kwani akitua tu wanakamata
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Vp kuhusu akina Haruna Moshi Boban?
   
 4. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mbona ni wamajuu tu bongo je hakuna
   
 5. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tuwekee wa bongo kina ngassa tuone na wenyewe mijengo na magari yao'
   
 6. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Wameniboa hakuna anaependa makubwa?
   
Loading...